password

 1. J

  Njia salama za ulinzi wa 'Password' yako

  1. Ongeza ulinzi kwenye 'accounts' zako mfano 'two factor authentication 2. Usimpe mtu password yako 3. Kuwa na tabia kusasisha 'update' tovuti unazotumia na akaunti zako za mitandao ya kijamii 4. Kuwa na tabia ya kubadilisha nywila mara kwa mara
 2. manchoso

  Nimesahau password account yangu ya yahoo

  Habar zenu Ndugu zangu naomba kama kuna yeyote ana ujuzi wa kuniwezesha kulog in nimesahau pasword na pia kuna secrete questions pia zisikumbuki nimejaribu nimeshindwa Nahitaji sana hiyo email yang kwa mda huu Msaada wenu tafadhali
 3. N

  Napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila (password)

  Habari wakuu, Tangu kutangazwa kwa hizi ajira za ualimu, napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila ya kuingilia (password). Nimejaribu mara kadhaa kubadili inaleta ujumbe "Failed to change password" naombeni msaada namna ya kulitatua hilo. Pia na wengine wenye...
 4. ENANTIOMER

  ONLINE SELFOR: Nimesahau password ya ku-login katika account, nifanyenye nipate password mpya?

  Habari za asubuhi ndugu wataalamu. Nilisajili account ktk selform.tamisemi.go.tz ili niweze kubadili tahasusi, bahati mbaya nikashau password niliyoiweka kipindi najisajili. Msaada wenu tafadhali, nifanyenyeje niweze kupata password mpya itayonuwezesha kuingia ktk account yangu ili niweze...
 5. R

  Window hailogin with correct password. Microsoft mnajishushia heshimu yenu

  Habar wadau! Leo nimepata tatizo ambalo sijawah kutana nalo before naomba niweke wazi mm nina password moja tu na ndio io io nalogin kwenye account zangu zote sasa mara ya mwisho nilikuwa nado2nload movie computer ikawa inanipa alert not enough space ckujali sana ilinipa alert mara kadhaa...
 6. Nduka

  Kwanini amebadilisha password ya Netflix?

  Haya maisha tu, kuna leo na kesho. Huwezi kujichukulia uamuzi wa kubadilisha password ya Neflix huku ukijua watumiaji wake ni wengi. Kama ungetaka kutumia tu mwenyewe bila usumbufu usingetuunganisha kuanzia mwanzo.
 7. DUMEGUY

  Nahitaji Hdd Password Remove Service

  Habari, Natafuta anae jihusisha na kutoa Hdd password.. Nipo Dar
 8. MziziMkavu

  How to review the Wifi password connected on Windows

  When you have connected to a Wifi network and so on and sometimes forget the password you entered to connect to that Wifi. Here's how to review it There are many cases when you are connected to a Wifi network and so on and sometimes forget the password you entered to connect to that Wifi. Not...
 9. MziziMkavu

  How to see the wifi password is connected on the computer and phone

  Instructions to view Wifi passwords saved on Windows / Mac OS / Linux computers, and on mobile phones using Android and iOS. When you ask for the Wifi password and connect successfully, the computer will automatically connect for the next time. On a beautiful day you want to see the password to...
 10. E

  Uthibitishaji kwa njia ya SMS (OTP au One Time Password)

  Kwa biashara, App au website inayo hitaji ku verify matumizi ya wateja wake kupitia SMS Anaweza kuwasiana nami Bei ni rahisi sana. 0620 736 315
 11. K

  Msaada wenu wajuzi wa computer: Bitlocker password kwenye external HDD

  Habarini za muda huu, naomba msaada wenu, kwenye ili, nina HDD (Hard Disk Drive) niliitaji kuiwekea password basi siku ya ijumaa saa 3 asubuhi nikafanya ilo zoezi nilifata procedure zote ila ilipoanza kufanya zoezi la kusoma percentage baada ya ku-react password, ilisoma percentage siku nzima...
 12. TTCL Customer Care

  TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

  Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
 13. Data Scientist

  Naomba kujuzwa jinsi ya kuweka Password kwenye Folder ya Windows 10

  Wakuu na wataalamu naombeni msaada wa namna ya kuweka Password au pass code kwenye specific folders Ya Computer Ili niwe na private access na some of the folders kwangu tu.
 14. DUMEGUY

  Msaada kutoa password HDD

  Habari za Musa huu wadau, Niliweka password Kwa harddrive yangu sasa nashangaa password zinakataa laptop ni Dell latitude naomba msaada kuelekezwa jinsi ya kuiformart au kuibypass maana hata ukipiga Window ukifika maala ya kuchagua disk ipo empty.
 15. Elli Mshana

  COVID-19: Jinsi ya kutumia Simu yenye Password ili kumsaidia Mgonjwa ambaye simu yake ina Password

  Wakuu, Poleni kwa kuwapoteza Wapendwa wenu kwa namna moja ama. Kuna nyakati inabidi kuna mambo tukumbushane au tufundishane, si dhambi. Kwa kipindi hiki cha Corona kuna wenzetu wanaweza kuzidiwa ghafla na tukahindwa kumsaidia kwakuwa hatuawafahamu ndugu zao na kwakua simu zao zina Passwords...
 16. YEHODAYA

  Acheni kuweka password kwenye simu ili.likitokea lolote iwe corona au chochote mawasiliano yawepo

  Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa Corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha.
 17. winnerian

  Let love lead. Password for Africa to develop and not strong opposition or rulling Minority

  When we will know how to love one another then there is where true change will begin. 1. If one brother is having idea of doing something for himself gain (selfishness) and when he face difficulties no one is willing to land a helping hand because what ultimately goal is for one's gain then...
 18. L

  Nimekuta email yangu inasomeka "activation Lock is requesting your password on iPhone (iPhone 6)" naomba msaada

  Habarini wadau Nilipoteza IPhone yangu kila nikiitrack nakuta ipo offline ila leo kuna alert nimepata kwa email yangu inasomeka "activation Lock is requesting your password on iPhone" msaada tafadhali kama naweza kuipata.
Top Bottom