nyumba

  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Joseph Mbilinyi (Sugu): CHADEMA ikichaguliwa kuongoza sadaka zitaongezeka kwenye nyumba za ibada

    Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu ameomba viongozi wa dini wawaombe waumini wawachague wagombea kutoka chama hicho ili wananchi waweze kutoa sadaka kwenye nyumba za ibada. Sugu aliyasema hayo kwenye mkutano wa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ramani kali ya nyumba ya kuishi

    Habari za leo wakuu, Kama nilivyo ahidi kwamba bado naendelea na mradi wa uchoraji wa ramani. Ambapo nimefanikiwa kuchora ramani za nyumba 20 mpaka sasa. Na hii ni moja ya nyumba moja ambayo naendelea kuipamba zaidi.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ramani bomba ya paa la nyumba

    Habarini za wakati na wasaa huu wana jamii forum. Basi leo nimekuja na ramani bomba ya paa la nyumba kama inavyoonekana katika picha hizi.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ramani maridadi ya nyumba ya kuishi bado inaendelea kuchorwa

    Habari za leo wadau, Kama nilivyo ahidi kwamba nitakua na tabia ya kupost ramani ya nyumba ile ambayo naendelea kuchora. Hivyo hapa ndipo nilipo ishia. Ila bado naendelea nayo kila napo pata muda.
  5. JamiiForums Tanzania Self-Contained Houses: Kuna umuhimu gani wa kuwa na choo pamoja na bafu "separately"? Kwanini hivyo nyumba viwili visiwe na matumizi yanayofanana?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Katika ujenzi wa kisasa, kuna umuhimu gani wa kuwa na choo pamoja na bafu "separately" katika nyumba ambazo ni self-contained? Kwanini hivyo nyumba viwili visiwe na matumizi yanayofanana? Yaaani yale...
  6. JamiiForums Tanzania Bushmamy mwenyewe live ndani ya nyumba

  7. E

    JamiiForums Tanzania Uchoraji na ubunifu wa ramani za nyumba

    Habari za leo ndugu na marafiki, natumai mu wazima wa afya njema. Bado naendelea na uchoraji na ubunifu wa ramani za nyumba bomba. Hii ni moja ya ramani ambayo naendelea nayo na hapa ndipo nilipofikia kwasasa. Ila bado haijamalizika bado naendelea kuipamba zaidi.
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

    Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu.. Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ramani bomba ya nyumba ya kuishi

    Habari za wasaa huu ndugu na marafiki. Bado naendelea na mradi kuchora Romai ya nyumba bomba ya kuishi. Ila bado sijamaliza. Kama nilivyo ahidi kwamba nitakua na tabia ya kupost kila napofikia. Na hapa ndipo nilipofikia. Lakini bado kazi inaendelea. Mpaka pale nitakapo kuwa nimemalza...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya kumuhifadhi marehemu katika nyumba yake ya milele ndipo balozi akasimama kutangaza Jambo ambalo alidai kuwa limetoka kwa wakubwa!!

    Salaaaaam, juzi nilipata kuhudhuria msiba wa ndugu yangu katika Kijiji fulani mkoani Mbeya na nilishangaa kuona balozi kwa unyenyekevu akitangaza kuwa kaletewa taarifa kutoka juu zikidai Rais atakuepo hapa Mbeya tarehe 30 September kwa hiyo wananchi wa pale kijijini wajitokeze kwa wingi viwanja...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Nyumba za ibada zapigwa marufuku kufanyia kampeni za wagombea

    Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake. Wametoa agizo hilo leo Septemba...
  12. JamiiForums Tanzania Ningekuwa mkurugenzi katika mojawapo ya majiji matano tuliyonayo(A-town,Dom,Dar,Mwanza,Mbeya na Tanga),ningeomba kila nyumba iwe na taa ya nje...

    Ningeomba kila nyumba iwe na taa ya nje na usiku iwashwe,majiji yetu yakiwa na taa za nje hasa tube light hupendeza sana hasa unapoanza kuingia toka safari. Mwisho nadhani Tabora sasa ikifikishiwa huduma ya maji yafaa iwe jiji.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ndugu wananchi, epukeni watu wanaopita nyumba kwa nyumba na madaftari ya kuandikisha wapiga kura na kukusanya michango

    Niliona hii DSM na Sasa hivi naiona hapa Mwanza, wapo wanawake na vijana wanashona nguo za vyama vya siasa na kupita nyumba kwa nyumba wakidai wanasajili wapiga kura. Watu Hawa wanahitaji jina na namba ya kitambulisho cha mpiga kura. Ukishawapa wapa taarifa zako au ukiwanyima wanakugusia hoja ya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwenu mafundi nyumba

    Hivi naweza badilisha chuping ambayo ipo kwa nyumba? yaani naifuta kwa skimming? ili nipige rangi kawaida.
  15. JamiiForums Tanzania Yamkini hali si shwari Pemba, Askofu asema nyumba zapigwa 'X'

    Viongozi wa dini Unguja, Pemba wamelaani tukio lilitokea Septemba 22 ktk msikiti mmoja huko Pemba ambapo watu watatu walishambuliwa kwa panga Viongozi wa dini kutoka Zanzibar wako mubashara wakitoa tamko la amani wakati wa kampeni na uchaguzi, katika jambo alilozingumzia baba askofu amesema...
  16. P

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tabata Kimanga

    NYUMBA INAUZWA TABATA KIMANGA Nyumba ina sebule, jiko, mahala pa kulia chakula, Choo na bafu la jumuiya, vyumba viwili na master bedroom kimoja pia nyumba ina nyongeza ya chumba vya nje. Kiwanja kina ukubwa wa 500 sqm Kiwanja kina ofa na kimepimwa BEI 50 million (negotiable) Mawasiliano...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

    Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa" Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!
  18. JamiiForums Tanzania Pata ramani ya nyumba aina yoyote kwa bei nafuu

    Habari wakuu, Ninatoa huduma ya michoro ya ramani za nyumba. Ramani zipo nyingi za aina na ukubwa tofauti, hivyo nitatoa kulingana na mahitaji ya mteja na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Utanipa 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako. Marekebisho ninayofanya ni...
  19. JamiiForums Tanzania Bei ya kiwanja Mbezi, Bunju au Kigamboni unapata nyumba Chanika au Mbagala

    Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure? Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana? Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aifuta CCM Morogoro

    Tundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…