nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utawajengea wakwe zako nyumba?

    Kwa wengine ni kama mwiko kuwajengea wakwe nyumba. Lakini mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ule kufanya hivyo, hasa kama hali ya kifedha inaruhusu. Kutaonekana na kasoro tu ikiwa utawajengea wakwe huku wazazi wako wa kukuzaa hujawatendea hilo. Kimsingi, wakwe zako ni wazazi wako, na wa kwako...
  2. JamiiForums Tanzania Huwa ni rahisi mtu kuwa na Tabia mbaya kuliko kuwa na Tabia nzuri.

  3. JamiiForums Tanzania Hotel nzuri za bei Rafiki Bagamoyo

    Wadau sijawahi enda Bwagamoyo ila mwaka huu nimeona badala ya kwenda ku enjoy Dubai niende Bagamoyo nikakae hata week 2 Hotel flan hivi ufukweni maana mfukoni kume shake kidogo. Naomba mnisaidie majina ya Hotels nzuri za bei ya Taifa changa. Iwe kuanzia 50,000 mpaka 70,000. Ufukweni. Chumba...
  4. JamiiForums Tanzania Ni wapi Tanzania kuna bustani nzuri ya kupumzika kama ya Nakuru nchini Kenya?

    Ni sahihi kuiga vitu vizuri. Kama hatuna bustani nzuri kama hii iliyopo jijini Nakuru, Kenya, ni bora jitihada zifanyike ili miaka michache ijayo, tuwe na nzuri, tena kubwa kuizidi ya jijini Nakuru. Najua pale Mwanza Mjini, jirani na Gandhi Hall, kuna bustani ya uma lakini ukiilinganisha na ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mbao nzuri za kujengea makabati ya jikoni ukutani

    Habari za humu? Nilikuwa naomba kujuzwa mbao gani ni nzuri kwa kujengea makabati ya ukitani na pia Jikoni. Natanguliza Shukurani
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri

    Habari , nahitaji mabati used. Pc 50 nalipa cash mkononi nipo moshi mjini Mawasiliano 0672701329
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri ,,

    Habari waungwana , nipo hanitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri Nahitaji. Pc 50 Nipo moshi mjini Mawasiliano ni. 0672701329
  8. JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu hii ya SKUDU tuishi nayo Wana-YANGA, Hii ni moja ya Kauli Mbiu nyingine nzuri sana

    Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela. Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha. #The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe! #Hii Imeenda
  9. JamiiForums Tanzania Mkazi wa Morogoro Mjini mwenye smartphone inayotoa picha nzuri, nakupa 12,000 unipigie picha Unitumie

    Kama Unaishi Morogoro mjini naomba msaada wako wa hali na mali. Kuna tangazo la nyumba nimelipost Jana watu wengi wanunuzi wanahitaji Picha, lakini ubaya ni kwamba picha zinashindwa kupatikana kutokana na watu kukosa simu zenye ubora...
  10. JamiiForums Tanzania Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!. Hili Taifa la...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu Tanzania wanafanya kazi nzuri sana wapongezwe, waombewe kwa Mungu

    Ni dhahiri na ukweli usiopingika, Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalamaTZ, na safu yake nzima ya viongozi serikalini. Wanaiongoza nchi kwa umahiri mkubwa, uwazi sana, weledi wa viwango, upendo, bidii na mapenzi ya dhati sana. Mipango yao inachochea...
  12. JamiiForums Tanzania Je unahitaji vitanda vya hostel? Nauza vitanda na magodoro yake, viko kwenye hali nzuri sana

    Nauza vitanda na magodoro yake, ni vitanda double deck vina magodoro yake tayari. Size ni 3x6 Mbao ni Pine na Cyprus Bei 100,000 na godoro lake. Location: Dar es Salaam Waweza nipigia 0717454455/ 0767454455
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tunaishukuru MWAUWASA kwa huduma nzuri ya maji kinyume na siku za nyuma

    Binafsi niwashukuru sana MWAUWASA kwa kurudisha huduma ya maji ambayo ni endelevu kwa sasa kwa maeneo mengi Jijini Mwanza. Hongereni sana. Mjitahidi kuwa na huduma ambayo ni endelevu kwa maeneo mengi jijini Mwanza ili wananchi tuwe na imani na Mamlaka yetu. Asanteni sana.
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna nchi nzuri na rahisi kutafuta maisha na kupata hela kama Afrika Kusini

    Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa. Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution. Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala...
  15. JamiiForums Tanzania Kituo kinachofuata ni Rumion, naombeni mwongozo, ni gari nzuri au ninapotea?

    Hii gari nimeanza kuipenda siku za karibuni. Naomba kupewa muongozo wa uzuri na udhaifu wake.
  16. JamiiForums Tanzania Licha ya mabaya na mapungufu yako ni tabia ipi nzuri toka kwako ungependa mwanao aifuate ili imsaidie maishani?

    I know am not perfect na sio kama najisifia humu ila mwanangu akifata hulka yangu ya uchapakazi katika nyanja ya kazi za kawaida na zile za uchumi itakuwa bonge la blessing sana kwangu. Vipi kwa upande wako, ungependa mwanao afuate tabia, mwenendo au hulka gani nzuri uliyonayo? Karibuni.
  17. JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya Rim nzuri kwa ajili ya gari yako,Pita hapa

    Karibu kwa mahitaji ya rim nzuri za kupendezesha gari yako, size tofauti tofauti kwa bei poa kabisa. Tunapatikana Lumumba St, Dar es Salaam Whatsapp/ normal call +255626682228
  18. JamiiForums Tanzania Mbwa Mbegu nzuri ya kufuga

    Nahitaji kufuga mbwa. Naombeni kama kuna mdau anaweza ni bless na mbwa nitashukuru sana. Zisiwe zile mbegu za mbwa wa kizaramo... Vile vyembamba vinatanga na njia wakati wote. Hapana. Pamoja na kuwa ninaomba lakini pia haimaanishi nitachukua mbwa ambaye najua sitakuwa na furaha naye. Wale...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Kuna dawa ipi nzuri ya kusahau haraka?

  20. JamiiForums Tanzania Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

    Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo. Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi. Asante. NB. Ikiwa Dar iwe sehemu isiyo na makelele.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…