Paul Makonda aingia Arusha, akabidhiwa ofisi na kuzungumza na Wananchi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
3,000
12,351

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, John Mongela akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda katika hafla ya kukabidhiana ofisi Leo April 8, 2024 katika ukumbiwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Pia viongozi mbali mbali wamehudhulia hafla hiyo.

GKogeOgW8AAbfAo.jpeg

PIA, SOMA:

Uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa
Matukio baada ya Uteuzi
 
Sijui atachagua kuanza na kazi gani

- Kushindana na Lema ili kumsaidia Gambo au

- Kuhangaikia barabara zilizoharibiwa na mvua huko Arusha.
 
Amemwaga vipaumbele majazi wastaafu na walio kazini wasalimishe silaha zao tunataka watalii masaa 24 biashara!
 
Back
Top Bottom