nyumba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Waliotelekeza nyumba za NHC kunyang'anywa

    RIDHIWANI: WALIOTELEKEZA NYUMBA ZA NHC KUNYANG'ANYWA. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete amewataka wapangaji wa nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ambao wametekeleza nyumba hizo pamoja na kuwa wanazilipia kodi kuondolewa mara moja na...
  2. Lil bees

    JamiiForums Tanzania Kwenye nyumba za kupanga mabinti wengi hutumika sana

    Katika nyumba za kupanga nimejionea mambo kadhaa ambayo yamenipa mshangao. Wadada wengi hujikuta wanaliwa na wanaume wengi kadri wanavyo hama hama nyumba. Hata mabinti wadogo nao ni wahanga wa hili. Nilipo panga kuna binti mdogo mdogo ila anapenda kupewa zawadi sana sana. Naona karibia vijana...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mnaonunua viwanja kama uwezo upo nunua kiwanja kinachotosha nyumba ya pili ndogo

    Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo. Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi. Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wenye VVU ambao waendi kuchukua dawa Kliniki kufuatwa nyumba kwa nyumba

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, Seleman Msumi amesema halmashauri imeunda kamati maalum kwa ajili ya kuwafuatilia wagonjwa wenye maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) ambao wameacha kutumia dawa za kufumbaza virusi hivyo. Akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani amefafanua...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kazi za kuhesabu idadi ya watu (Sensa 2022) ifanywe na wajumbe wa nyumba 10 , pesa zitakazookolewa zikajenge flyover TAZARA

    Kwa kupitia serikali za mitaa / vijiji (local government) , wajumbe wa nyumba 10 wapewe fomu za sensa na wapite kwenye nyumba zilizochini yao, wapewe wiki moja tu wawe wameshazitembelea nyumba zote zilizochini yao na kuzijaza fomu zote kwa kila nyumba, wakazikabidhi fomu hizo kwenye ofisi za...
  6. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa hili la Mtu kuomba Ramani ya nyumba yako

    Salama wadau, Nina kamamiezi kadhaa toka niamie makazi yangu mapya...ila tatizo ninalokutana nalo ,wapita njia wanaomba ramani ya nyumba(nyumba bado sijaliza ukuta) pia ipo barabarani main road Zaidi ya mara nne nimeshawatimua watu wanapiga picha nyumba bila ruksa yangu tena hapo ni weekend...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kupanga nyumba au chumba na kukuta kuna mpangaji mwanamke

    Habari wana JF, Kupanga sehemu mpya na kukuta jinsia tofauti na yako kwanini huwa mahusiano yaanze. Ukipanga sehemu mpya unaweza kujizuia kuanzisha mahusiano na mpangaji mwenzio? Nina nyumba ya 3 sasa nahamia na zote nakuta wadada na mahusiano yanaanza na wengine wana watu wao japo hawaishi...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara ya nyumba ya wageni

    Hii biashara ina faida sana, ukiwa na vyumba 10 kwa 20,000 chumba kimoja na vyote vikapata wateja, una uhakika wa 200,000 kwa siku. Nyumba hizi hustiri wengi wenye uwezo wa kati na wa chini. Wale wasio kudumu hoteli kuanzia 100,000 kwa siku. Changamoto moja kubwa ni ustaarabu, watu wengi...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya msonge, nimeipenda

  10. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Tajiri aitwaye saa tatu alivotumia nguvu ya pesa kubomoa nyumba huko Tunduma.

    Tukio hilo la kubomolewa Kwa nyumba hiyo limetokea huko Tunduma na nyumba hiyo inasemekana ni mali ya marehemu pamoja na mke wake ambaye yuko hai. Inasemekana marehemu aliacha watoto kutoka kwa wake tofauti na kila mke alikuwa na nyumba yake. Baadaye watoto wa marehemu Wakafungua shauri la...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga (vyumba vinne self contained) inahitajika jijini Mwanza

    Nyumba ya vyumba vinne (self contained) inahitajika haraka. Sifa: 1. Iwe jiji Mwanza (Ilemela na Nyamagana) 2. Hali nzuri 3. Usalama/fence 4. Inafikika bila changamoto 5. Parking ya gari 2 na kuendelea Mawasiliano piga 0769746211 Isiwe na dalali
  12. Python_

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangiswa Mwanza

    Kama unahitaji nyumba ya kupanga mkolani Mwanza hujachelewa. Ni nyumba yenye chumba kimoja cha kulala(Master) na sebule(Ipo ndani ya Geti), vyumba ni vikubwa, unalipia 120,000 kwa mwezi(kuanzia Miezi sita). Umbali kutoka main road ni 1KM, karibu sana. Kwa mawasiliano piga 0622071858
  13. Kuwite94

    JamiiForums Tanzania Ujue ukweli kuhusu Nyumba za contemporary House (Hidden Roof)

    leo nakupa ushauri kuhusu contemporary house Contemporary house Wengi wanadhani kuwa ni nyumba ya gharama nafuu lakini sio kama inavyofikiriwa unafuu wake upo kwenye kupaua tu Endapo mtu atajenga contemporary house ataokoa gharama kwenye kupaua kwani huingia bati chache tofauti na nyumba ya...
  14. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga/ kupangisha MWANZA

    JE UNAHITAJI NYUMBA AU UNAPANGISHA NYUMBA JIJINI MWANZA(ROCK CITY). USIPATE SHIDA. WASILIANA NASI:0755213580.
  15. N

    JamiiForums Tanzania USHAURI BIMA ILIYOBORA YA NYUMBA NA MAJENGO.

    Habari zenu wakuu eid mubaraq husikeni na kichwa cha uzi wangu apo juu ninaomba kujua au kuambiwa na wanajamii forums juu ya bima ipi itanisaidia endapo nitapata ajali ya nyumba yangu ya kibiashara au jengo langu la kibiashara.asanteni wakuu jengo langu lina thamani ya milioni mia moja.
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki mradi wa nyumba 83 za kupanga Kunduchi Beach?

    Kuna mradi wa nyumba 83 unajengwa hapa Kunduchi beach, Je mmiliki ni nani?
  17. S

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa

    Nyumba inauzwa Bagamoyo mjini Ina vyumba 3 vya kulala Kimoja master Eneo square mita 800 Bado mpyaaaaa Bei 190M Maongezi yapo 🙏🙏 Mawasiliano 0757854660
  18. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara?

    Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara???
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Uswahilini nyingi hazifanyiwi finishing

    Kinachofurahisha mijini ni kuwa nyumba za nyasi na matope zinapotea au kumalizika kabisa. Kila mjengaji hujitahidi kutumia matofali ya saruji, madirisha yanayoingiza hewa. Tatizo ni kuwa nyumba zetu nyingi huku Uswaz hazifanyiwi finishing na wakazi wanaishi bila matatizo. Mitaa ya...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Raia na Mali zao: Vibaka waliokata watu mapanga nyumba 21 Chanika ni fedheha isiyovumilika

    Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21 Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi. Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema! Inashangaza kuona...
Back
Top Bottom