Unataka Kupewa Penzi Tamu na Totoz? Tumia Password hii Utanishukuru

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,549
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.

Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi.

1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume usipende vitu vya bure.

2. Tongoza warembo classic, usisubiri wakuombe hela wewe wahonge tu tena fanya miamala itakayo mtomasa tomasa sio unamtumia eti elfu 50 we bwege nini😥

Unadhani anaenda saloon bure? Unataka apande bodaboda? Huna adabu kabisa wewe, sasa hiyo elfu 50 si ya breakfast tu tena kwa kujibana.

Wadada ni watu wazuri sana wanaweza kukuonesha emotion za mapenzi wasipokuwa na stress, hakikisha umemlipia kodi ya mwaka mzima, omba account yake ujaze pesa, mtafutie passport mtoe outing hata Dubai mara moja kila baada ya miezi 3 kama huna hela.

Ukishindwa acha kudeal na warembo pimbi wewe, jiunge na CHAPUTA huko. Ukipata hela ndo utongoze.

Poleni sana wadada mnao lemewa na mibwana isiyojua kuhonga, njooni kwangu nami nitawapumzisha, nitawapa raha nafsini mwenu.

Password ya penzi tamu ni PESA.

GREAT THINKERS MSIO NA PESA MTUKANE WEE ILA MKAE MKIJUA HAO WAPENZI WENU WANATUMIA GHARAMA KUBWA KU MAINTAIN UZURI.
 
Mkuu, umetumia muda gani kufikiria hizi nondo ulizoandika? 🤔🤔🤔
 
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.

Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi.

1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume usipende vitu vya bure.

2. Tongoza warembo classic, usisubiri wakuombe hela wewe wahonge tu tena fanya miamala itakayo mtomasa tomasa sio unamtumia eti elfu 50 we bwege nini

Unadhani anaenda saloon bure? Unataka apande bodaboda? Huna adabu kabisa wewe, sasa hiyo elfu 50 si ya breakfast tu tena kwa kujibana.

Wadada ni watu wazuri sana wanaweza kukuonesha emotion za mapenzi wasipokuwa na stress, hakikisha umemlipia kodi ya mwaka mzima, omba account yake ujaze pesa, mtafutie passport mtoe outing hata Dubai mara moja kila baada ya miezi 3 kama huna hela.

Ukishindwa acha kudeal na warembo pimbi wewe, jiunge na CHAPUTA huko. Ukipata hela ndo utongoze.

Poleni sana wadada mnao lemewa na mibwana isiyojua kuhonga, njooni kwangu nami nitawapumzisha, nitawapa raha nafsini mwenu.

Password ya penzi tamu ni PESA.

GREAT THINKERS MSIO NA PESA MTUKANE WEE ILA MKAE MKIJUA HAO WAPENZI WENU WANATUMIA GHARAMA KUBWA KU MAINTAIN UZURI.

IMG_7908.jpg
 
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu.

Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi.

1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume usipende vitu vya bure.

2. Tongoza warembo classic, usisubiri wakuombe hela wewe wahonge tu tena fanya miamala itakayo mtomasa tomasa sio unamtumia eti elfu 50 we bwege nini😥

Unadhani anaenda saloon bure? Unataka apande bodaboda? Huna adabu kabisa wewe, sasa hiyo elfu 50 si ya breakfast tu tena kwa kujibana.

Wadada ni watu wazuri sana wanaweza kukuonesha emotion za mapenzi wasipokuwa na stress, hakikisha umemlipia kodi ya mwaka mzima, omba account yake ujaze pesa, mtafutie passport mtoe outing hata Dubai mara moja kila baada ya miezi 3 kama huna hela.

Ukishindwa acha kudeal na warembo pimbi wewe, jiunge na CHAPUTA huko. Ukipata hela ndo utongoze.

Poleni sana wadada mnao lemewa na mibwana isiyojua kuhonga, njooni kwangu nami nitawapumzisha, nitawapa raha nafsini mwenu.

Password ya penzi tamu ni PESA.

GREAT THINKERS MSIO NA PESA MTUKANE WEE ILA MKAE MKIJUA HAO WAPENZI WENU WANATUMIA GHARAMA KUBWA KU MAINTAIN UZURI.
Hii password kila mwanaume anaijua so hakuna jipya. Shida si kila anayeijua ana urefu wa kuandika pale kwenye keypad
 
Tatizo linaanza pale unapolitafsiri vibaya neno "PESA''.

Pili, Yote hayo unamfanyia kiumbe ambaye hajawi kuridhishwa tokea kuumbwa kwa Duniani na maajabu yake.

Tatu, Upendo sio physical thing, ndio maana wapendanao wanaitwa Soulmate. Upendo hauonekani kwa macho wala haushikiki kwa mikono bali upendo wa kweli unaanzia ndani ukijumuisha Deep feelings, Real Emotions na Soul Connections.

Mwisho, hakuna aliyewahi kufanikiwa kwa kuelezea code za ''penzi la kweli'' kwa maana ''real love can be challenging because it is a complex and multifaceted emotion that encompasses a wide range of experiences and interpretations".
 
Hii password kila mwanaume anaijua so hakuna jipya. Shida si kila anayeijua ana urefu wa kuandika pale kwenye keypad
Kama huwezi acha kusumbua warembo, unakuta jitu limekubaliwa na mtoto lainii halafu linasubiri hadi liombwe hela.
 
Hii password hii niliitumia kitambo Sana. Kuna siku nilimuita mrembo samaki samaki mlimani city enzi za ShopRite. Alipofika nikampa a hundred thou nikamwambia afanye shopping ShopRite Mimi namalizia beer yangu. Fasta binti alizama ndani, na alitoka akiwa na zile lambalamba tu. Nikamwambia tusogee Calabash tule mbuzi choma ya viwango, nikamwambia aagize kinywaji chake, Kama kawaida aliagiza Kama sio St Anne Basi Ni amarula, sikumbuki maana Mimi vitu vidogo vidogo siangalii. Muda uliposogea tukaita ubber enzi zile , mwelekeo wa Johannesburg Sinza. Kwa kweli sikumuambia tunakwenda kufanya nini Ila binti alikua tayari kwa lolote. Basi binti kanisusia mzigo Ile wanasemaga chukua yote. (Sio ule ujinga wa wamakonde eti wabakizie wenzako). Tukipotoka nikampa another hundred thou ya taxi.
Kesho yake Sasa. Ni msg tamtam tu. Nikambamiza na fifty ya voucher asimuwaze MTU mwingine.
 
Mkuu,hela haina limit,mwanamke uliempata kwa hela basi na wengine watampata huyo huyo kwa hela pia,kusema eti unampa hela ili asimuwaze mwingine,ni kujifariji tu,Mwanamke asiyejielewa unaweza kumnunulia Gari la mamilioni ila akaja kuliwa na mtu aliyemsaidia kuziba pancha njiani,

Yangu ni hayo tu kwa leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom