cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 325
- 1,130
Nimechonga kabati fundi anashindwa kujua vipimo vya iyo ovena yenye jiko la gesi Kwa anaejua upana na urefu msaada plz nalitamani kitchen kabati langu fundi kizingizio chake ndo icho tu Kila ukimuuliza kabati tayari anakujibu anashindwa kumalizia ajui vipimo vya iyo gesi oven,nahitaji Ile yenye bei ya chini 560,000 ndo nitakaloweka hapo vipimo changamoto .