Wapi nitapata mafuta ya nywele ya Cantu original?

pabro11

Member
Nov 16, 2018
38
45
Heshima kwenu wakuu, nasikia hayo mafuta ni mazuri kwa nywele. Je kuna yeyote aliyewahi yatumia humu?

Yanapatikana wapi kwa Dar? Bei yake ikoje?
 
Back
Top Bottom