nyuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Inatisha sana huyu manyara ni nani?mpaka vijana wanashindana humu JF

    Sisi wengine tumezaliwa na kukulia Dar lakini nadhani tuna ushamba mwingi sana. Mimi namsikia sikia manyara sijui manara kwa vijana wanafahamu hadi anavaa nguo gani ya ndani. Na wanabishana sana. Yaani hasa madogo ambao walikulia mbwinde wakaja mjini basi wao wanachofanya humu JF ni kuonesha...
  2. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mshana Jr badilika, rudi kwenye asili Yako

    Huyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi. Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana. Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tupunguze kuwa wakali katika ku-approach nyuzi za watu, hatufanani fikra na maono, wengine ni msaada wanataka ili kuwa bora

    Tunaishia kuwabeza kulingana na uandishi wao. Wengine ni madogo humu , hawana experiences zenu, wanaiona duniani tofauti, so anapoleta kitu, msimamoe katika kumboresha , wengine wapo katika msongo hata anavyoandika unaweza kufikiri mbumbumbu. Na wewe pia unaeleta hoja ya kuomba msaada, kuwa...
  4. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Someni nyuzi za watu kwa makini

    Baadhi ya watu humu JF hawasomi nyuzi kwa ukamilifu wake,na ama huanza kuziponda nyuzi au kuuliza maswali,ambayo majibu yake yapo kwenye hizo nyuzi. Baadhi hukimbilia kujifanya wao wanajua hizo nyuzi kuliko hao walioandika nyuzi hizo.Huo ni utoto wa hali ya juu.Soma uzi mpaka mwisho,ukiwa na...
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Acha kupoteza muda wako kuandika nyuzi zifuatazo, utakuwa maskini milele!

    Kama wewe ni mtoto wa Elon Musk, usisome uzi huu, haukufai! Kila siku, vijana wengi wanatumia muda mwingi kuandika nyuzi mitandaoni kuhusu mambo yasiyo na faida kwa maisha yao ya baadaye. Kwa mfano mtu anaandika uzi wenye kichwa: “Bibi yako alikuwa na vidole vingapi?” Wengine wanazungumzia...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hawa ni JF Members maarufu wa ku-comment na ku-like ila wazito kuandika nyuzi.

    1. raraa reree 2. min -me 3. Smart911 4. Anastasia21 5. mrangi 6. Kiranga 7. Tlaatlaah 8. USSR 9. Extrovert 10. Magonjwa Mtambuka 11. Binti Sayuni03 12. leo dada 13. Cocastic
  7. Setfree

    JamiiForums Tanzania Atheists, leo mtajua hamjui. Jibuni haya maswali—mkishindwa, msilete tena hapa nyuzi za kuhoji uwepo wa Mungu

    You atheists claim there is no God, that the universe is a product of chance, and that morality and purpose need no Creator. You trust science and reason—but have you truly tested your beliefs? Let’s put it to the test—answer these 25 questions. If your atheism is as solid as you claim, these...
  8. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyuzi za bizness hazitembei ukilinganisha na majukwaa mengine

    Wakuu Spidi ya nyuzi za jukwaa hili la bzness hauwezi kulinganisha na majukwaa mengine kama MMU, Jit Chat, Mchanganyiko Siasa, Celebrity, Entertainment n.k. Hii kidogo mimi inanishangaza maana tuna bizness community kubwa tu lakini ukiangalia nyuzi nyingi za hapa zinaenda mwendo wa konokono...
  9. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wana-Palestina wanapendaga kujifariji humu ni nyuzi za kuonesha kuwa wana nafuu richa ya kuchakazwa na Israel.

    Kuna mwamba aliwahi kuja na uzi humu akasema "kujifariji sana ni tatizo, utajifariji mpaka uongo" Mfa maji maji utapa tapa, sasa nyie INTIFADA wa matumbe mnatapa tapa kutafuta vijihabari vinavyo onesha mapungufu ya Israel ili tu mtuoneshe kuwa bado mna oxygen, lakini kiuhakika mko very...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya nyuzi za Jamii Forums zilizonigusa kwa mwaka 2024, zako ni zipi?

