ombaomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuomba pesa, muulize umefanya kazi gani au wewe ni ombaomba?

    Labda iwe kwa makubaliano kuwa mnafanya biashara, na biashara yoyote lazima mapatano kwanza kisha biashara ndipo ifanyike. Kama biashara ya mwili wake ni heri aseme kabisa kuwa yeye ni kahaba. Asijifiche kwenye mwavuli wa kuitana wapenzi. Biashara ya ukahaba ni kongwe, tangu enzi za agano la...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye makanisa ya kilokole, kisabato hakuna ombaomba nje kama Misikitini?

    Wasalaam, Nimechagua hawa maana ndio wanavuguvugu kubwa la kuliishi neno. Sina uzoefu na RC au KKKT lakini makanisa ya kisabato na kilokole mengi nimeingia. Tofauti na wale wakristo wa awali, Njia ya kuelekea hekaluni ilikuwa imejaa ombaomba. Hawa jamaa walikuwa wanamvizaga Yesu, mitume...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame: Ukiona wenye mali wanageuka kuwa ombaomba ujue akili zao haziko sawa

    If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame My Take Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Ombaomba wa Dar waondolewe

    Akifanya mahojiano na East Africa Radio Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam Albert Chalamila amesema; "Kuna watu wana zagaa zagaa kwenye Tanzanite bridge, kamateni watu wote wanaokaa kwenye maeneo na walemavu kuombaomba, tumegundua ule ni mtaji wa watu ambao jioni wanakusanya mapato wanawapa kidogo...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Neno la Asubuhi: Kwanini Hata kama hutaki kuwa tajiri ujitahidi usiwe ombaomba?

    Mtu anayemuamini Mungu kuwa ombaomba ni kumdhalilisha Mungu. Wakristo wengi kupinga utajiri kama aliokuwa nao Baba yao wa imani Ibrahim kumewafanya kuwa ombaomba. Wao na wachungaji wao. Ushauri wa leo, ikiwa hutaki kupambana kuwa huru kifedha na upate fedha nyingi za kubaki kugusa maisha ya...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Mheshimiwa Rais, Amani iwe nawe daima. Mheshimiwa Rais, Awali ya yote tunakupa pole kwa kazi zako za kila siku za kuhudumia Watanzania, huku tukiamini Mwenyezi Mungu anaendelea kukujalia afya tele na tunatambua pia una majukumu mengi kwa ajili ya ustawi wa Taifa letu. Mheshimiwa Rais, hii ni...
  7. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane: Wanaohubiri kwenye mabasi, masokoni na njiani ni Omba omba kama ombaomba wengine

    Bila kupepesa macho au kumung’unya mung’unya maneno lets keep it one thousand. Hawa watu wanaohubiri kwa maspika, kwa makelele iwe masokoni,njiani au kwenye mabasi au wale wanaoimba gospel barabarani kisha kuweka bakuli au kuomba sadaka ni omba omba tu kama omba omba wengine. Na Wala hawapo...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa Elimu na kuwapa ujuzi watu wenye Ulemavu wanaoonekana wakiombaomba na wanaotumiwa kama chombo katika kuomba

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Esther Edwin Malleko ameiuliza swali Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu "Watu wenye ulemavu wameonekana wakiwa ombaomba na kutumiwa kama chambo katika kuomba, ni mkakati upi wa Serikali katika kuwasaidia watu hawa kujikwamua...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mbinu mpya ya ombaomba

    Naona sehemu nyingi ombaomba wa Dar wamebuni mtindo wa kuwapatia kipato. Mtindo huo ni kuunda kikundi cha watu watatu mpaka wanne na kuanza kuumba nyimbo za kikristo kwa lengo la kuwashawishi wapitanjia kusikiliza na kutoa chochote kwao. Angalau hii imekaa powa kidogo, kwamba unapewa hela...
  10. Boss la DP World

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asilimia 50% ya Watanzania ni Ombaomba

    Kwamujibu wa taarifa za sensa ya mwaka 2022, asilimia 51 ya Watanzania ni Wanawake na 49% ni wanaume. Iko hivi utafiti wangu niliofanya Kwa kutumia sampuli 100, ulibaini kuwa kati ya wanawake 100 nilio watongoza, wanawake 98 waliniomba pesa siku 10 za kwanza. Kwahiyo kwa wastani wanawake 98...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

    Wakuu kwema, Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani? Sihitaji Hadithi au andiko...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ijumaa inahusiana vipi na ombaomba?

