ole sabaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama yamuachia huru Lengai Ole Sabaya, yasema ushahidi wa Jamhuri una utata

    Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Sabaya afikishwa Mahakamani, Mawakili wake wasema Sabaya ni mgonjwa, yaahirishwa hadi Juni 20, 2022

    KESI ya uhujumu uchumi na rushwa inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, itatajwa kwa mara ya pili leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi. Ole Sabaya na wenzake, ambao ni Sylvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antoro Assey...
  3. JamiiForums Tanzania Moshi: Juma Raibu ang'olewa aunganishwa na Ole Sabaya kesi ya uhujumu uchumi

    Ole Sabaya = Juma Raibu Juma
  4. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

    Jana tuliambiwa hukumu ya kesi iliahirishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi, Arusha. kwa kile kilichodaiwa kuwa hakimu alikuwa anatimiza majukumu mengine ya kiofisi,mahali ambapo hatukutajiwa. Leo asubuhi tunasikia taarifa ya Sabaya kuhamishiwa alfajiri,kutoka Gerezani Kisongo,na kupelekwa...
  5. JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama yapanga Hukumu kesi ya Ole Sabaya, wenzake Mei 31, 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imepanga Mei 31, 2022 kutoa hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita. Katika kesi hiyo washitakiwa wengine ni Enock Mnkeni, Watson Mwahomange, John Aweyo, Sylvester Nyegu, Jackson Macha na...
  6. JamiiForums Tanzania CCM tunatamani sana kumtetea kada mwenzetu Ole Sabaya ila hasafishiki kwa kweli

    CCM tuna utaratibu wetu wa kumuombea mtu msamaha kisha mkosaji anaenda mbele ya kadamnasi na kutamka maneno machache tu, NI SAMEHE MIMI NIMEKOSA NISAMEHE MIMI NIMEKOSA. Maneno haya huja baada ya kupitia tanuri la moto na viapo vingi sana mbele ya viongozi wakuu wa CCM. Tena utazungushwa sana...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Unapomsikia Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mstaafu Ole Sabaya akidai kesi yake ni "ya Kutengenezwa" unajifunza nini?

    Jana nilishtuka baada ya kumsikia aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai na Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa eneo hilo akidai kuwa kesi yake ya Uhujumu uchumi ni ya "Kutengeneza" Nabaki najiuliza kumbe kuna kesi halisi na kesi za Kutengeneza? Kwa wadhifa aliokuwa nao Ole Sabaya serikalini...
  8. JamiiForums Tanzania Kesi ya Sabaya: Ushahidi wa Video za CCTV waonesha shahidi akitoa fedha benki alizomkabidhi Ole Sabaya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imelazimika kuahirisha kuendelea kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya shahidi wa 10, Francis Mrosso kudai kuwa anajisikia vibaya. Leo Novemba 24, 2021 shahidi huyo wa Jamhuri...
  9. JamiiForums Tanzania Ombi: Mwenye nakala ya hukumu ya kesi Dhidi ya Ole Sabaya aniwekee humu

    Wakuu,habari. Naombeni hukumu ya Sabaya ili nijiridhishe baada ya kupata utata wa maamuzi ya mahakama. Nimepata utata kwa sababu ushahidi niliokuwa nafuatilia sikutegemea angekutwa na hatia.
  10. JamiiForums Tanzania Kwenye utabiri wa Lema bado Spika Ndugai tu

    Wanabodi I declare my option sishangilii matokeo ya matukio yaliyotokea kwenye utabiri wa God bless Lema. Lema aliota ndoto nayo kweli ikaja kutokea JPM akafariki kweli. Mwaka haujaisha alimpigia Sabaya simu akamuonya aache ubabe.....Sabaya akaendeleza leo hii amebakiza miaka 29 na siku 263...
  11. JamiiForums Tanzania Kiukweli, nimeifurahia hukumu ya Lengai Ole Sabaya

    Nawasalimu waungwana wa JF, Jana ilisomwa hukumu ya kesi iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake. Sasa inajulikana kuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela. Kila upande: wa mashtaka na ule wa utetezi una haki ya kukata rufaa ndani ya muda na...
  12. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya: Doa jeusi kwa utawala wa Hayati Magufuli

    Hukumu iliyotolewa jana kwa Ole Sabaya, kuwa alikuwa jambazi la kutumia silaha kupora mali za wananchi, vile vile limeupaka matope utawala wa Magufuli. Kwamba mteule wa Rais, akafanya mambo kinyume na utawala wa sheria na mbaya zaidi ujambazi, ni vigumu kueleweka kirahisi kwa nini haya...
  13. JamiiForums Tanzania Je, na Yule aliyemrithisha Roho Mbaya Ole Sabaya kutokea Dar es Salaam naye atakamatwa ili afungwe miaka yake 670 lini?

    Nasikia kwa sasa Mr. Dar es Salaam hataki kabisa kutumia Mitandao ya Kijamii ( japo kuna muda) huwa anaibuka na pia anasoma mara Ujerumani mara Afrika Kusini na hata akiwa Tanzania amekuwa ni Msiri na Mtu wa Kujificha na kuhamahama kama Digidigi na hata wale Malaya wake wa Beach Kidimbwi akina...
  14. JamiiForums Tanzania Muonekano wa Lengai Ole Sabaya baada ya kumaliza kifungo.

  15. JamiiForums Tanzania Muonekano wa Ole Sabaya 2051 baada ya kutoka jela utakuwa hivi.

  16. JamiiForums Tanzania Mchumba wa Ole Sabaya afunguka

    Kikubwa alichosema anamshukuru Mungu kwa kila jambo. Na mambo yote hupangwa na Mungu.
  17. JamiiForums Tanzania Katibu Tawala: Sabaya, hakupewa kibali chochote cha Maandishi kwenda kutekeleza majukumu nje ya kituo chake cha kazi

    Katibu Tawala Msaidizi wa zamani wa Mkoa wa Kilimanjaro, Renatus Msangira (45), amepanda kizimbani akidai kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani humo, Lengai Ole Sabaya, hakupewa kibali chochote cha maandishi kwenda kutekeleza majukumu nje ya kituo chake cha kazi. Msangira, ambaye ni...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya asomewa mashtaka mapya 5 ya uhujumu uchumi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha yapewa mamlaka kusikiliza kesi

    09 September 2021 SABAYA ASOMEWA MAKOSA MAPYA MATANO "ALICHUKUA MILIONI 90 KWA MFANYABIASHARA" Aliyekuwa mkuuu wa wilaya ya hai Lengai Ole Sabaya na wenzake sita wamesomewa shtaka la uhujumu uchumi lenye makosa matano kwa madai yakuchukua million 90 kutoka kwa mfanyabiashara ili wasimchukulie...
  19. JamiiForums Tanzania Kesi mpya ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Ole Sabaya na wenzake sita yaahirishwa

    Arusha. Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, imeshindwa kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kutokana na hati na ridhaa ya kuruhusu mahakama hiyo kusikiliza kesi hiyo kutokamilika. Leo Ijumaa Agosti 27, 2021...
  20. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Ole Sabaya kutolewa Oktoba 1, 2021

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha usikilizwaji wa kesi ya jinai namba 105 ya mwaka 2021, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, hukumu ya Kesi hiyo sasa ni Oktoba 01, 2021. === Kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha namba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…