nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vifaa vya Aluminium kwa bei nzuri

    Nahitaji msaada wa kufahamishwa sehemu wanapouza vifaa vya kutengenezea madirisha ya Aluminium kwa bei rafiki
  2. Ni dhahiri kuwa wapinzani wameridhika na kazi nzuri ya rais Samia akitekeleza ilani ya CCM. Ndio maana wapo kimya wala hatusikii wakimkosoa.

    Wanaona ilani ya CcM inatekelezwa vyema na wao wanafurahia na kuuchuna kimoyomoyo maana maendeleo yanapatikana. Hakuna mgao wa umeme, miradi ya maji inazinduliwa kila kona, madarasa yamejengwa na wanafunzi wameenda shule. Barabara zinajengwa miundo mbinu inaimarishwa kila kona. Hatusikii...
  3. MSAADA: Naomba Call Recorder Nzuri Kwa Simu za Android Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Naomba mnijulishe kuhusu Call Recorder nzuri kwa Simu za Android inayoweza ku-rocord simu zote zinazopigwa na kupigiwa ili niweze ku-install kwenye simu yangu na niwe na uwezo wa ku-record kila simu inayoingia na kutoka kwenye simu yangu wakuu. NAWASILISHA.
  4. Nguo za mtumba za watoto sh 500/1000Tzs anayeuza

    Habari za wakati na poleni na mihangahiko. Naulizia Nguo za mtumba za watoto kwa anayefungua mzigo kwa bei hiyo 500/1000TZS tuongee biashara hapa hapa na wengine wanufaike mi ninanunua naenda kuuza nipate angalau faida kidogo. Mimi niko mkoani.
  5. L

    Nani yuko kwenye nafasi nzuri ya kupiga hela kati ya Mhasibu na Afisa manunuzi?

    Habari za jioni wadau! Tukiwa watoto tulikuwa tunawaza kazi nzuri ni udakatari na sheria ila kwa kadri umri unavyosonga unagundua hata huko ni umasikini tu sana sana uibe dawa ila kutoboa sio rahisi. Baada ya kutafakari muda mrefu nimeamua kubadilisha fani kabisa na hizo fani tajwa hapo juu...
  6. C

    Kama unauza PS3 ambayo ipo katika hali nzuri yaani haina tatizo lolote, njoo PM

    Ili mradi tu PS3 yako inapiga kazi freshi, yaani haina tatizo lolote lile we njoo PM tuzungumze. Mimi nipo Temeke, Dar es salaam.
  7. Mambo ya Kuzingatia ili Kutoa Huduma Nzuri kwa Wateja

    1. Elewa hitaji la mteja Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika biashara yako hakikisha unafahamu na kuelewa vyema anahitaji nini kabla ya kumhudumia. 2. Jitosheleze kihuduma Kabla ya kuamua kutoa huduma yoyote kwa mteja hakikisha...
  8. Ipi ni zawadi nzuri ya kumpatia mpendwa wako hasa wa kike?

    JF Mahusiano👋 Nipo hapa kuuliza swali dogo tu. Ipi ni zawadi nzuri ambayo unaweza mpatia mpenzi wako akafurahi Mainly Mwanamke hasa katika siku zao Maalumu kama Birthday? Nina Jambo langu hapa😂😂 NOTE:Toa ushauri pasipo kuangalia swala la uchumi let's assume wote tuna kitu.
  9. Marination nzuri kwa nyama choma mbuzi, ng'ombe au kuku

    Kwenu wataalamu wa kuchoma nyama za aina zote. Naomba tips za kibabe kuhusu namna ya kumarinate nyama kabla ya kuichoma na baada. Viungo gani vitumike, kiasi gani, balancing ya moto haswa kwenye jiko la mkaa iweje.
  10. Kwanini pepo ni jitu baya na peponi ni sehemu nzuri?

    Utamsikia mchungaji akisema '' nakutoa hili PEPO baya la umalaya uache dhambi ili ufike PEPONI''. Mida hii ninatoka Nyegezi mida fulani nitakuwa Dom.
  11. Wapi hapa Mwanza naweza kupata smart TV nzuri?

