Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21
Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi.
Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema!
Inashangaza kuona...
Habari wa JF
Poleni na majukumu
Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu,hivi mtu binafsi anaweza kumiliki hizi nyumba za biashara kama frame kutoka NHC na kupangishia wengine kama mmiliki moja kwa moja au ni lazima zibaki kwa shirika na wewe unakuwa tuu kama middle man.
Asante kwa kufahamishwa...
Karibu MUDU COMPANY LTD tunauza Nyumba na viwanja maeneo mabalimbali dar kwa mnada.#contact 07676055856.mfano tuna huu Uwanja upo BUNJU B BEI 30M 1529 Square meter
Wadau sijui hii kama ni mimi tu nimeliona kuna hili la bar na nyumba za starehe kama clubs na vingine yaani asilimia 70 ya hivi vitu wamiliki ni wachaga yaani kila bar utasikia hiyo ya Kimaro sijui mara sijui Mushi mara sijui Lyimo hivi kuna Siri gani kwenye hili naomba nisieleweke vibaya...
HABARI Karibu MUDU COMPANY LTD Located at Mbezi Beach samaki wabichi house 2nd floor Ni kampuni ya debt collection ,auctions and real estates tunauza. Nyumba na viwanja mbalimbali Maeneo tofauti ndani ya Dar kwa mnada kwa idhini ya benki ya Akiba Commercial Benki na Kibali Cha Mkuu wa...
Zamani ilikua ni furaha, heshma na sifa njema mwanaume kupata watoto, kuwalea kwa mahitaji na mafundisho bora lakini siku hizi mambo yamebadilika! Wanaume wengi wamekua na ka desturi kapya kabisaaa. Achana na kale ka kukataa mimba ambazo wanajua kabisa wao ni wahusika; Wanaume wengi wamekua...
Poleni na majukumu wana JF ni imani yangu Mungu anaendelea kutupigania.
Naomba kujua umuhimu wa Valley kwenye Nyumba, pia nitashukuru kama naweza kupata picha ya Nyumba yenye Valley.
Nawatakia weekend njema.
Njoo uchague sample ya urembo kwa offer ya pasaka na mwezi wa Ramadhani bei rahisi sana ,ni popote tanzania tunakufikia kwa....
Nguzo @ 50000
Dirisha@ 30000
Kona@40000
Arch@20000
Mkanda wa msingi@250000
Arch ya dining@ 150000
Piga 0747618315
WhatsApp 0719999526
Kuna nyumba nyingi sana nilizowahi kutembelea, unakuta unakaribishwa ndani kwa kupitia mlango wa jikoni, na ule wa sebuleni unakuta haujawahi kutumika tangu nyumba ijengwe.
Hii husababishwa na nini, chanzo au lengo la tabia hii, ni nini?
Wakuu nimechoka kupanga nataka nijenge ghetto la haraka nianzie maisha. Naombeni msaada wa tathmini ya gharama. Nimechora kwa mkono tu maana sijapata uwwzo wa kumtafuta architecture. Ahsanteni
Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting rooms mbili, moja chini moja juu.
Limezungushiwa ukuta na eneo la kiwanja ni Square Meter 947 na...
Wakuu Mimi ni Mwanachama na Shabiki Wa Team Ya Yanga.
.
Kimsingi nimepanda Jinsi Simba walivyoonesha domination ya uwanja wa Nyumbani.
.
Haijalishi ni Uwanja Wa Mkapa au Uwanja wowote Wa Nyumbani.
.
Team makini na Sahihi haiwezi kukubali Kupoteza Kwenye Uwanja Wa Nyumbani kwao ingawa mpira una...
Rafiki yangu mahusiano yake yalipovunjika ilibidi aondoke nyumbani akimuacha mke na watoto watatu. Anasema ndoa ilivunjika zamani sana kuasi cha yeye kuwa na ki camp bed chake chumbani ila alikaa kulea watoto wake.
Hali ilifikia kuwa mbaya, aliondoka nyumbani. Aliweka mizigo yake storage...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi ulihakiki majengo ya makazi ya magereza na kubaini kuwa mengi ni chakavu na yanahitaji ukarabati mkubwa.
“Hali mbaya zaidi ilibainika katika magereza ya kilimo ambapo wafungwa walikuwa wakilala katika vyumba...
Wana Jamiiforums wenzangu khabari za jioni, kwa wataalam wenye talanta na taaluma za mambo ya ujenzi Naomba msaada wa RAMANI ya nyumba ya wapangaji.
Ahsante.
..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi.
..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani.
..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.
Kwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi?
Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa...
Kwakuwa suala la maendeleo halisubiri muda, na kiongozi wa taifa Rais Samia alisema wazi kwamba hatuwezi kwenda tofauti na dunia inavyotaka. Swali lililopo kwa sasa, kuhusiana na ugawaji na ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi kwa ajili ya sensa; ni je, wananchi wamepewa elimu ya kutosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.