offer

  1. L

    Dualis inauzwa hii ni offer ya kufunga mwaka

    Habarini Wana JF napenda kutoka offer ya kufunga mwaka Naitoa kwenu Dualis kwa 13.8Million Gari nzuri sana Piga 0695022051
  2. L

    Car4Sale Offer ya DISEMBA hii apa

    Habarini Ndugu Wana JF, Nimewaletea offer ya DISEMBA pata IST. Number DS kwa 13.8 million tu Piga 0695022051 #uje kuikagua uondoke nayo
  3. P

    Phone4Sale Holiday Phones Offer

    All phones are available Top up and Exchange allowed. Mnunulie simu nzuri kutoka kwetu Mpenzi, rafiki, ndugu, baba, mama, shangazi au mjomba. Ni mwezi wa zawadi usikae kinyonge. Tumewashushia bei za bidhaa zetu changamkia fursa hyo.
  4. ELI COHEN

    Shyne: "Nilidhani Diddy atanipata $10million kwa kuspend miaka 10 gerezani kwa ajili yake ila nilishangaa yeye kuni offer $50,000"

    Shyne "Jamaa ananipa 50k wakati huo ametoka kuspend 500k kwa mpenzi wake" Shyne ambae alikuwa mmoja wa entourage ya diddy wakati mtu mmoja alipopigwa risasi hadi kufa kwenye party, alikataa kusema ukweli kwa kile kilichotokea kupelekea mauaji ya jamaa huyo alipokuwa kiziuzini. Aliamua kuchukua...
  5. The Avatar

    TV Inch 65 inahitajika offer 800,000

    Smart tv Inch 65 brand yoyote offer yangu ni 800k..
  6. F

    TOOLS FOR SALE, SINA UTAALAM NAZO NAOMBA OFFER

    Tools pitia picha chini
  7. D

    Offer offer phone accessories

    Duka ni jipya lipo mbagala phone accessories kwa BEI ya kitonga jumla na rejareja EARPODS 3 kwa 7,000/= tu Viioo vya SIMU Charge aina zote Smart watch N.k 0748831964 Whatsapp
  8. P

    Phone4Sale Nauza Simu aina zote

    Je, unataka simu bei chee? Je, una abudget ndogo na unataka simu? Je, unataka kufanya Top up au exchange? Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako. Exchange na Top up tunafanya! Simu tulizonazo dukani ni; 📱Google pixel 📱aquous arrow 📱samsung 📱Iphone 📱LG 📱Sonny Xperia...
  9. mkenya wa kova

    Wakazi wa dodoma nawapa offer ya urembo wa nyumba kwa bei kitonga sana

    Ni urembo safi wa nyumba yako.angalia samples hapa.... ..nguzo 40000 ..dirisha 35000 ..kona40000 .. skirting 150000 Karibuni nyote 0719999526
  10. T

    Project Consultant....what i can offer for you

    Habari wanajamvi.. Kila siku watu wanawaza how to make money through doing businesses or establishing commercial projects. Kuna watu wana mitaji ila wana hofu wajilipue vipi, wanaogopa risks hasa za kupoteza fedha..lakini ijulikane kama hutapoteza while doing business with profit motivation, its...
  11. D

    Tetesi: Wachezaji karibu wote wa Yanga wana Offer mezani

    Mzee wangu yupo karibu sana na yanga, kitu watu awajui ni kwamba. First 11 ya yanga. wote wanaoffer mezani. so usishangae PACOME- Al ahly, Aziz - pirates, Bacca -AS Far, SA , max - SA , job - Europe, Yao - morocco , lomalisa - SA, Diarra - morocco, hadi Aucho ana offer mezani.. i suspect...
  12. Sigonella Island

