ofisi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Usioe "secretari" anayefanya kazi ofisi yoyote. Utanishukuru

    Ktk zama hizi ukimkuta mdada ni sekretari basi ujue ana tabia mbaya i.e alishindikana kimalezi na hata alipopelekwa shule hakuzingatia masomo. Wengi wao walidanga na kudaka ujauzito wakiwa shule za msingi ama kidato cha 2 wakajifungua halafu wazazi wakawapitisha QT, kisha wakaenda kusoma...
  2. JamiiForums Tanzania Naweza kukuonesha njia nzuri ya kuipa muonekano nadhifu ofisi au nyumba yako

    Habari zenu wadau, leo nawakaribisha na kuwaambia kwamba sisi kama African businesses tunatoa huduma ya kupamba na kupendezesha ofisi au makazi kwa kwa kutumia mapambo ya mbao na picha pamoja na materials mengine, tunafanya ofisi au nyumba yako kuwa nadhifu kabisa. Gharama zetu ni nafuu sana...
  3. JamiiForums Tanzania INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    We tuambie budget yako ni shilling ngapi na unahitaji home appliances ipi tuko kwa ajili yako Kwalioko dar es salaam unaletewa mzigo ndo unalipa na mikoani unatuma fedha ndo tunakutumia mzigo. Mawasiliano ya cargo tunazotumiaga wapigie watakuelekeza ofisi zao zilipo kwenye mkoa husika, na bei...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanza: Wananchi Wakesha kwenye ofisi za CHADEMA ili kuwahi Maandamano

    Hii ndio Taarifa Mpya iliyotufikia usiku huu, kwamba Maelfu ya Wananchi wanamiminika kwenye ofisi zote chadema za Jiji hilo kwa lengo la kukesha ili kuwahi kujiandikisha, ili washiriki maandamano. Wananchi wengi wanadhan kwamba i ili kushiriki Maandamano hayo ni lazima ujiandikishe, hivyo...
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana wa kusimamia biashara ya Tigopesa

    Habar zenu waungwana nimekuja kutangaza fursa ya kazi kijana mwenye uzoefu wa biashara ya tigopesa wa kike au wa kiume awe anaishi Tabata anicheki, ofisi ipo Segerea. Kama una ndugu yako kikubwa awe muaminifu mwambie anichek malipo ni 50/50 commision kikubwa ajitume. Call 0627218573
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini ofisi ya Air Tanzania tawi la Mwanza hawavai sare?

    Nilienda katika ofisi hiyo kutafuta huduma na kilichonishangaza ni kuona watumishi wa ofisi hiyo hawavai sare. Hapo zamani ukifika ofisi za Air Tanzania unakutana na watumishi wenye customer care na wamevaa sare za sketi blue na blouse za njano na beji kwa akina dada na wanaume wakiwa pia na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ikitokea mfanyakazi mmoja wa ofisi za umma akawa mtenda haki, sio mpenda rushwa anachukiwa sana?

    Nawasalimu Kwa Jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, nawashukuru wazazi wangu Kwa kunizaa hivi nilivyo nashukuru. Mimi nimekuwa miongoni mwa watu ambao nimezaliwa nikajikuta nina moyo ambao muda wote unaitaji amani, na sipendi kuonea mtu wala sipendi kuona mtu mwingine akionewa...
  8. JamiiForums Tanzania Uwakala wa crypto una faida kubwa na huduma zisizohitaji ofisi

    Mimi ni trader wa forex katika soko la gold ambayo pear XAUUSD niliyoingia nayo ilinipa kama usd 7700 kwa lot size 20 kipindi cha nyuma mwaka 2021. Kipindi cha nyuma kutrans pesa kufika kwenye nchi yetu ilikuwa changamoto hata wengine ilifikia pesa zao kuzuiwa na benki nyingi au kuletewa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Juliana Shonza Akabidhi Mifuko 30 ya Saruji (690,000) Ujenzi Ofisi ya UWT Kata ya Ibaba

