Ukizunguka kwenye vituo vyote vya daladala, hata mtaani kwenu ukichunguza watu wanaolala barabarani au nje ya maduka asilimia 99.999 hawana kipara.
Unakuta mara nyingi wanakula vyakula kutoka majalalani, bacteria wakutosha ila nywele zao bado zipo.
Ungetegemea labda kwasababu ya umasikini hawa...
Soma hapa: UDOM hao omba omba ndani ya chuo na Watoto wadogo wanaozagaa kwenye cafeteria hatuwaelewi, liangalieni hili
Nilimuona mwana-JF mmoja aliandika kuhusu hawa omba omba na issue ya watoto wadogo umri 8-12 wakifanyika kama labor power pale UDOM kwenye link niliyoweka hapo juu, sikumuamini...
Watumishi wa hii kada ni kama wana laana vile hasa hapa Tanzania, watumishi wake karibia 95% wanategemea mshahara tu kwa 100% ajira hazijawasaidia kabsa kuanzisha miradi ya pemben yenye tija.
Tatizo bado sijajua ni nini haswa lakn hii kada ndo inaongoza kwa vilaza, yan watu ambao hawajui lolote...
Raia wa Tanzania ambaye ni mtoto alikamatwa Kenya na umma maeneo ya Pangani Nairobi kwa kujifanya ombaomba huku miguu yake ikiwa shwari.
Hii ni baada ya umma kunugunika kuhusu uongezekaji wa raia wa Tanzania ambao ni ombaomba mitaani hio.
Nchini Kenya, wenye ulemavu hujulikana kwa number...
Waheshimiwa wanajamii wa JamiiForums, nawasalimuni kwa heshima na taadhima.
Natumai wote hamjambo na shughuli za kila siku zinaenda vyema. Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, na kwa muda sasa nimekuwa nikikumbwa na matukio ya ajabu yanayohusiana na ombaomba mitaani—matukio yaliyonifanya nianze...
Nadhani kuna uzi humu ulikuwa unaelezea kero zinazopatikana katika nyumba za kupanga, mimi kiukweli kero ndogondogo huwa nazitatua mwenyewe ndio maana ule uzi nilikuwa naupitia juu juu tu, ila baada ya kunikuta jambo kwenye hizi nyumba za kupanga ndipo hapo ikabidi niurudie kuusoma ule uzi upya...
Wanafika kuazia saa 11 alfajiri kila Ijumaa kumsubiri tajiri wa Oilcom. Naye anawagawia Tsh 2,000/= kila mtu.
Mtaa huu ni maarufu kwa vile una migahawa miwili maarufu Chef Pride na KT Shop. Tajiri wa Oilcom anafika mida ya saa 1 kupata breakfast yake Chef Pride
Kuna ombaomba wa umri kuanzia...
Miongoni mwa mambo yanayonikera mno ni wakenya kujitapa, ya kwamba Tanzania imejaza Omba Omba Kenya, inaniumiza sana sana, serekali ilichunguze hili ione jinsi gani itawasaidia tofauti na wanavyokwenda huko na kuiaibisha nchi yetu,
Tanzania ione jinsi ya kumaliza tatizo hilo, endapo kama ni la...
Kujitolea kwa hali na mali kwa wengine ni kujiwekea hazina ya hali na mali mioyoni mwa wanufaika wa majitoleo yako baadae. Mathalani kwenye uchaguzi wa chadema, tunashuhudia faida za kujitolea na hasara za uchoyo na mazoea ya kupokea au kuchangiwa tu,
Kujitegemea na kujitosheleza ni jambo...
Wahenga walisea Mchumia Juani Hulia Kivulini; Ila nadhani hawaku-consider kama cha kuchuma hakipo inakuwaje...;
Baba wa Taifa alisema katika Hotuba ya TANU (ambayo ndio Baba wa huyu CCM anayetawala Leo)
CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia...
Achana na wale unaokutana nao pembeni ya barabara wakihitaji msaada wa chochote, sikuhizi kuna ombaomba hawa ambao ukiingia kwenye mahusiano tu basi utaletewa matatizo chungu nzima.
Nashauri serikali iingilie kati hii suala ni gumu mno. Nchi ina maskini wakutupwa sema wanashindwa tu kujipanga...
Amani iwe nanyi!
Kwa ufupi tu, nimejaribu kuwaza jinsi tabaka hili la watu maarufu, wakiwemo wasanii, linavyoishi kwa kututegemea sisi wananchi na kodi zetu.
Msanii akiwa ana-rise to fame, ataomba support ya mashabiki (sisi) na hata serikali (kupitia mamlaka zinazowahusu) ili afike...
Hello!
Serikali ilikosea sana kutunyima mshahara wa Machi baadhi ya watumishi wa umma kwasababu ya kutokukamilisha PEPMIS.
Nikiri kuwa kazini kwetu hakuna aliyepata semina wala kidudu gani, tuliwekewa tu tangazo Whatsapp tujiunge wenyewe. Mimi binafsi niliona simple nikajiunga nikaona mchezo...
Mwanamke umekamilika na viungo vyako vyote unashindwa vipi kupambana kujisimamia na wewe kawa na vyako na maisha bora bila ya kumtegemea mtu.
Uzuri, shepu na sifa nyingine sio kigezo cha wewe kubweteka na kuvitumia kama kitega uchumi chako, kuna wazuri na wenye shepu zaidi yako wamepambana...
Naomba nikiri hoja yangu imelenga kuleta hoja vijana wajitume na sio kuwa ombaomba ilihali wana nguvu.
Mwaka 2023 mwezi wa 5 nikiwa natembea maeneo ya Ubungo jirani na NBC bank alikuja kijana ambaye anaonekana kwenye video hapa na akaniambia yeye ni mwalimu amemaliza SUA na amepata kazi Songwe...
Labda iwe kwa makubaliano kuwa mnafanya biashara, na biashara yoyote lazima mapatano kwanza kisha biashara ndipo ifanyike.
Kama biashara ya mwili wake ni heri aseme kabisa kuwa yeye ni kahaba. Asijifiche kwenye mwavuli wa kuitana wapenzi. Biashara ya ukahaba ni kongwe, tangu enzi za agano la...
Wasalaam,
Nimechagua hawa maana ndio wanavuguvugu kubwa la kuliishi neno. Sina uzoefu na RC au KKKT lakini makanisa ya kisabato na kilokole mengi nimeingia.
Tofauti na wale wakristo wa awali, Njia ya kuelekea hekaluni ilikuwa imejaa ombaomba. Hawa jamaa walikuwa wanamvizaga Yesu, mitume...
If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame
My Take
Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.