Yanga imetuma offer ya kuvunja mkataba wa Manzoki na sio kwamba imemsajili Manzoki

Mtanzanias

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,747
3,723
Naona mashabiki wanachanganya mambo hapa juu ya suala la manzoki, Ukweli ni kwamba yanga wamekubali kuvunja mkataba wa manzoki na kulipa pesa ambayo vipers wanaitaka na hilo limejiri baada ya makamu wa Rais wa yanga kufanya mazungumzo na uongozi wa vipers pamoja na wakala wa mchezaji husika akiwa ziarani Uganda kwenye issue nyingine za kiofisi zaidi, tuelewe kwamba kutoa offer ni jambo moja na kukubaliwa offer ni jambo lingine.

Yanga anaweza kufanikiwa kumpata au anaweza pia asifanikiwe kumpata inategemea na klabu yenyewe inayommiliki, Simba wao walikataa kutoa pesa waliyoitaka vipers lakini na wao endapo watatoa pesa iyo wanaweza kupewa kipaumbele cha kwanza kwa kuwa ndio walioonyesha nia ya kwanza kumtaka, kwa maana iyo basi suala la manzoki bado liko wazi kwa vilabu vyote viwili ikiwa tu dau la dola laki 2 litawekwa mezani na si vingonevyo.
 
Tumekupata vizuri
 
Kitu ambacho hatukielewi timu inaweza tuma offer yao na klabu ikakubali ila changamoto inaweza kua mchezaji akagoma kwenda timu iliyoleta offer.

Mfano mchezaji wa leeds na Barcelona. Chelsea walikubaliana ila mchezaji akakataa.
 
Naona mashabiki wanachanganya mambo hapa juu ya suala la manzoki, Ukweli ni kwamba yanga wamekubali kuvunja mkataba wa manzoki na kulipa pesa ambayo vipers wanaitaka na hilo limejiri baada ya makamu wa Rais wa yanga kufanya mazungumzo na uongozi wa vipers pamoja na wakala wa mchezaji husika akiwa ziarani Uganda kwenye issue nyingine za kiofisi zaidi, tuelewe kwamba kutoa offer ni jambo moja na kukubaliwa offer ni jambo lingine.

Yanga anaweza kufanikiwa kumpata au anaweza pia asifanikiwe kumpata inategemea na klabu yenyewe inayommiliki, Simba wao walikataa kutoa pesa waliyoitaka vipers lakini na wao endapo watatoa pesa iyo wanaweza kupewa kipaumbele cha kwanza kwa kuwa ndio walioonyesha nia ya kwanza kumtaka, kwa maana iyo basi suala la manzoki bado liko wazi kwa vilabu vyote viwili ikiwa tu dau la dola laki 2 litawekwa mezani na si vingonevyo.
kolo wizard wanahaha saa hizi........
 
Ile hela uturuki mmemaliza kulipa na mtibwa walikuwa wanadai pesa ya msheri.
 
Naona mashabiki wanachanganya mambo hapa juu ya suala la manzoki, Ukweli ni kwamba yanga wamekubali kuvunja mkataba wa manzoki na kulipa pesa ambayo vipers wanaitaka na hilo limejiri baada ya makamu wa Rais wa yanga kufanya mazungumzo na uongozi wa vipers pamoja na wakala wa mchezaji husika akiwa ziarani Uganda kwenye issue nyingine za kiofisi zaidi, tuelewe kwamba kutoa offer ni jambo moja na kukubaliwa offer ni jambo lingine.

Yanga anaweza kufanikiwa kumpata au anaweza pia asifanikiwe kumpata inategemea na klabu yenyewe inayommiliki, Simba wao walikataa kutoa pesa waliyoitaka vipers lakini na wao endapo watatoa pesa iyo wanaweza kupewa kipaumbele cha kwanza kwa kuwa ndio walioonyesha nia ya kwanza kumtaka, kwa maana iyo basi suala la manzoki bado liko wazi kwa vilabu vyote viwili ikiwa tu dau la dola laki 2 litawekwa mezani na si vingonevyo.
Manzoki wa nn wakat una Mayele na Aziz K
 
Back
Top Bottom