nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Mpangaji ataifisha nyumba kwa amri ya mahakama/ kesi ya madai

    Wakuu habari, Week iliyopita bwana nikiwa kwenye misafara yangu kule maeneo ya kunduchi ununio, Sasa nikakuta vurugu pale kunduchi mtongani, Polisi purukushani na Raia, Sasa hiko ivi: KUNA jamaa pale mtongani ana nyumba mbele Ina mafremu ya biashara Kama matatu hivi, Kuna fremu moja...
  2. JamiiForums Tanzania Kuhusu Nyumba Za Kupanga Alizosema Mh. Lukuvi

    Waziri Lukuvi. Sisi wapangaji tunakupa kongole nyingi sana kwa tamko lako la hivi majuzi,, sambamba na hilo bado umeacha ombwe la uwepo wa madalali kitu ambacho sisi hatujaona umuhimu wake .. Serikali sikivu yenye viongoz sikivu tungeishauri haya yafuatayo kuondoa kero hiyo ya watu wanaitwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania TRA waunde kitengo cha upangishaji wa nyumba, kila mwenye nyumba aripoti TRA anapotaka kupangisha na iwe kwa mujibu wa sheria

    Mimi ni miongoni mwa watu naopinga sana madalali kutaka kulipwa kodi ya mwezi mmoja kwani ni kuumiza wapangaji kwa kuwaongezea gharama za maisha. Kibaya zaidi, wako wenye nyumba hawapangishi mtu bila kupitia madalali wao hata kama inawezekana kupanga bila kupitia hao madalali. Hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nyumba kali sana na furniture zake, Iko Bunju. Inauzwa

    Nyumba inauzwa bunju A Ina vyumba vitatu sitting room dining room kitchen store public toilet Uwanja ni sqm700 Inauzwa pamoja na fenicha zake ndani. Bei 150m 0762815104
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba kupanga inatafutwa Nkuhungu, Dodoma

    Salaam, nyumba ya kupanga inatafutwa Mkuhungu Dodoma: 1. Bei 250,000 2. Uwezo wa kulipa mwezi 1_ mitatu 3. Iwe karibu na maeneo ya shule za Tumaini, St Home au Chemchem
  6. L

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba ndogo ya Ndoto yako

    Ramani ya vyumba vitatu kimoja masta, sebule , dining, jiko, stoo na choo cha kushea, ukubwa wa Ramani mita 9/kwa mita 10...nichek 0627571649
  7. JamiiForums Tanzania Nkasi: Peter Lijualikali amdaka Mwalimu aliyemuoa Mwanafunzi na kuishi nae Nyumba za Shule

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Itete kata ya Kirando Wilayani Nkasi, Clarence Mwanakurya (29) amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumuoa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Jesca Mwanji (16) tangu mwaka jana na kuishi nae katika majengo ya Serikali yaliyopo katika Shule ya Msingi Itete anaposoma...
  8. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba ya makazi

    Nyumba ya kuishi inauzwa, ipo Chanika Zingiziwa, Mtaa wa Ngobedi. Ina vyumba vutatu kimoja ni master. Pia ina choo cha nje na eneo ambalo unaweza kujenga kitu kingine. Ipo kwenye eneo tulivu sana kwa wenye kupenda utulivu. Kama unahitaji tuwasiliane kwa 0685 666964...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo gani yanayokukera huku Uswahilini kwetu na hasa kwenye nyumba za kupanga?

    1. Saa moja asubuhi wamama na wadada wako busy na vidumu vyao kwenda kumwaga mikojo waliyokojoa vyumbani mwao usiku. 2. Maeneo ya jirani na choo huge hugeuzwa kuwa kijiwe cha kupigia umbea, no privacy unawaza hata kwenda chooni. 3. Wamama wana matusi hao balaaa. Siku moja mama mmoja kamwambia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha Ethiopia Inasikitisha sana, vibaka wanavamia nyumba za watu kuiba chakula

    Mzuka wanajamvi! Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia. Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu zao hazipatikani wala kwenye mitandao ya jamii hawaonekani. Hali imekuwa ya sintomfaham sasa hivi...
  11. JamiiForums Tanzania Sakafu za nyumba katika zama za Utawala wa Warumi

    Vipande vya vigae (mosaic) vilipangwa kuleta picha. Huhitaji zulia huu ndiyo urembo wa nyumba. Hii picha ikipatikana Uturuki.
  12. JamiiForums Tanzania Nyumba iliyojengwa na Bushiri Ali Harthi bado iko Pangani mkoa wa Tanga

    Nyumba ya Bushiri Ali Harthi, iliyojengwa kwa Matumbawe na udongo, bado ina nguvu kama ilivyo, inayopatikana Pangani, mkoani Tanga. Nyumba ina basement, ambapo mazungumzo ya watumwa yamefichwa. Bushiri alipigana vita na Wajerumani (Bushiri Revolt 1888 - 1889) na kushindwa sana, kukamatwa na...
  13. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba mpya inauzwa Kigamboni-Mikwambe

    Habari wanajamii [emoji213]Ni nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami [emoji213]Nyumba ina vyumba vitatu, viwili masters [emoji213]Public Toilet moja [emoji213]Ukumbi, Dinning, Jiko [emoji213]Parking gari tatu ndogo zinakaa [emoji213]Nyumba ina fence [emoji213]Umeme na maji tayari Bei ni Tsh...
  14. JamiiForums Tanzania Niliwasha Moto mahali kwa bahati mbaya ukaunguza nyumba 300

    Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe. Sipendi ujinga. Kisa Cha kwanza. Meya wa mji x aliniita lofa mbele ya watu...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe raia wa Afrika Kusini

    Breaking: Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe. Mchezajini wa Orlando Pirates Tendai Ndoro (36) amepoteza Mali zake zote kwa kufilisiwa baada ya kuachana na mkewe Thando Maseke ambaye ni raia wa Afrika kusini. Taarifa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
  17. JamiiForums Tanzania Nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba

    Wasaalm wanabodi Kama kichwa cha habari kilivyo, Kijana wenu usiku wa leo nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba. Nomba msaada mtaalam wa kuweza kufanikisha vikarudi au mwizi kupatikana. Niko Morogoro mjini. Mnakaribishwa PM Picha Update* November 8, 2021 Wakuu nashkuru sana kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hii nyumba ilijengwa mwaka 1509 katika kijiji cha Argentan, Ufaransa

  19. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri ujenzi wa dali ya moto na zege

    Habari za weekend wadau. Nimetokea kupenda design hii ya dali ambayo miti na zege vimetumika kuremba muonekano. Je kwa wataalam ni miti gani inafaa?. Nini hasara na faida ya ujenzi huu (gharama vs steel reinforcement, mazingira, uwezo wa kudumu n.k) ?
  20. JamiiForums Tanzania Kuna walionufaika kwa kukodisha nyumba zao kwa Bongo Movie Industry kwa kurekodi filamu?

    Ukodishaji wa nyumba kwa filamu una faida kubwa katika nchi ambazo sanaa ya filamu imesimama vizuri. Afrika ya Kusini, Ghana na Nigeria wenye nyumba huwa wana faidika katika biashara hii. Uzuri wa biashara hii, nyumba hutegemea na hadithi au simulizi la filamu, kuna wanaopenda nyumba za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…