Wadau mnaomiliki stationery tupeane uzoefu wa mfumo mzuri unaoweza kusaidia kwenye mahesabu. Ukizingatia stationery ina mambo mengi kama kuuza bidhaa, kutoa huduma kama copy, scanning, printing na sometimes Bei ya printing au copy zinatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine means profit...