offer

  1. Niache Nteseke

    Hivi hawa Vodacom wameondoa Kaskazini Offer tu au wameondoa Offer zote?

    Heshima kwenu. Nilikuwa natumia mtandao wa tigo zamani, nikawa nimekuja sehemu ambayo network ilikuwa inashika kwa tabu sana, kwa kuwa nina line ya Voda nikajaribu kuweka salio ikawa inafanya vizuri tu nikaacha kutumia line yaTigo. Sasa juzi najaribu kuunga kifurushi kwa line ya Voda nashangaa...
  2. Unavoidable Servant

    Rais wa Al Hilal apingwa vikali baada ya kutangaza ofa kwa mashabiki wa Simba kusafirishwa kwenda Sudan

    Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na makazi bure ili waende kuishangilia tena Al Hilal. Na haya ndiyo majibu ya mashabiki wengi wa Al...
  3. M

    Yanga imetuma offer ya kuvunja mkataba wa Manzoki na sio kwamba imemsajili Manzoki

    Naona mashabiki wanachanganya mambo hapa juu ya suala la manzoki, Ukweli ni kwamba yanga wamekubali kuvunja mkataba wa manzoki na kulipa pesa ambayo vipers wanaitaka na hilo limejiri baada ya makamu wa Rais wa yanga kufanya mazungumzo na uongozi wa vipers pamoja na wakala wa mchezaji husika...
  4. Djkillertz933

    Natafuta Daktari wa kukodi. Kuna kazi ya kutahiri watu wawili wakubwa

    Natafuta Daktari wa kumkodi kuna watu wawili wa Miaka 18 wanahitaji kutahiriwa. Aje na offer kila momja atagharimu bei gani. Nipo Dar es Salaam
  5. C

    Offer: Vitunguu Saumu ( Fresh Garlic)

    Fresh Garlic Offer! 2,000 Tzs / Kg ($0.9/Kg) From Iringa - Tanzania MOQ: 100 Kgs Call: + 255 658 700 510 Grab this Offer Now!
  6. M

    SI KWELI Elon Musk alitaka kuinunua Facebook kisha kuifuta

    Agosti 5, 2022 kuna uvumi ulivuma sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari vikionesha kuwa Elon Musk anataka kununua Facebook kisha kuifuta.
  7. Pascal Mayalla

    Dear Mama, Can you Offer An Unconditional Amnesty to All Zanzibaris Waliokimbia After Revolution, Incl Sultan, Be Free to Return & Start Afresh?

    Wanabodi Kwa vile Rais Samia, ameisha onyesha nia ya dhati, (political will) ya kuliponya taifa kwa kauli na matendo, mnaonaje pia tukamshauri pia ayaponye na majeraha na makovu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kwanza kwa kutoa an unconditional amnesty kwa wote walioikimbia Zanzibar, wakati...
  8. mbinda_smartphones

    Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  9. Shark

    OFFER, Jezi ya Simba Kwa TZS 10,000/- tu

  10. DUMEGUY

    Ivi azamtv offer ya kisimbuzi kipya ipo?

    Mambo vipi wakuu, nahitaji kujua kitu. Ivi ile offer ulikua ukinunua kisimbuzi kipya unapewa mwezi mzima bure amna ama?, Nauliza ivyo maana nimenunua kipya leo kuwasha naona free local chanel Cha antena 99k
  11. ommytk

    Hivi msg za mitandao sijui offer gani mara sijui bet ganj kina mo GSM kina SSB wanatumiwa kweli

    Mie nachukia sana hizi msg mara sijui kuna offer gani mara sijui bet ganj mara sijui shinda nini mara sijui simubima sijui mara sijui chagua mwito sijui unapigiwa simu imesimama kwa daladala mara sijui simu bima sijui nachukiaga sasa nikawaza hivi kina moo au GSM au ssb au boss unga azania au...
  12. Nafaka

    Johnny Depp adai hata angepewa offer ya $300 milion, hawezi kuwa tena Jack Sparrow

    Najua wengi wenu wapenzi wa franchise ya The pirates of the carribean. Na najua bila shaka mnaipenda kwasababu ya Captain Jack Sparrow ambayo ni character inayochezwa na Johnny Depp. Ila kwanza watengeneza movie walikuwa washaamua kwamba hatahusika tena katika movie hiyo kutokana na scandal...
  13. mkenya wa kova

    Tunatoa offer ya urembo wa nyumba kwa bei sawa na bure

    Njoo uchague sample ya urembo kwa offer ya pasaka na mwezi wa Ramadhani bei rahisi sana ,ni popote tanzania tunakufikia kwa.... Nguzo @ 50000 Dirisha@ 30000 Kona@40000 Arch@20000 Mkanda wa msingi@250000 Arch ya dining@ 150000 Piga 0747618315 WhatsApp 0719999526
  14. N

    Asante kocha pablo kukataa offer ya orlando pirates

    Amini usiamini Pirates wamefanya vizuri kwenye kundi lao lakini mashabiki wao hawana imani na wachezaji wengi team na haswa kocha wao sasa kumbe CEO wa pirates alikuwa busy kumpa offer nono Bwana Pablo ambaye kakataa akiamini analo jukumu la kukamilisha simba Siku nasikia kocha huyu wa zamani...
  15. Louis Mahali

    We offer editing and Proofreading

    PAGEPATROL Pagepatrol Tunatoa huduma za Editing, Proofreading And Translations. Editing and proofreading in terms of. Research paper,Journals,Thesis,Articles, contract,Essay writings etc. Translation in terms of; Germany, English,French and Swahili. Gharama zetu ni kwa bei nafuu Sana...
  16. C

    INAUZWA Offer Kabambe: Pata Saa 3 za Viwango kwa 100,000/- TU!

    Offer kabambe: pata saa 3 za Viwango kwa 100,000/- TU! Hizi saa thamani yake kwa kawaida ni over 200K TZs. Lakini nimeamua kutoa unbeatable offer, hivyo utapata kwa 100,000 TU! Unapata saa zote tatu! Kwa wale wanaojua value ya hizo saa wananielewa. Brands: Amst =1 Navi Force = 1 Skmei...
  17. R

    Tupeane offer nzuri za simu kipindi hiki cha sikukuu (Samsung Only)

    HABAR WADAU Mambo ni mengi mda ni mchache ni ngumu kwa binadamu mmoja kupata taarifa zote so usishangae kuna offer tamu sana yenye discount ya kutisha ikakupitia hvhv ndio mana nimefungua uzi huu ili wadau tupeane habar simu gan kali zina discount nzuri za samsung kipind hiki cha sikukuu...
  18. tzhosts

    WEBSITE OFFER 2021

    visit tzhosts.com or email:info@tzhosts.com
  19. Nyamayanguruwe

    Nauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa na nyama

    Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60 Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro. Wapo Majike 9 na Madume 9 Wote Wanauzwa Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu Tuwasiliane +255738141339 Text, Call or Whatsapp...
  20. C

    Phone4Sale OFFER: Xiaomi Smartphone Redmi 7 32GB Storage 199,000 TZS

    Grab this Offer Now! Xiaomi Redmi 7 Rom: 32 GB ( store more videos, photos,etc) Ram : 3 GB Condition: Used but still in a good condition Battery: 12 hrs + Delivery: From Dar es Salaam to any region in TZ OFFER: 199,000 TZs CALL: +255 757 700 510 Serious buyers only!
Back
Top Bottom