nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Magufuli aamrisha wananchi kwenda kujisaidia nyumbani kwa mkurugenzi na DC Kibiti

    Rais Magufuli leo akiwa njiani kutoka msibani, amesimama mara kadhaa kuwasalimu wananchi na kuwasikiliza. Ameshangazwa na watu walio chini yake kushindwa kujenga choo cha soko ilihali mapato ya halmashauri yao ni zaidi ya bilioni 1.8 Rais Magufuli ametoa agizo la choo husika kukamilika ndani ya...
  2. Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  3. Lissu karibu nyumbani kwa amani, usifuate nyayo za Raila Odinga

    Baada ya dosari za uchaguzi mkuu wa Kenya wa 2017, kiongozi wa upinzani alisusia uchaguzi wa marudio na kuanza ziara nje ya nchi akitafuta uungwaji mkono kutoka mataifa na mashirika ya nje. Tarehe 17.11.2017 zaidi ya wafuasi walifika uwanja wa ndege wa Kenyata wakihimiza kuwa wamefika...
  4. Tundu Lissu akiagwa Ubelgiji tayari kwa safari ya kurejea nyumbani

  5. Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

    Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'. Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
  6. C

    Tuliozaliwa nyumbani tupo? Tujuane basi

    Habari wadau wa rika zote. Asante jamani kwakuwa sehemu kuntu ya kuja kupiga soga kujifunza, kuelimika na kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wadau na wataalamu mbalimbali katika fani tofautitofauti. Hivi unajuwa kuwa kuna wale mabinti wanaozalia nyumbani? Ndio yaani wanaozaa bila ndoa...
  7. S

    GE2020 Tundu Lissu: Narudi kama Mwananchi huru tarehe 27 Julai 2020, Serikali inipe Ulinzi. Kesi zangu 6 zina dhamana, sitakamatwa

    M/Mkiti wa CHADEMA Taifa (B), Mhe. Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on...
  8. T

    Japan kulipa $536 Million kwa makampuni yake 56 yahame kutoka China, yarudi nyumbani au nchi nyingine za Asia

    Toka mwaka jana 2019 Japan imekua ikiyashawishi na kuahidi kuyapa ruzuku ya serikali makampuni yake yote yaliyoko China kuhama nchi hiyo yarudi nyumbani au yatafte nchi nyingine ya Asia nje ya China. Hadi sasa makampuni 56 yamekubaliana na serikali kuhamisha shughuli zake kutoka China na...
  9. Bernard Membe apokelewa rasmi ACT–Wazalendo. Atoa ahadi kemkem endapo watashika madaraka

    Leo chama chetu kinampokea rasmi Ndugu Benard Membe ndani ya chama. Kiongozi wa chama, Ndugu Zitto Kabwe; Mwenyekiti wa Chama Taifa, Ndugu Maalim Seif Sharifu Hamadi; na Katibu Mkuu wa Chama, Ndugu Ado Shaibu na viongozi wengine wa chama wa Bara na Zanzibar wote watawaongoza wanachama kumpokea...
  10. Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

    Maisha haya wamejaa mambo mengi sana hasa ya utafutaji. Je, umeshawahi kupotezana na ndugu yako wa tumbo moja, binamu yako, Baba Mkubwa au Baba Mdogo, Shangazi, Mama au Baba, Bibi au Babu, Mpwa, rafiki yako au hata jirani yako, Baba Mkwe au Mama Mkwe unawasikia sikia tu wapo mahali fulani...
  11. Dharau, kuto kulala nyumbani na kukuta meseji za mapenzi kwa mkeo kunastahili adhabu gani?

    Wadau hebu tujuzane kidogo adhabu zinazoendana na situation pale mke wako anapokudharau, Halali nyumbani na akirudi hataki kuuliza maswali na kukuta meseji anachati na wanaume wengine na hataki umuingilie. Tuachane kidogo na ulimwengu wa wazungu maana wao sio mfano wa kuigwa wanaruhusu hata...
  12. GE2020 Wanawake wa Jiji la Mbeya wamlipia fomu Mbunge wa milele wa jimbo hilo, Joseph Mbilinyi(Sugu) na kumpelekea nyumbani kwake

    Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo. Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
  13. Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa. Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais...
  14. Wakati Corona ikipamba moto, zaidi ya wagonjwa 500 nchini Kenya waruhusiwa kwenda nyumbani kujitibu

    Kutokana na taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Afya nchini Kenya leo tarehe 21/06/2020, Kenya imerekodi visa 260 vipya vya maambukizi ya virusi vya Corona na kupelekea jumla idadi ya maambukizi kuwa 4,738. Idadi hii ya maambukizi inavunja rekodi ya idadi ya maambukizi mengi kutangazwa kwa...
  15. Diaspora rudini nyumbani

    Yapo mengi yatakayo washangaza, pale mtakaporudi, maisha hayo ya utumwa mliyonayo huko, ebu rudini nyumbani, huku nyumbani kumenoga, kama ni hizo kazi za kutunza wazee na kuosha vyombo mahotelini hata huku ziko rudini. Wale ambao mlitusaliti baada ya kuelimishwa na Taifa tena bure mkakimbilia...
  16. M

    Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

    Ndugu Mzazi/Mlezi; *Kuelekea kufungua Shule(Toka likizo ya Janga la corona), ADA YETU ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:- 1. Ili kuwapa wepesi wazazi katika kufanya Malipo ya Ada kutokana na Janga hili la korona, Uongozi umeamua kupunguza ada kwa kiasi cha Sh. 100,000/= (Shilingi laki moja). Hivyo bas:-...
  17. Mpenzi wako huwa anakupokeaje?

    Unapotoka kwenye mihangaiko yako, labda kazini au katika kusaka shughuli mbalimbali za kujipatia kipato, na kurejea nyumbani labda jioni au usiku. Je, mpenzi wako huwa anakupokeaje, na huduma ipi huwa anakupatia kwanza?
  18. Nahitaji kijana kwa ajili ya shughuli ndogondogo za nyumbani

    Kijana alietayari ajitokeze, maeneo ni mkoa wa Dodoma, ipo mifugo michache ya kuhudumia. Umri ni Kati ya 18 na 20. Mwaminifu na anaejituma. Malipo ni maelewano. Weka namba yako hapa nitakupigia au njoo inbox, pia waweza tuma sms kupitia 0764257303 utajibiwa.
  19. GE2020 Rais mtarajiwa 2020 yuko safarini kurudi nyumbani

  20. Hii ya Dkt. Chriss Mauki mnaionaje wakuu? Huyu si muharibifu wa ndoa za watu?

    Wakuu, huko kwenye twitter nimeona wanaume wakimshambulia Ndugu Chris Mauki kutokana na bandiko lake aliloweka huko kuwa wanaume ambao wanaombwa hela na wake zao na kusema kuwa kuna Jambo nafuatilia kila Siku wanasema hivyo, Chris Mauki anasema kuwa hao wanawake wanapaswa kujua kuwa wameolewa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…