Labda kwa kumkomoa tu lakini kosa la uchochezi linadhaminika kabisaKwahiyo nini kinaendelea je dhamna atapewa
Sidhani... Nawaza hata akikata rufaa ,utavutwa muda probably hadi next year au kama sio hivyo isubiriwe hadi desemba 09 pale ambapo msamaha wa Rais utatoka then Jina lake liwepo... But hii kesi imewavua nguo sana ccmKwahiyo nini kinaendelea je dhamna atapewa
Labda kwa kumkomoa tu lakini kosa la uchochezi linadhaminika kabisa
akiomba rufani, and definetely ataomba rufani, naweza kuomba dhamana wakati rufani yake inasikilzwa. Lakini kunahitaji sababu za msingi ana na kwa vile wana maelekezo, hata huko atakako omba rufaa, hawatamsikilizaMajitu hayana utu yamekuwa kama hayajzaliwa na binadamu.........******÷÷÷÷///>>@@@
Majitu hayana utu yamekuwa kama hayajzaliwa na binadamu.........******÷÷÷÷///>>@@@
Mpaka mahakama ya rufaa itoe dhamana.Kwahiyo nini kinaendelea je dhamna atapewa
Mpaka mahakama ya rufaa ikae.Labda kwa kumkomoa tu lakini kosa la uchochezi linadhaminika kabisa
ONENI HII KENGEMna upumbavu sana mfungwa napewa dhamana?
Kwakweli wamefanya ujinga. Na mahakama ya rufaa mpaka kukaa sio Leo Wala kesho.Sidhani... Nawaza hata akikata rufaa ,utavutwa muda probably hadi next year au kama sio hivyo isubiriwe hadi desemba 09 pale ambapo msamaha wa Rais utatoka then Jina lake liwepo... But hii kesi imewavua nguo sana ccm
Kaa pembeni wewe chawa wa CCM . Mambo ya Lissu hayakuhusu.Mna upumbavu sana mfungwa napewa dhamana?
Labda kwa kumkomoa tu lakini kosa la uchochezi linadhaminika kabisa
Acha matusi mpuuzi wewe, akiomba rufaa anapata dhamanaMna upumbavu sana mfungwa napewa dhamana?
Akiomba rufaa anadhaminikaKwani si keshahukumiwa ni mtuhumiwa au mtuhumiwa anapewa dhamana
Mahama itaenda likizo so hapo kusikiliza shauri lake kuanzia February 2027. Kuna watu ni zaidi ya mashetaniSidhani... Nawaza hata akikata rufaa ,utavutwa muda probably hadi next year au kama sio hivyo isubiriwe hadi desemba 09 pale ambapo msamaha wa Rais utatoka then Jina lake liwepo... But hii kesi imewavua nguo sana ccm
hajaonyesha unyonge mpaka dk ya mwishoSema mwamba amepamba sana
Si ndio hapo hukumu ishatolewa sio mtuhumiwa tenaMna upumbavu sana mfungwa napewa dhamana?
Kwahiyo nini kinaendelea je dhamna atapewa