nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandaa mkataba kati ya mpangaji na mwenye nyumba

    Makubaliano kati ya mpangaji na mwenye nyumba ni jambo muhimu sana kufanyika. Makubaliano kati ya watu hawa wawili ndio muongozo wa mahusiano, na jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza kipindi ambacho mpangaji atakuwa katika nyumba ya mwenye nyumba. Uwekezaji...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya nyumba kuonekana ndefu?

    Naomba kuelimishwa hapa, ni nini kinafanya nyumba kuonekana ndefu? Nimepata utata Sana, baada ya kulinganisha nyumba mbili ambazo zimejengwa kwa kozi 11 hadi lenta lakini moja inaonekana ndefu na nyingine ni fupi, je shida hua ni nini Hadi kuleta utofauti huo? Napenda kujenga nyumba ndefu...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba utushirikishe mbinu wanazoweza kutumia waliojiriwa kumiliki nyumba ya kwanza

    Habari, Naitwa Aliko Musa. Ninaishi mkoani Mbeya. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi kuhusu uwekezaji katika ardhi na majengo. Mejesho kutoka kwa wasomaji wa makala zangu kwenye mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG umeonyesha wengi hushindwa kumiliki ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea bure kwenye mambo yote yahusuyo ujenzi, nyumba za kupangisha na uuzaji ardhi

    Naitwa Aliko Musa. Ninaishi Mbeya mjini. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi wa masuala ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ninaandika makala kupitia mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG. Kupitia mtandao huu ninawashirikisha watu mbinu bora za kuwekeza kwenye ardhi na majengo ili kujenga...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo matatu (3) ya kuzingatia kabla na wakati wa kumiliki nyumba au kiwanja cha kwanza kwa ajili ya kujenga utajiri

    Kama ulinunua kwa makosa ardhi au nyumba zako, unahitaji kusoma makala hii. Kama una mpango wa kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama hujui ni nini hasa cha kuandaa kabla ya kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama una nyumba yoyote ya kukuingizia kipato...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga

    Salaam wana Jamii Forums Nina uhitaji sana wa nyumba ya kupanga Eneo la Uzunguni, Kisiwani, Vjibweni Vyumba viwili na sitting room kimoja au vyote viwe Master iwe ndani ya uzio Kuwepo na Maji na umeme Umbali kutka barabarani usizidi 1 kilometer Bajeti yangu ni laki 2 kwa mwezi fungu...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo 12 Ya Msingi Kuhusu Usimamizi Bora Wa Nyumba Za Kupangisha Mwaka 2022

    Maana Ya Usimamizi Bora Wa Nyumba. Usimamizi bora ni hatua pekee za kuhakikisha kuna kipato endelevu, usalama wa uhakika, mahusiano mazuri, kutii sheria na taratibu za mtaa na nchi yako na kukufikisha kwenye uhuru wa kifedha. Hatua hizi zinaweza kufanywa na mmiliki wa mali, au kampuni maalumu...
  8. JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba ipo Toa Ngoma

    Habari, Nauza nyumba maeneo ya tua ngoma Sifa za nyumba. Inavyumba vitatu 3, kimoja master Seble/stoo na jiko Ina choo cha ndani na nje Nyumba ina fensi na huduma zote muhimu zipo kama maji/umeme/barabara Bei ni 65m tu Unaweza kulipia kwa installment pia kwa kuanza na half price...
  9. JamiiForums Tanzania Mbinu tano (5) halali za kuchelewesha mnada wa hadhara wa nyumba yako uliyoombea mkopo

    Nyumba yako au ardhi yako kuuzwa kwa njia ya mnada wa hadhara ni jambo ambalo linaweza kutokea ikiwa umeamua kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Chanagamoto ya kuuzwa nyumba au ardhi yako kwa njia ya mnada wa hadhara inaweza kutokana na sababu za kibinadamu au sababu ambazo zipo nje kabisa...
  10. JamiiForums Tanzania Kyela, Mbeya: Mwanachama wa CHADEMA afungwa Maisha kwa kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM

