nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Hii ni nyumba ya wachawi ninayoishi. Wachawi wanapika chakula changu

    Niko Mwananyamala A hapa, pa kigagula mmoja aitwa Bi Mandela (hili ni jina kificho, sio halisi) . Jamani najuta kuishi katika nyumba hii.. Kuna vimbwanga vingi vinatendeka, wakati mwingine waamka alfajiri nyumba nzima imetapakaa kinyesi, ñya mbichi kabisa. Leo nimeenda sokoni, nimenunua bata...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Polisi wamezingira nyumba ya Mwabukusi na Mdude

    Salaam , Shalom! Dr. Slaa amesema kuwa amefanikiwa kupata picha ya Police kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi. Ikumbukwe pia, usiku wa kuamkia leo, Police walivamia Nyumba ya Askofu Mwamakula wakimtafuta bila mafanikio. Nia ya kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi haijajulikana hadi sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Je ni haki kwa mafundi ujenzi wanaojenga nyumba za serikali kwa force account kuzungushwa katika malipo yao??

    Mimi ni fundi ujenzi (majengo) katika wilaya X ninajenga na kufanya kazi za serikali kwa njia ya force account lakini ikifika swala la malipo ninazungushwa sana mara taarifa zinakuja eti kunamaboresho ya mfumo sasa yapata miezi mitatu tangu marekebisho yasemekane kwani hayaishi?? Maana...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa ipo Kibada Kigamboni

    Nyumba ipo KIGAMBONI Mwembe mtengu inauzwa. Master 2 Living room 2 Kitchen 1 Public toilet 1 Dinning 1 Seating 1 Ukubwa eneo 400sqm(20*20) Bei 50Mil Maongezi yapo. Mawasiliano: sms,calls,watsaap 0784379396 Email: leonapolinary@gmail.com
  5. JamiiForums Tanzania Ni sahihi mwenye nyumba kumwekea mpangaji sharti la aina ya wageni wanaomtembelea?

    Jijini Dar es Salaam na maeneo mengine nchini Tanzania, suala la makubaliano kati ya mwenye nyumba na mpangaji ni jambo la kawaida. Makubaliano haya hujumuisha mambo mengi kama vile kodi, malipo ya huduma za nyumba, na masuala mengine yanayohusiana na kukaa kwenye nyumba ya kupanga. Hata hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali...
  7. JamiiForums Tanzania Wazungu wanaziponda sana hizi nyumba. Kumbe ndiko tulikojifunza kujenga "mapiramidi!"

    Kuna hizi nyumba wazungu/Wamarekani wanazichamba balaa. Utacheka wakianza kuzichamba. Wanaziita Mcmansions(Poor man mansions). Ni zile nyumba kubwa, zina manjonjo mengi na zaidi paa linachukuwa sehemu kubwa ya nyumba. Nimegundua hizi nyumba zetu za kisasa ni viMcmasnions vidogo. Ujenzi wetu...
  8. JamiiForums Tanzania Watu wa bara hamna ustaarabu,usiku wa manane majirani wamezunguka nyumba yangu eti wanaokota kumbikumbi

    Kweli ustaarabu ulianzia pwani, yaani usiku wa manane nimelala nasikikia, nantondo lolo mayo, nikadhani ni vibaka wa kike au wachawi kumbe wanaokota kumbikumbi kuzunguka nyumba. Ustaarabu kazi Kidogo nitoke na manati yangu. Sie wengine tuna madeni mengi sana ukikatizwa usingizi kuupata tena ni...
  9. L

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ghorofa moja inauzwa (Goba kwa Ulomi)

    NYUMBA INAUZWA Location: Goba kwa Uromi Ownership: Full documents Plot capacity: 950 sq/m No. of Room: 5 self contained rooms ---Store ---Jiko --- Parking --- Two seating room --- 1 office NYUMBA NI NZURI, HAINA KASORO Bei ya makadirio ni 470m kwa mazungumzo na kukagua tafadhali wasiliana nasi...
  10. JamiiForums Tanzania House4Rent NYUMBA MPYA INAPANGISHWA-NGARAMTONI ARUSHA

    Ina vyumba 2 vikubwa self, Ina maji ndani Umeme -Ukuta -Eneo kubwa ndani ya uzio -unaweza kuweka bustani ya mboga, -NYumba ni mpya kabisa. -Eneo iliko ni nyuma ya RC/Shule ya msingi Ngaramtoni, eneo la Kishore. Bei 350,000/= Hakuna udalali Hakuna udalali
  11. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kufanya skimming kwenye nyumba ?

