pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie Receipt books pamoja na invoice book kwa bei nafuu

    Karibu Africa rise up company tukupatie vitabu vya risiti na invoice kwa Tsh 7,000-A5 na Tsh 14,000-A4 Tunapatikana Arusha Mianzini. tupigie namba: 0788 429756 0752 466 942 E-mail:Africanriseup@hotmail.com
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya mafuta, wasafirishaji wasibughudhiwe

    Bei ya diesel kwa mara ya kwanza duniani (hapa kwetu) ipo juu kuliko petrol. Bila shaka lengo ni kuwapa wepesi boda boda na wenye vi IST waache kumpigia mbuzi kelele. Ngoma ipo kwa wasafirishaji bidhaa na watu. Tulipo sasa, kwa hakika tunauhitaji sana ubinadamu wa kila mtu akiwamo serikali...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Wanaume ndiyo viumbe pekee wanaoweza kukaa pamoja na kupiga ‘story’ kwa saa 6 bila kujuana majina yao

    Wadau wote hamjamboni? Huo ndiyo ukweli na mashahidi ni wanaume wenyewe Hakuna kuulizana majina zaidi ya kupiga "story" Cha ziada utakachosikia ni wao kuitana kwa majina ya Kiongozi, Mkuu, Mwamba, Chalii wangu au Kamanda wangu n.k kutegemeana na muonekano wako Niwatakie Sabato njema
  4. JamiiForums Tanzania Hasara 4 za Kuabudu kwenye TV badala ya kuhudhuria pamoja na wenzako

    Unakosoa agizo la Mungu. Msiache kukusanyika pamoja kama ilivyodesturi ya watakatifu. Unakosa Baraka maana kukaa peke yako wakati huna sababu ni laana. Rahisi kutekwa na Televangelists wengi ambao ni wajasiliainjili. Kuna watu wameteka mitego kunasa watu wasiojitambua mitandaoni kwa mgonjobwa...
  5. JamiiForums Tanzania Zelensnky aeleza malengo yake kivita ni pamoja na kuikomboa Crimea kuirudisha kwenye himaya yake

    Akihojiwa na vyombo vya habari Raisi wa Ukraine Zelensnky amesema malengo ya sasa kivita kwa Ukraine ni kwanza kuzuia majeshi ya Urusi kusonga mbele ndani ya Ukraine na la pili ni kuyarudisha maeneo ya ndani ya Ukraine yanayoshikiliwa na Urusi na Tatu kukomboa maeneo yote ambayo Urusi...
  6. JamiiForums Tanzania Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje Hapa Tanzania watu Kingereza kinawapa shida pamoja nakusema kuwa mna degree zenu za sociology?

    Elimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika. Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi. Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UN na AU waunga mkono jitihada za EAC kutuma jeshi la pamoja kwenda kuiweka sawa DRC

    Muda umefika kwa hao waasi wa DRC waelewe hawataishi kwa mazoea tena baada ya DRC kuingia EAC, itabidi wakubali mazungumzo na makubaliano ya amani au wanyooshwe. The African Union and the United Nations have backed an eastern Africa initiative to bring peace to the Democratic Republic of Congo...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwapokea airport na kuwapa korosho waaaapi ni malalamiko tu

    Kocha wao anakuambia kuanzia airport walikuwa treated badly, kumbe simba walienda kuwapokea na begi la korosho kabisa kama zawadi wakakuta basi na mini van zote wakakataaa kabisa wakapewa ushauri kwamba wachukue hotel karibu na mjini wao wakaamua kwenda Ramada kilomita za kutosha toka kwa mkapa...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kuifahamu biashara ya uvuvi wa samaki baharini

    Wenye exprience nipeni mwongozo boti ninayo tayari na mota pamoja na net nipeni profit and loss za hii biashara Eneo la uvuvi ni Mtwara
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe pamoja na kuchangisha pesa mikakati iwe kuchukua dola 2025. CCM haikubaliki kabisa maana kwa mwaka mmoja tu imepoteza nguvu