    Taarifa kwa Umma: Leo Tarehe 15/2/2022 Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemhukumu kifungo cha maisha Gerald Mwakitalu kwa kesi ya uongo ya kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM kwenye uchaguzi wa 2020, huu ni ule ule mwendelezo wa hujuma dhidi ya CHADEMA ulioasisiwa na utawala wa awamu ya 5 kwa hisani...
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni Mji Mwema au jirani

    Habari ya asbuhi wakuu. Ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kigamboni kuanzia Mji mwema kuja uelekeo wa Maweni, hadi kwa Mwingira. Ninahitaji iwe na vigezo vifuatavyo: 1. Vyumba viwili vya kulala ambapo kimoja kati ya hivyo kiwe self contained. 2. Kuwe na sebule 3. Public toilet ndani 4...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikikumbwa na usingizi mzito wakati wa vikao na wakati nikiwa katika nyumba za ibada. Shida yangu nini?

    Habari wadau wa JF. Kwa miaka takriban minne sasa, napitia nyakati ngumu. Nikiwa kwenye vikao mbalimbali vya kijamii, kikazi au hata Imani napatwa na usingizi wa ghafula. Pia niwpo ktk nyumba ya ibada, mawaidha na mahubiri yakiendelea najikuta nimesinzia tena usingizi mzito. Ninapata muda...
  13. JamiiForums Tanzania Nyumba za wafanyakazi wa kima cha chini enzi za Ukoloni

    Watu waliishi katika nyumba hizi, kuzipata and ni lazima mzazi awe mwajiriwa wa Railways, Bandari, Serikali Kuu nk. Kila kitu kina wakati wake, enzi hizo uliona fahari kwakaribisha wageni humu, nyumba ina maji na umeme na paa la vigae. Kule Uswahilini enzi hizo nyumba zilikuwa ni za udongo na...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama za kuezeka paa la nyumba

    Wakuu Naombeni wataalamu mnisaidie gharama za kuezeka paa hili, roof plan attached
  15. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Jinsi mwenye nyumba alivyoshughulikia Chanagamoto ya mpangaji wake ya uharibifu wa nyumba

    Mwezi wa disemba mwaka 2021 nyumba nilipokea simu kutoka kwa msimamizi wa nyumba ya kupangisha. Hitaji la msimamizi na mwenye nyumba huyu lilikuwa ni kujifunza mbinu bora za kupambana na wapangaji waharibifu. Aliendelea kutoa maelezo kuwa hajawahi kutana na changamoto ya kutolipwa kodi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Zifahamu (Siheyuan) nyumba za asili za Wachina

    kwa wale wapenzi wa kungfu movies watakuwa wameona sana hizi nyumba. Hili neno Siheyuan maana yake nyumba iliyojengwa pande nne, ikiwa na courtyard katikati. Nyumba kubwa inakuwa ya baba mwenye nyumba. Nyuma yake nyumba za wasichana. Pembeni, nyumba za watoto wa kiume. kwa mbele ni nyumba za...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

    Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
  18. JamiiForums Tanzania Mahakama yatoa amri Paul Makonda atangazwe gazetini na Kolomije kupata taarifa za kesi

    Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo matano (5) ya kukusaidia kununua nyumba ya kupangisha kwa bei nafuu kuliko bei halisi

    Kanuni mama ya uwekezaji kwenye viwanja na nyumba ni kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba. Kanuni hii inamhusu mwekezaji yeyote anayewekeza kwenye viwanja na nyumba. Kwa kutumia mbinu yoyote ya uwekezaji huu na kwa wakati wowote unatakiwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba...
  20. JamiiForums Tanzania Neno nyumba ndogo linatumika visivyo, Serikali iingilie kati

    Habari wadau... Neno hilo limekuwa likitumika tangia zamani hasa kwa wale wenye mke zaidi ya mmoja. Mke wa kwanza kuolewa na mwanaume fulani amekuwa akitambulika kama mke mkubwa au NYUMBA KUBWA kisha atakayefuata kuolewa na mwannaume huyohuyo basi amekuwa akitambulika kama mke mdogo au NYUMBA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…