    Mbona ombaomba wengi nimekuwa nikiwaona siku za Ijumaa wakipita wakiomba, sijawahi kuwaona Jumamosi au Jumapili. Na vilevile nimekuwa nikiwaona unapoanza mwenzi Mtukufu wa kufunga wa Waisilamu na Idd lakini siyo kipindi cha mfungo wa pasaka au kalibu na X-Mas! Tuchangie kwa upendo.
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Vijana UVCCM watakiwa kuacha kuwa ombaomba

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato Frank Kunzenza amewataka vijana wanaounda jumuiya hiyo kuacha tabia ya kuombaomba vitu badala yake waanzishe miradi ya kujiingizia kipato ili waache kulaumu watu wanaoshindwa kuwapa wanachohitaji. Kunzenza...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ombaomba wa Dar es Salaam wanamilikiwa na magenge ya kihalifu

    Baada ya Serikali ya Kenya kugundua 90% ya Ombaomba wa Nairobi Wanatoka mikoa ya kanda ziwa na baada ya Serikali kusema itaondosha omba omba wote Dar es Salaam kuwaudisha kwao au kwenye nyumba za wazee imegundulika kwamba wengi wao ni watu from Dodoma na wana ndugu zao na koo zao na mashamba...
  15. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yajibu kuhusu ombaomba wanaopelekwa Kenya

    MY TAKE: Ni matumaini yangu kwamba Kenya itatekeleza wajibu wake Kama nchi ya kuwatafuta na kuwakamata wale wote wenye kujihusisha na biashara haramu ya kusafirisha binadamu. Tony254 Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtoto aliyepotea kwao asema alifanywa ombaomba mtaani

    Mtoto Patrick Dickson ambaye alipotea kwao kwa siku kadhaa mwanzoni mwa mwezi huu Mei 2022 amepatikana na kusimulia kuwa alikuwa akitumikishwa katika kazi ya kuombaomba mtaani pamoja na kuvutishwa sigara. Mtoto huyo ambaye alipatikana Mei 23, 2022 amesema: “Siku ya kupotea kwangu nilitoka...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Asili ya watu wa Dodoma kuwa ombaomba

    Hii ishu ya watu wa Dodoma kuwa ombaomba ni ya kihistoria. Ilianza zamani enzi za misafara ya biashara kutoka Bagamoyo hadi Ujiji. H. M. Stanley ameliandika vema hili katika kitabu chache How i Found Livingstone(1871). Zamani kila misafara inakopita ilitakiwa kuacha kodi(Hongo)kwa chifu. Mara...
  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Watoto ombaomba ni halali kutolewa Mjini? Wakikamatwa Serikali inawapeleka wapi?

    Suala la watoto wa mitaani kwa sasa ni kama halizungumzwi kwa sauti kubwa kwa kuwa hapo kati mamlaka zikishughulika nao kwa kiwango cha juu. Nakumbuka kuna wakati Mzee Yusuph Makamba miaka ya nyuma alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipambana sana na ombaomba wakiwemo watoto waliokuwa...
  19. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania ANGALIA OMBAOMBA HUYU ANAVYOCHOKONOA WENYE DINI

  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Simba na Yanga ni timu kongwe nchini lakini bado ombaomba?

    Nimejaribu kuvavadua nimeona kumbe Yanga na Simba ni watoto yatima. Hawana baba Wala mama. Klabu hizi mbili zimebeba historia ya taifa la Tanzania.Pia nimegundua kuwa kama Marehemu Mzee Karume Rais wa Zanzbar asingejenga Jangwani na Msimbazi Timu hizi zisingekuwana ardhi Wala Ofsi. Hawa...
Back
Top Bottom