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Ileje Kata ya Ibaba kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero za wananchi na kuwapa mrejesho wananchi kuhusu utendaji kazi wa Serikali. Katika ziara yake, Mhe. Juliana Shonza...
  10. JamiiForums Tanzania IDF yagundua handaki na ofisi ya kijeshi chini ya makaburi

    Yaani hawa magaidi wa dini walitumia nguvu nyingi sana kujipanga, dadeki.. Hawa walipaswa wapigwe carpet bombing tuanze upya, ingekua Mrusi au Mchina anapambana na hawa, angepiga moja tu na tunasahau hizi issue, dunia inapiga makelele mwezi mmoja kisha tunafanya mengine. Israel wanatumia nguvu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mwanasiasa anaona wivu ujenzi wa ofisi kama Makao Makuu ya CHADEMA kwa naye mbali anaweza kukupa hata sumu

    Kuna watu wamezaliwa na roho mbaya, wana roho na wataendelea na roho mbaya. Kuna watu niwakatili na wataendelea kuwa wakatili. Ukiona kiongozi anasimama adharani analalamika chama cha siasa kujenga ofisi basi tambua huyo mtu akipata upenyo anaweza kuchoma moto hata nyumba ya jirani yake ambaye...
  12. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji mfanyakazi kwenye ofisi?

    Habari! Ikiwa unahitaji mfanyakazi katika ofisi yako, nipo tayari kuja kufanya kazi. Elimu yangu ni shahada ya kwanza ya usimamizi rasilimali watu (Human Resources Management). Nina uzoefu wa kazi zifuatazo kama vile; (Loan officer, sales representative and stationarist, human resources...
  13. JamiiForums Tanzania Nimeoteshwa kuwa hii ndo inaweza kuwa kauli ya mwenyekiti wa chama katika ofisi yao mpya huko Mikocheni

    Ndugu wananchi, waandishi wa habari, wanachama wenzangu na watanzania kwa ujumla Asalam aleikum...., bwana Yesu asifiwe...., tumsifu Yesu Kristo. Ndugu zangu waandishi wabari leo nimewaita hapa kwa lengo la kuweka mambo sawa kuhusu mustakabali wangu na wa chama changu. Mtakumbuka miaka kadhaa...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua zilipo Ofisi za Mganga mkuu(RMO) Mkoa wa Dar es salaam

    Hello! Kama kichwa kinavyojieleza, hivi hizi ofisi ziko wapi? Natanguliza Shukrani
  15. JamiiForums Tanzania Ofisi za mamlaka ya mapato Tanzania (TRA ) kuwa wazi tarehe 30 NA 31 December, 2023

    Ofisi za TRA zitakuwa wazi siku yavtarehe 30 na 31 Desemba ,2023 ili kuweza kuwahudumia wananchi na walipa kodi
  16. JamiiForums Tanzania UWABATA kumbe ina ofisi kabisa?

    Hebu jionee. Halafu si walisema stand imebadilishwa jina??
  17. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana

    Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watumishi walio chini yake kufanya kazi kwa kutegemeana na kushirikiana bila kutengeneza makundi. Ametoa rai hiyo Mkoani...
  18. JamiiForums Tanzania Kutoka kua Mfagiaji, Mdeki Choo cha kunuka cha walevi, Mlinzi binafsi mpaka Cheo kikubwa Ofisi kubwa yenye kiyoyozi

    Coming Soon Mods tuheshimiane msifute.. Mimi sio mwandishi na msimuliaji mzuri tuvumiliane,
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM wapo tayari kujenga ofisi za kisasa kuliko kujenga shule za kisasa

  20. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Kama Kiongozi wa Umma hataki mambo yake yawe wazi kwa Umma, aachie Ofisi

    Nchi zetu za Kiafrika kila kitu ni changamoto sana. Viongozi wetu wanatamani kuwa viongozi wa Umma, lakini hawataki mambo yao yoyote yajulikane na Umma, Ajabu kwa kweli. Ndiyo maana Wakili Msomi Boniface Mwabukusi aliwahi kusema kwamba; 'Kama kiongozi wa Umma hataki mambo yake yajulikane na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…