Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,441
- 113,450
Wanabodi
Kwa vile Rais Samia, ameisha onyesha nia ya dhati, (political will) ya kuliponya taifa kwa kauli na matendo, mnaonaje pia tukamshauri pia ayaponye na majeraha na makovu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kwanza kwa kutoa an unconditional amnesty kwa wote walioikimbia Zanzibar, wakati wa Mapinduzi including Sultan aliyepinduliwa, wawe wako free kurejea Zanzibar and start afresh?.
Hoja hii imenijiq baada ya kuusoma mchango wa mwana jf huyu katika bandiko hili Duh! Kumbe Zanzibar ilikuwa na Sultan mwenye asili ya Oman aliyekimbilia uhamishoni baada ya Mapinduzi mpaka mwaka 2021
Sultan aliyehamishia makao makuu ya Sultanate of Oman kutoka Oman na kuhamishia Zanzibar ni Sultan Seyyid Said mwaka 1732.
Baada ya kuhamia Zanzibar, hakuendelea kuitawala Oman bali ndugu zake wa ukoo wa Busaid ndio waliendelea kuitawala Oman, kila prince aligaiwa pande lake, hata Sultan wa Brunei ni ukoo huu huu, hivyo baada ya Sultan wa mwisho aliyepinduliwa Zanzibar, alitaka kwenda Oman, wakamgomea maana kule hana chake.
Uingereza ndio sio tuu ilimpa hadhi ya ukimbizi bali ilimtunza as a political asylum kwa zile zile stripends za refugees. Wakimbizi wakiisha pata hadhi ya ukimbizi, hawaruhusiwi kushughulika na siasa za nchi zao, hivyo huyu Sultan, alikuwa kimya toka ile 1964 hadi 1972 Karume alipouwawa Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe...
Inawezekana Sultan Jamsid ambaye ni Mzee kwa sasa angetamani kuja ku... Zanzibar alikozaliwa kwa sasa amekubaliwa kuishi Oman hizi siku zake za mwish so that he can die in peace, ila huenda angetamani aitwe akiwa Zanzibar mahali alipozaliwa!.
Kwa vile baada ya Mapinduzi Waarabu hawakufukuzwa Zanzibar bali walikimbia wenyewe, Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari
Mnaonaje tukimshauri Rais Samia, atoe msamaha wa jumla kwa Wanzanzibari wote walioikimbia Zanzibar, wakati wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wawe wako huru kurejea na kuja kuanza upya na sio kurejeshewa yale ma kasri yao bali warejee kwao walipo zaliwa, ili siku ya wito ikifika, iwakute wakiitwa kutokea Zanzibar na sio siku hiyo iwakute uhamishoni!. Wakiondokea Zanzibar mahali walipo zaliwa, huenda wataondoka kwa amani zaidi ya kuondokea ugenini.
Amnesty hiyo sio kuurejeleza usulutani Zanzibar, bali ni extension of reconciliatory efforts kama maandalizi ya kuja kuundwa tume ya truth and reconciliation ili kutibu the deep wound and scars za yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na ili kutibu wahanga wa Mapinduzi yale, inaweza pia ikaamuliwa neno matukufu kwenye Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, likaondolewa maana...
Mnaionaje hoja hii?. Maana juzi kati, tulimuona hata Mama ana ndugu na jamaa kule, kama wako kule kwasababu waliimimbia Zanzibar, wafunguliwe milango, wanaotaka kurejea Zanzibar wawe free kurejea na wale waliozoea maisha ya kule then waendelee kuishi huko and you never know, unaweza kukuta hata yule Nobel laureate wetu Mzanzibari akarejea nyumbani ku settle Zanzibar ile midola ikawafaidia zaidi Wanzanzibari kuliko wazungu.
Hili mnalionaje?.
Paskali

Naunga mkono hoja, ila kuna vitu havisemwi kuhusu hii Zanzibar Oman connections.Siyo kwamba Zanzibar ilikuwa na Sultan mwenye asili ya Oman. Ukweli ni kuwa:
Oman iliifanya Zanzibar kuwa sehemu ya Oman, sawa na Ureno ilivyoifanya Mozambique kuwa jimbo la Ureno.
Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman, na Zanzibar ndiyo yalikuwa makao makuu ya Sultan wa Oman, akitawala Oman yote, pamoja na Zanzibar.