nyuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Siwaoni wana jukwaa hawa tokea mwaka huu uanze wa 2021, haikuwa kawaida yao, je wako wapi?.

    Bila shaka hamjambo. Kabla tumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kutupatia uhai na pumzi yake bado tungalipo. Bado dunia inahangaika na covid-19 ,Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo ,japo sisi tunapambana na ugonjwa wa kupumua,jana nilivyomuona Dr.Mpango ndo nikajua mhhh huo ugonjwa ni shida...chukua...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ujasusi ni pembe isiyo na Nyuzi

    UJASUSI NI PEMBE ISIYO NA NYUZI° Na. Robert Heriel. Maandishi ya Robert Heriel kwa Lugha ya Kiswahili Hata sasa hatukuoni lakini wewe watuona. Wala hatusikii usemapo lakini wewe watusikia. Wayajua mawazo yetu lakini sisi hatujui watuwazia nini. Twakuona upo mbali lakini wewe watuona tupo...
  3. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Nyuzi nyingi za kisiasa zina muelekeo wa kinajimu

    Habari wana JF, Nimesoma nyuzi nyingi za kisiasa humu ndani lakini maudhui yake ni ya kinajimu zaidi. Mara utasikia chama hichi kitashinda mara kile kitapata wabunge wachache na kadhalika nakadhalika. Tuwaachie wanajimu kazi yao, tusubiri 28 October. Jiratibu.
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema azuiwa kuingia mahakamani kwa kuambiwa kuwa ana Corona baada ya joto lake kusoma nyuzi 37.1

    Haya nayo ni maajabu mengine yametokea huko Tarime hapo jana baada ya ndugu Chacha Heche aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema mahakamani kupimwa joto la mwili likasoma nyuzi joto 37.1 kisha akaambiwa kuwa ana Corona na kuzuiwa kuingia ndani ya viunga vya mahakama. Kada huyo alilazimika...
  5. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
Back
Top Bottom