nyumba

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aifuta CCM Morogoro

    Tundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho.
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba yako unaiita "kakibanda kangu"? Mungu hapendi kujishusha sana. Having too much humility is self destructive

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania jifunzeni kujishusha lakini isiwe too much. Mungu hapendi mjishushe sana. Having too much humility is self destructive; Unakuta mtu alikuwa anaishi katika nyumba ya kupanga vyumba viwili chumba na sebule, lakini kwa...
  3. JamiiForums Tanzania House4Rent Apartment/Nyumba zinapangishwa

    Natumai wote wazima. Apartment nzuri zinazojitegemea (Vyumba 2 vya kulala, Sebule,Jiko,Choo) zinapatikana Kimara na Mbezi/MOROGORO Rd. Pamoja na Nyumba (kubwa) za pekeyake zipo hizo na nyingine nyingi. Maeneo tofauti tofauti ya Jiko la Dar. Pia Mikoani tunakupatia huduma kwa uaminifu mkubwa...
  4. JamiiForums Tanzania fundi wa kupauwa nyumba na kufunga gypusm

    mzoefu na anafanya kazi kwa ubora wa hali ya juu sana . yupo dar es salaam lakin anakufata popote naambatanisha na picha chache ya baadhi ya kazi zake
  5. JamiiForums Tanzania Kununua Nyumba Vs Kujenga Nyumba

    Ndugu zangu; Kwa desturi yetu sisi watanzania,kumiliki mjengo ni moja kati aya ndoto za watu wengi na pia ni kama kipimo cha kiwango cha ukwasi(Networth).Katika kutafuta maisha wengi wetu tunafikiri kwamba kupanga nyumba ni umaskini. Leo nawakaribisha tujadili kwa pamoja juu ya hizi options...
  6. JamiiForums Tanzania Kinondoni Mkwajuni baada ya Wananchi kubomolewa nyumba zao kinyama bila huruma, kumeendelezwa kama tulivyoambiwa?

    Baada ya serikali ya awamu ya 5 kuingia madarakani jambo la kwanza kabisa kulifanya ilikuwa ni kuvunja vunja nyumba za raia masikini wa Kinondoni Mkwajuni kwa kisingizio cha nyumba hizo kujengwa kwenye eneo hatarishi , hata hivyo hakukuwa na taarifa yoyote kutoka TMA au chanzo chochote kuhusu...
  7. JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba

    Habari wadau naitaji ramani ya nyumba ya vyumba vitatu na sebule isiwe yakuwekeza kwa bati nataka izi za kisasa. Kiwanja changu ni 15*15 kipo Arusha ila mmi nipo DSM kiwanja kipo sehemu flati na kipo vizuri kabisa. Msaada wenu au ushauri wadau.
  8. JamiiForums Tanzania Je, unakosa muda wa kusimamia ujenzi wa nyumba yako? Huu ni ufumbuzi kwako

    Pwani Real Estate tumekuwa kwa muda wa miaka 4 mfululizo tunazalisha tofali na kuuza material ya ujenzi kwa cash na malipo ya awamu awamu. Lakini kutokana na wateja wetu baadhi kulipia materials kwa muda sasa bila kuyapeleka site, yamefanya tufanye tafiti na kujua chanzo. Sababu kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuishi nyumba za mageti?

    Hizi nyumba maeneo yao hawana ujirani, walikuwa na ujirani wakati wa ujenzi labda. Wengine hata mpaka wanahamia nyumba zao za mageti hamjui jirani yake. Haya maisha sio kabisa, Allah aniepushe na mfumo huu wa maisha na aniepushe na majirani watu wa mageti wasio jali wala kujua majirani zao...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi Igingilanyi walia na Serikali kuhusu malipo duni ya fidia za nyumba zao kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Iringa

    Sisi wananchi wa kijiji cha Igingilanyi kilichopo katika manispaa ya Iringa ambao tunatakiwa kuhama katika makazi na maeneo yetu ili kupisha upanuzi mkubwa wa uwanja wa ndege wa Iringa ulipo katika vijijji vya Nduli na Igingilanyi lakini kwa sehemu kubwa utachukua sehemu ya Ingilangyi ambako...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa wa Tanzania kuanzia Ubunge wanaingia nyumba za ibada na walinzi? Nchi haina amani au kwao Mungu si kinga?