    Russia imetangaza dau kwa Marubani watakao torosha ndege za F 16

    Urusi imetangaza dau mamilioni ya Dola kwa Marubani wa Ukraine na Western watakao rusha ndege za F 16 za msaada kwa Ukraine wazitoroshe kwenda Urusi Russia promised Western and Ukrainian military pilots a million dollars for the ``kidnapped'' fighter F-16 IF THEY DEFECT TO HER SIDE WITH THE...
  13. A

    Mbezi Aluminium and Glass offer

    Habarini wadau wa jukwaa la ujenzi na makazi, poleni na harakati za hapa na pale, kikubwa tuombe uzima tufanikishe ndoto zetu na malengo yetu. Habari njema ni kwamba nimekuja na taarifa kua kama unapata shida ni kiasi gani kinatakiwa kwenye site yako kuhusu Madirisha ya Aluminium, milango ya...
  14. Genio the great

    Jipatie korosho kwa bei ya ofa

    Hellow Wana JF Nisiwe na maneno mengi Leo nimekuletea bidhaa ya korosho inayotoka mkoani mtwara, Korosho nzuri na unazipata ukiwa hapahapa daresalam Kwa bei ya 20,000/= tu Kwa 1Kg Kwa anayehitaji tufanye biashara anicheki 🙏🙏🙏
  15. D

    Wewe ndo Kibu Denis, una offer ya 30k usd per month na signing fee ya 300k usd. will you sign?

    I will be short Simba since last season wamepata offer nyingi za kibu denis wamegoma kuchukua hela. contract yake inaisha wanataka kumpa new contract then wamuuze kwa faida. maana kuna over 600k usd to 1 m usd for kibu denis. simba wanatoa 500 million contract. He is leaving for free. end of...
  16. sinaham

    Kampuni ya vodacom mna nini mwaka huu? Nimekuwa nikipokea offer mfulululizo mfano sms hii hapa na kabla ya hapo MB kama zote.

    Najuaga hakunaga vya bure. Nimekuwa nikipokea sms za kupokea vifurushi bure. Una Dakika 20(Voda) na SMS 100 mpaka 2024-04-08 07:05:35 kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki. Kujua salio Piga *149*60#. Vigezo kuzingatiwa nimajiuliza sana kwa ile kanuni ya HAKUNA CHA BURE HAPA DUNIANI yasije...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Phone4Sale Samsung galaxy S10e mpya imetumika mwezi mmoja tu inauzwa laki 3 na Nusu

    Wakuu. OFFER: Samsung galaxy S10e mpya imetumika mwezi mmoja tu inauzwa laki 3 na Nusu Specification: Kwanza kabisa ina wireless charging system Yaani unaweza kuchaji kwa kuilaza juu ya simu nyingine. RAM 6 GB Storage 128 GB BATTERY Type Li-Ion 3100 mAh, non-removable Charging15W wired...
  18. yalekegraphix

    Wahi offer hii ya kudizainiwa logo mwezi wa makopa

    .
  19. Madish Installers

    Tunafunga Electric Fence, Tsh 19,000 kwa square meter 1

    MaDish Installers Tunafunga mifumo ya ulinzi kwa kutumia:- CCTV cameras Electric fence Alarm system Intercom Na mengineyo na wakati huu tuna punguzo maalum kwenye kufunga Electric fence kwa Tsh 19,000/= kwa square meter 1, tunafanyakazi mikoa yote Tanzania. Pia tunafunga mfumo wa TV...
  20. Tman900

    Line ya Simu Cm Card. imepotea Mtu ambayo ameokota. Kuna Offer Tsh 50,000/=

    Juzi nilidondosha Simu ndogo/Kitochi Nokia 3310.Mda wa saa Kumi jioni Maeneo ya Mwera darajani Kibada(Kigamboni) kabla ya kulikaribia Daraja Au Baada ya Daraja Mitaa hiyo. Hiyo line Ni ya Halotel inapasswed. Kama Kuna mtu ameokota Natoa Offa ya Tsh 50,000/= #Nitaifuata hapo kwa Gharama...
Back
Top Bottom