oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ujerumani ahoji bungeni mauaji ya Oktoba 29 Tanzania na kesi ya Lissu

    Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa Vyombo vya Usalama katika mauaji ya Oktoba 29??

    Imenibidi niulize tena swali hili, ambalo watu wengi wameamini tu kwa kusikia/kuambiwa kwamba ni "vyombo vya dola" vinahusika na mauaji hayo. Hivi vyombo vinavyojulikana ni polisi, Jeshi, au hata TISS? Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa polisi au jeshi katika mauaji hayo? Picha zote...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

    Wakuu, Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Watatu wakamatwa kwa kutusi Tume ya kuchunguza vurugu za Oktoba 29

    Jeshi la Polisi nchini limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kusambaza matusi na maudhui ya kudhalilisha, wakiwemo waliolenga wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 na baada ya uchaguzi. Watuhumiwa hao wamekamatwa katika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Wakuu wa mikoa wapo ofisini hata baada ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume). Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa gari lililotumika kuua watu Oktoba 29, 2025 limeonekana tena kwenye Ziara ya Dkt Mwigulu

    Swali, Mpaka hapa bado kuna mtu hajajibiwa swali la nani alitoa amri ya kuua watu iwapo magari yaliyotumika kuua watu bado wanayatumia kuonesha hawajali wala kuogopa chochote?
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Vurugu Zilizopangwa Oktoba 29

    Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum. Viongozi wakuu walikaa nyuma na kuwatumia vijana kama zana za mbele. #UkweliOktoba29
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Ghasia Oktoba 29 Zililenga Kuvuruga

    📍USHAHIDI WAONYESHA GHASIA ZA OCTOBA 29 ZILILENGA KUVURUGA UCHAGUZI Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na Rais Dkt. Samia kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu October 29,2025, Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman amesema kwa mujibu wa ushahidi uliowasilishwa kwenye Tume...
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa habari za Oktoba 29 hususani vyombo vya habari vya nje na vya kimataifa

    Wakuu, Anazungumza Rais samia wakati akipokea ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu 2025
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Utaalamu wa Jaji Chande: Ripoti Huru Oktoba 29

    Jukumu la Jaji Chande katika uchunguzi wa Lebanon lilihitaji uchambuzi wa kutoegemea upande wowote chini ya shinikizo. Utaalamu huo huo utahakikisha ripoti ya Tume ya Uchunguzi kwenye mtukio ya 29 Oktoba sio tu inaaminika bali inatolewa kwa kuzingatia sheria za ushahidi na kanuni za kibinadamu...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Ghasia za Oktoba Zilipangwa, Z

    Tume ilibaini kwamba, ghasia na maandamano yale yalipangwa, yaliratibiwa na yalifadhiriwa….na wale walio ratibu na kufadhiri, wali train pia watu wa kufanya ghasia zil Mfano; watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ghasia na Wizi Uchaguzi Mkuu 2025: Ukweli wa Oktoba 29

    JAJI CHANDE ◾️Kuzuia na kuvuruga uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025 ◾️Waliharibu vituo vya kupiga kura na kushambulia mawakala na mali za wananchi waliojitokeza kupiga kura ◾️waratibu wa ghasi walitumia malalamiko ya wananchi dhidi ya serikali wakati wanawashawishi ◾️wafanya gahasia walikuwa...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi Oktoba 29: Ripoti Huru

    AMEONYESHA UWEZO WA KUTOA HAKI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU Kutoka uongozi wake kama Jaji Mkuu wa Tanzania hadi majukumu ya Umoja wa Mataifa, Jaji Chande ameonyesha uwezo wa kutoa haki katika mazingira magumu. Tume ya Uchunguzi ya matukio ya 29 Oktoba chini yake itatoa ripoti yenye mamlaka na...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya LHRC yarejea mauaji ya Oktoba 29, yayaita kipindi cha giza

    Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za binadamu Tanzania. Mauaji hayo yalifanyika baada ya maandamano kuzuka katika mikoa mbalimbali nchini...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA wafanya Dua kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29

    KATIBU wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hassan Said Chizenga, ameongoza dua maalumu ya kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29, akisisitiza umuhimu wa haki, uwazi na maridhiano katika mchakato mzima kuelekea ripoti ya tume hiyo. Dua hiyo inalenga kuiombea Tume iweze kutekeleza majukumu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Media na wasanii Bongo ni wanafiki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, akifa mtu mmoja post kila kona

    Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii. Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tarehe 29 Oktoba 2025 haitasahaulika. Ujumbe kwa Samia na CCM

    CCM na huyo Samia wao, wametenga hela nyingi kwa Content Creators ili wawe wanahoji mambo ya kijinga ili kuwasahaulisha watu Ugumu wa maisha, Ripoti ya CAG na Mauaji waliyofanya tarehe 29 Oktoba 2025 walipokuwa wanalazimisha kuongoza Nchi. Hii Video ni Ushahidi kwamba tarehe 29 Oktoba 2025...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania BAKWATA: Kila mmoja anapaswa kupata funzo kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025

    Salamu za BAKWATA katika baraza la Eid El Fitr zilizotolewa na Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaj Nuhu Jabir Mruma
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania BAKWATA: Pongezi za ziada ziende kwa vyombo vya ulinzi kuhakikisha Amani na Usalama vilirejea ndani ya muda mfupi Oktoba 29

    Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaj Nuhu Mruma, akizungumza kwenye Baraza la Idd el-Fitri leo tarehe 21 Machi, 2026 jijini Dar es Salaam.
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kimara Kilungule mara ya mwisho tulipata maji ya DAWASA Oktoba 30, 2025

    Mimi ni Mkazi wa Kimara Kilungule kwa Mkua. Kero yangu inahusu DAWASA mara ya mwisho maji kutoka ilikuwa tarehe 30/10/2025. Je, ni kwamba hii mamlaka imetusahau kabisa? Maana tuliambiwa mgao wa maji umeisha tumesubiria lakini wapi, je hii huduma kwetu ndiyo basi? Napata tabu sana nanunua ndoo...
Back
Top Bottom