    Wagombea Ubunge wengi safari hii walijiwekea walinzi bunafsi. Baadhi ya Walinzi Hawa uwakuti kila sehemu ila uonekana pale mgombea anapokwenda maeneo walipo wanahabari. Mzee baba akiwa kwenye nyumba ya ibada asilimia kubwa ya waumini uwa ni Walinzi, Jana nimemwona Gwajima na Abbass wakiwa...
  12. JamiiForums Tanzania IGP Sirro, amewaomba viongozi wa dini kukemea baadhi ya maneno yanayotamkwa na wanasiasa badala ya kukaa kimya

    Ametoa ombi hilo leo Agosti 22, 2020 akiwa anaongea na viongozi wa dini visiwani Zanzibar, kuhusuiana na suala la amani, katika kipindi chote cha uchaguzi ambapo amesema viongozi wa dini ni moja ya wadau wa amani nchini. "Niwaombe sana kwasababu mnasikia baadhi ya maneno yanayotamkwa na baadhi...
  13. JamiiForums Tanzania Kampeni ya "Piga kazi, Boresha Makazi" yasaidia nyumba bora na za kisasa kujengwa Koromije, Mondo Misungwi Mwanza

    Kampeni ya Piga kazi boresha Makazi yasaidia nyumba bora na za kisasa kujengwa Koromije, Mondo Misungwi Mwanza Nyumba bora na za Kisasa zimejengwa katika vijiji viwili vya Koromije na Mondo Wilayani Misungwi mkoani Mwanza. Wakazi wa vijiji hivyo vya Mondo na Koromije wilaya ya Misungwi mkoa wa...
  14. JamiiForums Tanzania Maisha yangekuwa rahisi sana kama wenye nyumba wangekuwa wanatulipisha pango per day

    Mfano unalipa chumba elfu 30 kwa mwezi. Inafika mwisho wa mwezi umejibana bana katika kipato/mshahara wako umebaki na tsh 20000(kuna watu wamecheka hapa)... Unafika kwa landlord anakuzingua anataka yote full ,atafoka, atajaza watu nk.. si kudhalilika huku Ila wakikubali kila siku kupokea buku...
  15. JamiiForums Tanzania Na pale ndipo nilipopigwa faini na mwenye Nyumba na kisa sikijui na nimepewa barua ila sijui kusoma

    Mnisaidie kusoma hiyo karatasi sijajua nimeandikiwa nini humo ama naitwa na Mwenyekiti wangu wa mtaa, karatasi hiyo kaleta mtoto mida hii hapa,
  16. JamiiForums Tanzania Nimejenga nyumba na kununua gari ndani ya miaka hii 3 lakini kura yangu kwa Lissu

    Nitampa kura Lissu au mgombea yeyote wa chama cha upinzani kwakuwa nataka kuona changes ndani yangu na ndani ya Tanzania. Licha ya kuwa na nyumba ambayo nimeijenga kwa mkopo ninaokatwa kwenye mshahara wangu na gari niliyonunua kutokana na kusave posho kidogokidogo kura yangu kwa Lissu...
  17. JamiiForums Tanzania Gari ya Dangote yaacha njia na kuparamia nyumba, imesababisha foleni sana

    imeziba barabara ya Kilwa. Ni katikati ya Kipati na saba saba kwa Mpili Inasemekana lilimshinda dereva na kuhama barabara na kuparamia nyumba na kuharibu mali za watu. Kuna foleni kubwa sana. UPDATES Eneo ambalo gari liliaribu jana
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mrema: Kuna wagombea wana"VISA"mfukoni na nyumba za kuishi ughaibuni, mnaowashadadia mkiharibu amani ya nchi mtakimbilia wapi? Nanyi mna pa kwenda?

    JF Salaam, Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya. Mfuatilie kwa makini
  19. K

    JamiiForums Tanzania Sijui kama mwenye nyumba anajua haya wanayofanya wadada wa kazi

    Wakuu habari iwe nanyi! Ukisoma kitabu cha Mathayo kwenye biblia kuna hadithi ambayo Yesu Kristo alikuwa akizungumza na wanafunzi wake juu ya Bwana moja aliyetaka kusafiri kisha agawa mali zake (talanta) kwa watumwa wake ili wazisimamie . Lengo la Bwana yule ilikuwa wale watumwa wasimamie zile...
  20. JamiiForums Tanzania Ubora na gharama za nyumba za TBA zilizopo Bunju

    Wana jamvi, Naomba kuuliza kama kuna mtu amenunua nyuma zinazonyengwa na TBA na kuuzwa, je ni imara? Zina value for money, maana kuna nyumba za vyumba vitatu nimeoneshwa picha hizi zimeezwekwa tu, milango wala madirisha hayajawekwa ukiinunua unaimalizia mwenyewe bei ni milioni 58. Naomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…