Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia Makanisani na Misikitini na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya
Wanaongoza kutia huruma na kujiona wanateswa na kutendwa vibaya na kila mtu aliyeko mbele yao kwao ni mbaya
Wanaongoza kukesha kwa Waganga...
Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?
Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini cha ajabu ni kwamba, wana CCM wenye uwezo mzuri, hawana hizo bendera kwenye nyumba zao!
Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi...
Habarini team.
Kwa niaba ya wateja wetu, Tunatafuta Nyumba za kununua maeneo mbalimbali ndani ya Dar es Salaam.
Nyumba ziwe na Hatimiliki.
Nyumba zikiwa na wapangaji itapendeza zaidi.
Nyumba ziwe kwenye hali ya kuridhisha, zisiwe zimechoka sana.
Bajeti ya mteja kuanzia sh.Mil 30 - Mil 70...
Mwenye nyumba ya Malawi alikuwa katili sana na mbaya zaidi hata wale vijana wake wa shambani walikuwa hawamsikilizi msaidizi wa kazi za ndani! Kwakuw msaidizi wa kazi za ndani alikuwa kashalalwa na mmoja wa watumbuizaji, pamoja na ulevi wake mmoja wa vijana wa walinzi hapo nyumbani Naye alipita...
Asubuhi nilipokea Message ya huyu bwana kunikumbusha kuhusu kodi. Basi nikahisi mwenye nyumba amejichanganya tarehe, maana natakiwa mlipa October. Nikampigia kwa namba yake niliyoisave. Akakana kuwa hajanitafuta.
Nikajua tu, jamaa ni mpigaji. Nikaamua acha nimu-enjoy.
Anapiga simu kufuatilia...
Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe.
Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Nyumba Inauzwa Goba.
Mahali: Goba Kwa Robert.
Sifa za Nyumba:
*Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu.
*Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles.
*Madirisha ni pvc.
*Ina fence(uzio).
*Ina vyoo(toilets)5.
*Umeme na maji yapo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 880.
Nyaraka: Mkataba...
Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta.
Sifa za Nyumba:
*Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio.
*Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master.
*Huduma zote za kijamii zipo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1833.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 900...
Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇
Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo...
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
MILIKI NYUMBA NZURI KIBAMBA SHULE – MILIONI 75 TU!*
Nyumba ya kuvutia inauzwa, ipo Kibamba Shule (1KM kutoka barabara ya lami).
Sifa za Nyumba:
Vyumba 3 (1 Master)
Jiko + Dining
Mabanda ya kufugia kuku (tayari kwa biashara ndogo)
Fremu 3 za biashara (hazijamaliziwa)
Eneo kubwa SQM 1300 –...
Wafanyabiashara wa gesi, kumbukeni jambo hili la msingi kwa usalama wa familia zenu na wateja wenu:
msihifadhi mitungi ya gesi mnazouza ndani ya nyumba mnazoishi.
Mitungi ya gesi ni bidhaa yenye hatari kubwa ikiwa haitahifadhiwa kwenye mazingira sahihi. Gesi ikivuja ndani ya nyumba inaweza...
Wakuu,
Hakika huu ni ushuhuda wa ukuu wa neno la Mungu lisiloweza kuteketezwa na chochote kamwe.
Moto mkubwa umezuka katika nyumba moja iliyopo Kitongoji cha Kiurei, Kata ya Kiranyi, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha na kuteketeza mali zote zilizokuwemo, ikiwemo samani na vifaa vya umeme...
Balozi anasema usafiri wa kwenda na kurudi upo. Hivyo anatafuta watu wa kujaza magari ya kwenda kwenye ufunguzi wa kampeni ccm kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba.
Wakazi wa dar es salaam mmekumbana na hali hii kama huku kwetu?
Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua hela kiulaini bila stress na mtu akikuomba umsaidie hiyo mwezi iwe free tayari unampiga service...
- Mpangaji Mmoja Mwenye Kukodisha Muda Mrefu Anahitajika!
· Nyumba Kuu: Ina vyumba vitatu (3) vya kulala, jiko, sebule na eneo maalum la kulia.
· Nyumba Ndogoo (2): Kila moja ina vyumba viwili (2) vya kulala vyenye ufanisi.
· Bora kwa: Mpangaji anayetafuta kuchukua majengo mengi kwa mara moja...
Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora:
1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k.
2. Angle Grinder (Grinda) – Kukata chuma, bati, tiles, mawe n.k.
3. Cutting Machine (Circular Saw) –...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.