    Leo ni Desemba 31 ikiwa ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka 2024. Tunafunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2025. Na hizi ndizo nyuzi zangu zilizonigusa kwa mwaka huu 2024… https://www.jamiiforums.com/threads/nape-makamba-kuondolewa-baraza-la-mawaziri.2236892/...
  11. Brojust

    JamiiForums Tanzania Moderator safi sana, Futeni kabisa nyuzi za ngono na uwasherati, Nyeto, na mambo yote yanayoamsha hisia.

    Kwa hili nawapongeza sana JF, Tena ingieni kabisa kwenye database zenu futeni kabisa mambo ya kula tunda kimasihara. Swali kidogo; Hivi Miss world na world most sexiest woman nani mzuri kusema ukweli ? Nawasilisha.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyuzi nyingi zinazo muunga mkono Mbowe zinaanzishwa na vijana wa CCM na sio wenyewe CHADEMA.

    Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tumefikia huku? Inakuwaje wengine tunabaniwa tusione nyuzi za mechi za Utopolo?

    Leo nimeshangaa hadi mechi inaendelea ya Yanga vs Prisons sioni uzi wake. Nikasema labda wamesusia litimu lao. Mara kuna mtu akaanzisha uzi unaohusiana na matokeo ya mechi, nilipoufungua, kumbe mods wameuunganisha, nikapelekwa kwenye uzi rasmi wa mechi ambao kwangu hauonekani. Nikasema mmmh...
  14. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Ni nyuzi zipi unapenda kuzisoma na huwa za member Gani wa JF?

    Binafsi mimi Mshana Jr. Maandiko yake ya kiuchunguzi ya ulimwengu mwingine. Kongole kwa Mshana Jr. Wewe nani anakuvutia hapa JF?
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

    HALIJAWAI KUWAPO TAIFA LINALOITWA PALESTINA! NI HAKI YA WA ISRAEL KUKOMBOA ARDHI YAO! Kama hujapita shule au kufuatilia historia huwezi Jua haya 1. Kabla ya Taifa Kuundwa Upya na kuitwa Israel (1948) Lilikuwapo Taifa linaitwa British mandate yaan eneo Lilikuwa chini ya Uingereza 1920-1948 wala...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nilileta nyuzi nyingi kuhusu wasanii wa kiume na hereni, kusuka pamoja na vipini puani hamkunielewa. Sasa P Didy kaja kuwafumbua macho

    Niliwaambia na nitawaambia kuwa shetani ndiye Mungu wa Dunia hii. Na ili akupe vya Dunia hii au akupe miliki yake lazima umsujudie. Wasanii wetu wanachotaka ni aidha pesa au umaarufu na hivyo vyote ibilisi anavyo. Ukimsujudia (kukubali amri zake) anakupa pesa nyingi na umaarufu anakupa. Hawa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Wadau tajeni Nyuzi zilizowahi kufa na kufufuka zaidi ya mara mbili

    Wakuu
  18. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je, Waziri Masauni apumzike? Akipumzika ndio Mwisho wa haya?

    Najiuliza uwajibikaji uko wapi? Ingekuwa nchi Kama Tunisia na Kenya au kwingineko kosa dogo tu linaondoa baadhi ya watu madarakani si kwa utashi wao!bali kwa Nguvu ya Umma na maandamano! Lakin hapo kwenye Kondoo wa Kiboko ya wachawi hata uwakojolee midomoni kila asubuhi Utasikia yote twamuachia...
  19. Baba Vladmir

    JamiiForums Tanzania Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers)

    Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers). FAIDA ZA KULA FIBERS; Mosi , Fibers ni chakula cha chembe hai za utumbo mpana. Utumbo mpana huzibadili fibers kuwa mafuta yajulikanayo kama BUTYRIC ACID. Mafuta haya ndo chanzo cha nishati kwa chembe hai za utumbo mpana (...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Wataalamu wa Afya watahadharisha Ugonjwa wa Kisonono unaweza kutotibika miaka inayokuja

    Kulingana na Shirika la Usalama wa Afya la Uingereza (UKHSA) imeonyesha takwimu mpya ya ongezeko la visa vya Kisonono kutotibika iamka ya hivi karibuni huku idadi ya wagonjwa kuongezeka nchini humo Visa vingi vya gonorhea inayopinga dawa vimeelezwa kuwa tishio kwa afya ya umma na ni lazima...
Back
Top Bottom