    Wakuu naomba kujua location nzuri naweza kupata Smart TV nzuri Inche 32.Nina 450,000 mkononi. Pia ni kampuni gani nzuri zaidi? Shukrani
  12. Mwanaume ukiwa na sifa ya ukorofi bado uko salama kwa wakwe zako

    Sifa ya ukorofi. A mister No Nonsense. HII ndio sifa Bora kabisa Kwa wakwe zako. Wakwe zako wanatakiwa wajue kwamba wewe mwanaume uliye muoa binti Yao. 1. Ni mkorofi Sana. 2. Hutaki Nonsense. 3. Mbinafsi/ mchoyo. 4. Hupendi kusaidia ndugu wa Pande zote mbili si ndugu wa ukoo wako Wala...
  13. R

    Naiona Tanzania Mpya chini ya Rais Samia ni ya kuigwa. Vijana tujiandae kwa mabadiliko

    Mabadiliko yanapotokea ni ngumu sana kuyapokea. Bahati nzuri ni kwamba hata yawe magumu kivipi lakini huwa inawezekana. Siasa za Ulaya na Marekani zilikuwa na sura sawa na hizi za Tanzania na Afrika miaka 200 iliyopita. Sasa Mh Rais Samia ameamua baada ya kutafakari na kugundua kuwa siasa za...
  14. Z

    Ni short course gani ambayo ni nzuri na ipo katika soko kwa sasa?

    Habarin wadau, Nimehitim diploma ya mambo ya utawala, sasa niliona nipige hata short course kutokana na changamoto za ajira,nilikuw nauliza je hii short course ya civil drafting ukiachana na chuo cha veta cha Dar es Salaam je kwa upande wa Dodoma nao pia wanatoa? Msaada wadau kwa anaejua
  15. Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

    Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu. "Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha. "Haina shida." Nikajibu. "Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza. Nikamjibu...
  16. Kushuka kwa influence ya Marekani kwenye muziki mzuri pamoja na movie

    Habari wana JF.. katika kipindi cha hivi karibuni kama miaka 5 au 6 nyuma kwa wale wafatiliaji wa entertainment hizi mbili muhimu kwa nchi ya marekani nazungumzia muziki na movie wamenotice kua kuna upungufu kidogo kwenye influence ya hivi vitu kwa sasa. Kwanini???? TUKIANZA NA MUZIKI, Baada...
  17. CHADEMA, ripoti ya CAG inakuwa nzuri inapoigusa Serikali; kikiguswa chama chenu mnakaa kimya

    Wanaukumbi. CHADEMA ILITUMIA MILIONI 377 NJE YA BAJETI Ukaguzi umebaini Tsh. 100,000,000 zilitumika kwa shughuli ambazo hazikuwepo kwenye bajeti Chama kilinunua Magari 5 kwa 227,430,000 na kutumia 50,000,000 kununua nyumba ya Ofisi Kanda ya Serengeti. Ripoti ya CAG ukurasa 266, imebainisha...
  18. Ukraine itume mabalozi wake kwenda Mkoa wa Mara kuchukua wapiganaji, mkoa huu unapenda sana kazi za Jeshi

    Yani Hakuna haja ya kutafuta, wakifika huko watakuta kuna foleni tayari inawasubiri kuanzia wajita, wakurya, wajaluo, Wazanaki, Wangoreme, Wasuba, Waikizu, Waisenye, Waikoma, Wakwaya, Waluli, Washashi, Wanata na Wasweta. Hata kipindi cha vita ya Kagera, kila mkoa ulipewa nafasi elf 2 za...
  19. TV gani nzuri kwa budget ya 400k?

    Nataka ninunue TV nzuri,budget yangu ni 400000. Naomba ushauri.
  20. Nahitaji Stabilizer nzuri kwa ajili ya vifaa

    Nahitaji stabilizer kwa ajili ya Tv. Naombeni mawazo mafundi wananambia hata nikipata ya watts 500 kwa Tv peke yake ni sawa. Mwingine ananambia angalau iwe ya watts 1500 na kuendelea.. Nahitaji kwa ajili ya TV tu basi.. nmeona brands nyingi kama 1. Tronic 2. Dolphin 3. Kodtec 4. Westpoint 5...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…