paka

  1. JamiiForums Tanzania Paka katika mtazamo wa kiroho

    Paka hutumiwa sana kwenye ulimwengu wa roho kwa sababu ya mchanganyiko wa kipekee wa uwezo wao wa kiasili na imani za kale zinazowaona kama viumbe wanaoishi kati ya ulimwengu wa nyama na roho. Tofauti na wanyama wengine, paka wana uwezo mkubwa wa kibayolojia wa kuona gizani na kusikia mawimbi...
  2. JamiiForums Tanzania Ila waafrika bwana!, mtu anaweza kugeuka kuwa paka ili asumbue watu usiku ila hawezi geuza makaratasi yakawa pesa

    Which is which
  3. G

    JamiiForums Tanzania CCM na demokrasia ni paka na panya

    Chama kikongwe kinaogopa majadiliano. Katika vikao vyao kazi kubwa ni kupitisha anachokitaka mwenyekiti wao. Hakuna nafasi ya mawazo mbadala, kutokubaliana na mwenyekiti ni uasi usiovumilika. Je kwa utaratibu huu wa "zidumu fikra za mwenyekiti", chini ya Samia, tutaweza kupata kaba mpya ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tuliyemtarajia atamfunga paka kengele, kaamua kukaa pembeni

    Tuliyemtarajia atamfunga paka kengele, kaamua kukaa pembeni Huyu alifikiriwa ataleta Imani, tumaini na hali mpya ya kupoza joto linalo panda kati ya Shume na panya wa mwituni. Sasa kaamua kushuka, wenyewe wanasema katelemka ngazi, haelewi uelekeo wa chombo, hajui kama kinazama au kipo njia...
  5. JamiiForums Tanzania Walinzi wa Ulimwengu wa Roho: Siri 7 za Kichawi na Kiroho Kuhusu Paka

    Kwa karne nyingi, paka hawajawahi kuwa wanyama wa kawaida wa kufugwa. Tangu enzi za Misri ya Kale hadi zama za wachawi wa Ulaya, viumbe hawa wameonekana kama madaraja kati ya ulimwengu wa nyama na ulimwengu wa roho. Hizi hapa ni siri saba zinazothibitisha nguvu zao za kichawi: Macho yao huona...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa nini waislamu wanaona mbwa ni haramu kuishi nae ila historia inasema mbwa ndio kaishi na binadamu kuliko paka.

    Kuna tafiti na zilishakuwepo sana ila uwezi kusema mbwa ni haramu kuishi nao. Jamii ya mbwa tokea kuwepo mwanadamu walianza kuwa marafiki au kutafuta urafiki ulianza hivi. Mbwa walikuwa ni jamii iliyoshindwa kukabiliana na wanyama wenye nguvu kwenye kundi lao la jamii kama simba na wote wenye...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi wanahudumia paka mwenye matatizo ya kiafya

    Habari, Kuna paka wa jirani hapa wamempiga jiwe kiasi kwamba mguu wake mmoja hawezi kutembea tena na anamaumivu sana. Naomba msaada nifahamu ni sehemu gani inawezekana kumpeleka akapata matibabu. NB: Wenye paka wamemuacha kama alivyo na hawajachukua hatua yoyote ya kitabibu 😢 NAUMIA SANA...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Sanaa ya jadi ya paka mlinzi wa paa “Wamao” mkoani Yunnan ni lulu inayohifadhiwa ili isipotee

    Wakati 2026 ni mwaka wa mawasiliano baina ya watu wa China na Afrika, shughuli nyingi za mawasiliano zinafanyika zikiwemo za kitamaduni. Katika kutimiza azma hii iliyowekwa na viongozi wa pande mbili za China na Afrika, wakati nilipotembelea mkoani Yunnan, nami nikajiunga kwenye shughuli za...
  9. JamiiForums Tanzania Ni nani atafanikiwa kumfunga paka kengele ili tusiangamie wote?

    Habarini kwa kipindi kirefu nimejaribu kufuatilia hali ya ndani ya nchi yetu hasa suala zima la afya pamoja na kukithiri kwa rushwa ila nimejikuta nikipata hofu kubwa juu ya nini kitafuata kwa kila mwanajamii tusipolitatua tatizo hili kabla hali haijawa mbaya zaidi Kwa kipindi cha hivi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Israel hawafi? Wana roho ya paka?