    Hii kitu kwa saivi imefanywa kama ni kitu ya lazima kwenye ujenzi wa nyumba. Mi sioni kama ni kitu chenye umuhimu kiviile, zaidi naona ni kuongezeana gharama tu bila sababu ya msingi. Nipe mtazamo wako.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar hasa wenye vipato vya chini na tunaoishi kwenye nyumba za kupanga

    Habari za usiku huu ndugu watanzania? Moja kwa moja niende kwenye mada iliyonifanya nifikirie kushare mawazo yangu. Wakazi wa dar,hasa sisi wenye vipato vya chini na tunaoishi kwenye nyumba za kupanga huwa tunahaha sana msimu wa mvua ukianza. Hapa nazungumzia kuanzia mwezi wa 12 mpaka mwezi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kisa cha mpangaji mjaluo aliyewageuka wenye nyumba alizopanga na kuzichukua yeye mahakamani

    Leo nimekutana na binti wa mjaluo huyo na kugundua kwamba kumbe ameshafariki tangu 2015. Nilimfahamu mjaluo huyu mwaka 2005 au 2006 hivi alikuja kupanga nyumbani kwetu. Mshua wangu hakuwahi kumfahamu vizuri mjaluo yule. Ni hivi huyu mjaluo ambae kazi yake ilisemekana ilikuwa ni uvuvi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa 10.5m na benki kwa njia ya mnada

    Habari JamiiForums members. Nyumba inauzwa na benki kwa njia ya mnada. -- Nyumba ipo Mbezi, Msingwa --Nyumba ina kiwanja chenye ukubwa wa 520sq/m-- Nyumba ina vyumba vitatu, kimoja master, seating na dyning room -- Nyumba ina hati ya ardhi-- BEI NI (10m + 5% commission ya brokers)...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa awataka waliojenga Barabarani kubomoa nyumba zao kupisha upanuzi wa barabara

    Waziri wa ujenzi Innocent Bashungwa amewataka wananchi wote waliojenga ndani ya hifadhi za barabara katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kuanza kujiandaa kisaikolojia na kuondoka wenyewe kabla ya serikali kuanza kubomoa ili kupanua ujenzi wa barabara. Bashungwa aliyasema hayo wakati wa ziara...
  16. JamiiForums Tanzania Tujadili uwepo wa idadi kubwa ya wenye nyumba ambao ni maskini hapa Tanzania hasa jijini Dar

    Nini kifanyike? Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanza hapajabadilika kwa miaka 13, bado nyumba zinachungulia kutoka milimani

    Mwaka 2010 nilikaa mwanza kwa mwezi mmoja nikifanya kazi pale TPA. Niliwahi kuja mara kadhaa kwenye mikutano ya siku moja moja hivyo sikuwa nazunguka sana. Sasa nimeingia jana napita mjini pako vilevile, nyakato, miti mirefu, nyegezi, kirumba, capripoint, airport hamna chochote kipya. Gold...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Je, hiyo ndoo ya kijani pichani ni ya kutunzia mafuta au rangi ya nyumba?

    Wadau hamjamboni nyote? Tazama picha Kwa umakini Kisha ujibu swali? Hivi hiyo ndoo ya blue hapo kwenye picha chini ni kwa ajili ya ikutunzia ya mafuta ya kupikia au ni Kwa ajili ya kuweka rangi ya nyumba? Zawadi nzuri kwa atakayepata swali hilo
  19. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Mabati bora ya kuezeka Nyumba

    Wakuu! Nimewakusanya hapa nataka tushauriane kuhusu bati bora za kuezeka nyumba. Zipo nyuzi nyingi humu nimepitia kuhusu hii mada. Nafahamu wengi wanashauri kuezeka kwa bati za ALAF. Lakini kuna hoja kwamba ALAF anauzia brand,kwamba kuna kampuni nyingine nzuri zinafanya vizuri lakini hazina...
  20. JamiiForums Tanzania Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…