ole sabaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Buyaka

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya, asante kwa utumishi wako

    Utawala mpya wa Rais Samia Suluhu Hassan leo umeangusha moja ya nguzo za katikati za urithi, legacy, ya aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli kwa kutumbuliwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Kama ulipenda alichokisimamia John Magufuli pengine leo ni siku ya huzuni. Nilimwona kwenye...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Bado DPP Biswalo Mganga baada ya Ole Sabaya

    Hawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens. Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, Ole Sabaya kushitakiwa?

    Kwa vile kuna ushahidi wa kutosha wa uhalifu uliofanywa na DC duni wa zamani wa Hai aliyefahamika kwa jina la Ole Sabaya akishirikiana na OCD wa eneo hilo , sasa ni dhahiri atafunguliwa mashitaka ya Kutumia madaraka yake vibaya kwa kushiriki kupora pesa za raia kwa vitisho na kwa kutumia silaha...
  4. meningitis

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya ni nani hasa?

    Ndugu Ole Sabaya aliwahi kutuhumiwa kuwa na kosa la kujifanya afisa kipenyo.kesi ikaendeshwa akashinda na hatimaye akawa mkuu wa wilaya.leo hii kaanguka tena kwa kusimamishwa Ukuu wa Wilaya. Chadema na baadhi ya wanaccm wanemshutumu sana na kwa muda mrefu JE OLE SABAYA LENGAI NI MMASAI AU...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi. Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa Rais Samia tafadhali hakikisha...
  6. rosemarie

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021 Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo. Pia soma: Mtozi Alloyce...
  8. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya: Rais Samia atatuvusha

    Mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya wakati akihojiwa kwenye kipindi cha 360 cha Clouds Fm amewajibu wanaosema kuwa enzi zake zimekwisha baada ya kifo cha hayati rais Magufuli. Sabaya amesema wanaosema zama zake zimekwisha wanapoteza muda kwa sababu wakati wa utawala wa rais Magufuli alikuwa...
  9. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo

    Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya. Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka...
  10. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Sabaya matatani kwa kumshambulia Diwani wa Sombetini Arusha

    Ole Sabaya anastahili kung'olewa kwenye nafasi ya U-DC hafai na hatoshi!!! Huyu mtu amejaa uhuni, hana maadili, hana nidhamu na anatumia madaraka aliyopewa vibaya kwa kunyanyasa raia. Rais MAGUFULI kama Mamlaka ya Uteuzi tuondolee huyu mhuni, kibaka na gaidi wa kisiasa!
  11. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania DC Ole Sabaya: Wilaya ya Hai haitakuwa uwanja wa majaribio ya kisiasa tena

    Akizungumza Na Wazee 300 wa wilaya Ya Hai nyumbani kwake Uzunguni Bomang'ombe DC Sabaya Ametangaza onyo Kali dhidi ya Wahalifu wa kisiasa ambao kwa mara zote wamekuwa wakiitumia wilaya Hio Kama sehemu ya kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kufanya siasa za kihalifu ili wapate kiki. Ole Sabaya...
Back
Top Bottom