    Licha ya kuharibiwa vibaya miji ya Telaviv na miji mengine. Idadi ya waliokufa Isreal tunaambiwa 5. Yaani hawa wana roho ya paka? Hata wapigwe mizinga miili yao inapangua?
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ipi ni nzuri ya hospitali ya kukausha uvimbe wa mguu baada ya kuparuliwa na paka? Chanjo ameshachoma.

    Wasalaam aleykum, Twende kwenye mada, Nina mdogo wangu aliparuliwa na paka wiki mbili zilizopita, baada ya hapo tukamchoma chanjo zote za za kuzuia athari ya kung'atwa na wanyama pale hospital... Lakini hadi sasa ameendelea kutumia antibiotics mbali mbali, mguu haupungui uvimbe! Uvimbe...
  12. JamiiForums Tanzania Kuwa member wa magroup ya wasapu ya walimu wasaka ajira inahitajika uwe na roho ya paka

    Kwani hii kada imelaaniwa? Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A. Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 28, nje ya Rav4 kuna gari gani nyingine SUV imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida?

    kwa bajeti ya milioni 28 nje ya rav 4 kuna gari gani nyingine ya juu imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa paka wa migahawani wanaokustua kwa kukugusa kabisa mguuni na mikono yao Ili ujuwe kama wapo uwape chakula ni paka kweli?!!!

    Tukio la mwisho nimekutana nalo Buguruni Rozana hapa majuzi; nakula chakula nashangaa mguu unaguswa kwa namna kama ya kukustua flani hivi "oya, oyaa!". Naangalia chini nashangaa namuona paka ananiangalia....nikampotezea nikaendelea kula. Haukupita muda kanigusa tena. Mh, nikaona isiwe kesi...
  15. JamiiForums Tanzania Suzuki Escudo Roho ya paka - gari za Mapadri wa kikatoliki

    Gari hizi Roho ya paka. Mapadri wa kikatoliki wanazielewa vijijini huko. Ukiipata hii umepata chuma.
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia: "Nani wa kumfunga paka kengele?"

    Mambo mazito Yanayosubiri Majibu Baada ya kutangazwa katika vyombo vya habari kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuliutubia Taifa, mijadala mikubwa imeibuka kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi wanatarajia hotuba itakayofungua ukurasa mpya wa matumaini...
  17. JamiiForums Tanzania Nani atamfunga Paka Kengele?- Taswira ya hali ya kisiasa Tanzania

    Katika hadithi maarufu ya “Nani Atamfunga Paka Kengele,” tunasikia simulizi la taifa la Panya lililovamiwa na Paka mwenye nguvu. Panya wanateseka, wanaishi kwa hofu, na hata sauti zao ndogo zinakuwa tishio mbele ya masikio makali ya Paka. Baada ya mateso ya muda mrefu, wanakusanyika kutafuta...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets

    The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets and activists to tarnish Tanzania’s image failed Either Kenyans are being used knowingly or unknowingly. The Kenyan media is being used to spread a plan...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Imetosha: Chama Tawala, CCM, haking'ati tena (Mwisho Panya amepata ujasiri kumvisha Paka Kengele)

    Pamoja na madudu ya wazi na unyanyasaji ambao umekuwa sehemu kubwa ya legacy ya CCM, wamejificha kwenye kichaka cha kuwa chama kilichoikomboa nchi na historia ya Mwalimu Hayati Julius Kambarage Nyerere kunufaisha wachache na kutumia nguvu kutisha wananchi na rushwa kununua wasanii wakubwa ili...
  20. JamiiForums Tanzania Siri nyuma ya Vita vya Paka mweupe na Jogoo mweusi

    Vita vya paka mweusi na jogoo mweusi vinapata watazamaji chini ya milioni moja, pambano la paka mweusi na jogoo mweupe hupaa hadi watazamaji milioni tano. Hata hivyo, pambano la paka mweupe na jogoo mweupe hufikia watazamaji milioni 20, lakini ajabu kuu ni vita kati ya paka mweupe na jogoo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…