Natafuta Ramani ya nyumba ya ghorofa 3

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,159
11,474
Nina eneo katika makazi yangu nimelitenga kujenga nyumba ya ghorofa 3. Chini (basement) frame za biashara, floor ya kwanza ni kwa ajili ya bar & restaurant yenye counter ya bar, jiko, na vyoo.

Floor ya pili ni ukumbi wa mkutano/semina/ibada/ Harusi n.k. yaani ni multipurpose kwa shughuli aina hiyo.

Floor ya tatu ni nyumba ya kuishi yenye vyumba vitatu vya kulala (self) Kwenye roof pawepo na eneo la kuweka tanki la maji lita 3000. Eneo la kiwanja ni square mita 490 na limezungukwa na barabara Mashariki, Kasikazini, na Magharibi. Kusini ndo kuna nyumba yangu ninayoishi.

Natafuta mtu wa kunicholea ramani
 
Tupe kazi hiyo nicheki hapa +255738882586, tunafanya na structure ya majengo ya ghorofa.
 
Karibu pia tufanye kazi.Bei zetu ni rahisi sana tunafanya design and build 0756928360
 
JF bwana eti kila mtu ana pesa afu anashnda humu, mbna sioni nyuzi za moo
Sasa mtu unayejitambua usipoingia jamii forum angalau kila ukipata muda utaenda wapi? Instagram? Facebook? Twitter? JF kutokana na nyuzi mbalimbali angalau unapata cha kukusaidia kwasiku! Moo utamuonaje wakati kila mtu anafeck ID?
 
Ni vizuri ukasema umejiandaaje kwenye bajeti ili tujue msaada tunakupatia vipi hasa...hii ni kuepusha kutoa namba na kusitokee kutokuelewana
 
Engineer malya
0755977535 mwambie namba kanipa macha hutojuta mpata huyu engineer mkuu kazi zake mahiri Sana
IMG-20191105-WA0013.jpeg
IMG_20190724_143501_9.jpeg
IMG_20190528_154942_6.jpeg
 
Ni vizuri ukasema umejiandaaje kwenye bajeti ili tujue msaada tunakupatia vipi hasa...hii ni kuepusha kutoa namba na kusitokee kutokuelewana
Wengi wanakuja PM! Kutoa bajeti ni siri katika kubagain business! Si unajua kiwango kwa huyu ni kidogo mwingine ni kikubwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom