DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,592
- 6,146
Nimerudia Kazi Yangu
Jasiri haachi asili!
Nimerudi rasmi kwenye kazi yangu ya udalali kwa nguvu mpya na uaminifu ule ule. Karibuni sana kwa huduma bora na zenye uhakika.
Ninapangisha:
Eneo: Jiji zima la Dar es Salaam (kwa haraka zaidi maeneo ya Mbezi Beach, Goba, Mbezi Kimara, Kifuru, Kinyerezi, Segerea).
Lakini pia, nahusika na kufanya connection ya ishu mbalimbali—ukihitaji msaada wowote unaohusiana na makazi, biashara, au mawasiliano na watu muhimu, usisite kunitafuta.
Mimi ni dalali aliyenyooka, siwachanganyi watu wala siuzi hewa. Uaminifu wangu ndiyo mtaji wangu.
Karibu tuwasiliane – huduma ni ya haraka, wazi na rafiki.

- Nyumba
- Vyumba
- Fremu za Biashara