Ramadhani imeshaingia zile nyuzi zimeshaanza

adriz de mbusii

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
16,786
Reaction score
37,803
Moja kwa Moja..

Leo nimeingia Jf now , nilijua tu haiwezi Ramadhani kuanza kinyonge bila kukuta zile nyuzi nikasema ngoja nichungulie HMM , page ya mwanzo tu nikakuta nyuzi zimeongozana ya kwanza hii 👇👇 halafu hii nyuzi kila Ramadhani lazima ianzishwe ndio uzi ambao unaingia kwenye rekodi ya kurudiwa mara nyingi zaidi JF
IMG_20260218_225114.jpg

Mtu unauliza la nini katika mambo ambayo hayaruhusu na wala hayakuathiri kwa chochote wala kukupa pesa ? Waislamu tusharidhika kubadilisha muda wa kula tabu Iko wapi .

Wewe akili yako ishakuambia kuwa Waislamu wamepotea na hawana jema nk. sasa kwa nini uhangaike kuulizia mambo yao wakati jibu mnalo kuwa kobazi hao wamepotea ?

Nikakuta nyuzi mwingine hii yenye mlengo mmoja na hii ni kopi karibia kila mwaka lazima uje kwa version nyingine .

Sisi vyovyote mtakavyokuja na kutuambia tumekubali Uislamu ndio dini yetu hakuna namna ya kutubadilisha kama mnaumia na mambo yetu na kuhangaika nayo kuliko hata sisi wenye dini yetu basi poleni sana . Ramadhani hii inawapa tabu sana ya kuanda na kuandika nyuzi nyingi
IMG_20260218_225130.jpg

#Ramadhan Mubarak
 
Moja kwa Moja..

Leo nimeingia Jf now , nilijua tu haiwezi Ramadhani kuanza kinyonge bila kukuta zile nyuzi nikasema ngoja nichungulie HMM , page ya mwanzo tu nikakuta nyuzi zimeongozana ya kwanza hii 👇👇 halafu hii nyuzi kila Ramadhani lazima ianzishwe ndio uzi ambao unaingia kwenye rekodi ya kurudiwa mara nyingi zaidi JF
View attachment 3545842

Mtu unauliza la nini katika mambo ambayo hayaruhusu na wala hayakuathiri kwa chochote wala kukupa pesa ? Waislamu tusharidhika kubadilisha muda wa kula tabu Iko wapi .

Wewe akili yako ishakuambia kuwa Waislamu wamepotea na hawana jema nk. sasa kwa nini uhangaike kuulizia mambo yao wakati jibu mnalo kuwa kobazi hao wamepotea ?

Nikakuta nyuzi mwingine hii yenye mlengo mmoja na hii ni kopi karibia kila mwaka lazima uje kwa version nyingine .

Sisi vyovyote mtakavyokuja na kutuambia tumekubali Uislamu ndio dini yetu hakuna namna ya kutubadilisha kama mnaumia na mambo yetu na kuhangaika nayo kuliko hata sisi wenye dini yetu basi poleni sana . Ramadhani hii inawapa tabu sana ya kuanda na kuandika nyuzi nyingi
View attachment 3545846

#Ramadhan Mubarak
Issue ya kufunga kwa Muda even ki secular ni kitu ambacho kinatakiwa kufanywa mara kwa mara, inazuia Kansa, inaongeza seli hai mwili na faida kibao kisayansi, na ufungaji most of time ratio inayokuwa recommended ni 16:8 unafunga masaa 16 na masaa 8 unakula,

Kila siku ukiwaambia watu humu wanarudia hayo hayo kila siku, yanaingia sikio hili yanatoka sikio la kule.
 
Akili
 
Waislamu hawafungi wanabadili masaa ya kula
 
Back
Top Bottom