Natamani kumla paka wangu nione ladha yake

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Paka Ni viumbe wapole wazuri ila ukimtibua utajuta.

Kutokana na kuishi na watu wa Jamii mbalimbali duniani Kuna vyakula natamani kuvila ila naona sitaonekana wa kawaida.

Moja ya kitu ninachotaka kukila ni paka wangu ila dhamiri inanisuta.

Najiuliza atakuwa na utamu Kama wa sungura au?

Kumala kwa kumchemsha sitaweza nahisi nyama yakeinateleza sana vipi nikimkaanga?

Na haki za wanyama je sitaonekana mkatili?

Sheriainanikataza Mimi kula paka ?

Msaada plz.
 
Back
Top Bottom