    Anza mikakati ya kutafuta wagombea makini kwa ajili ya udiwani, ubunge na urais. Pia chaguzi za serikali za mitaa. Msisitizo ni kuwa hii ni wananchi kuikataa hii CCM ya wapiga madili hii ndio iwe hoja kuu. Wewe binafsi usigombee maana haukubaliki. Tafuta watu makini. 2025 ushindi upo wazi kabisa.
  12. JamiiForums Tanzania FUTARI akipika mwanamke ambaye haujamuoa na mnaishi pamoja ni dhambi, ila FUTARI ya mitaani ni halali bila kujali amepika nani

    Habari! Nawakumbusha tu Waislamu wenzangu kuwa tusifuturu kwa FUTARI walizopika vimada wetu hasa tunaoishi nao pamoja. Haijalishi tumezaa nao watoto wangapi, au tumeishi nao kwa miaka mingapi.
  13. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Michezo katika Redio na Tv pamoja na Wachambuzi acheni 'Kutudanganya' kuhusu Yanga SC na huu sasa ndiyo Ukweli...

    Siku chache tu zijazo Yanga SC inatimiza mwaka Mmoja tu (ila siyo Msimu) wa Kucheza Ligi Kuu bila ya Kufungwa. Tayari kuna baadhi ya Watangazaji wa Michezo wa Redio na Television bila kuwasahau na Wachambuzi wa Michezo ambao pembeni yao Wakidanganywa taratibu na Afisa Habari wa Yanga SC...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi na vyombo vya habari vinashindilia pamoja msumari kwenye mzozo wa Ukraine

    Hassan Zhou Tangu kuzuka kwa mzozo wa Ukraine mwishoni mwa Februari, nchi za magharibi na vyombo vya habari vimeshirikiana kushindilia pamoja msumari na kujaribu kugeuza macho ya watu wanaotaka kujua chanzo cha mzozo huo, na pia kuzipaka matope baadhi ya nchi ambazo zinataka kufikiwa kwa amani...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa chakula bora pamoja na chanjo kwa nguruwe ili wakue upesi

    Habarini wadau na wapambanaji wenzangu. Mi nimeanza mradi wa kufuga nguruwe na nimeanza na watoto. Wanguruwe 10. Majike nane na madume 2 ambapo madume hayo nataka. Niyahasi yakue fasta yaje kunipa backup hayo majike yakiza pamoja na pesa ya ukuzaji wa mabanda. Je, niwape chakula gani ili...
  16. JamiiForums Tanzania Miaka 100 ya Baba wa Taifa Mwalimu JK Nyerere: Tumkumbuke pamoja baadhi ya aliokuwa nao

    Nimekaa toka asubuhi na mapema nafikiria vipi tutamkumbuka Mwalimu Nyerere katika karne moja lakini pamoja na yeye tuwakumbuke wenzake ambao baadhi yao hawajulikani kabisa. Nikaingia shambani kwangu kuangalia labda ninaweza kuchimba shina moja la muhugo nikachemsha ninywee chai. Shamba langu...
  17. JamiiForums Tanzania Pamoja na Msimamo wa Tanzania kuhusu Urusi vs Ukraine; Ushauri wangu kukabili matokeo

    Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO vita hivyo. Tunachoshauri ni meza ya majadiliano tu. Tanzania ni mwanachama wa kikundi cha nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Ili niweze kuonesha michezo inahitajika mtaji wa Tsh ngapi?

    Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
  19. D

    JamiiForums Tanzania Tabia ngumu ya mzazi, watoto mtaijua vizuri pale mzazi mmoja akifariki (wakiwa hivi pamoja hufichiana siri)

    Familia nyingi zina watu mizigo. Ninaposema tabia mizigo ninamaanisha watu wenye tabia ngumu kumeza. Watu ambao wanavumilika tu kwasababu ni ndugu au wazazi lakini kiuhalisia hawafai hawafai! (Yaani kama ni chakula basi hawafai kwa kulamba, kutafna au kulumangia). Na hizi tabia ngumu za wazazi...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kupata ufafanuzi kuhusu ufundishaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalumu (VI, HI, II) pamoja na wale wa kawaida katika darasa moja

    Kumekuwepo na sera ya ufundishaji wa wanafunzi kwa kujuimuisha wenye mahitaji maalum na wale wa kawaida katika shule/ darasa moja. Wanafunzi hawa katika baadhi ya shule wanafundishwa na walimu waliosomea ualimu wa kawaida. Tatizo linakuwa ni namna ya kuwasiliana na wanafunzi hao hasa wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…