nyumba

  1. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Buswelu Mwanza Tanzania

    Inauzwa: Nyumba kubwa ya kuishi, iko kwenye kiwanja kikubwa cha square meters 2,539 (surveyed area) Mahali ilipo: Wilaya ya Ilemela, Busweru, Mwanza (Kilomita 2 kutoka ofisi za halmashauri ya Ilemela) Vilivyomo: vyumba vinne vya kulala, (master bedroom 1 na vyumba vitatu) Sitting & Dining...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya nyumba ya wageni yenye kifungua kinywa

    Mahitaji ya nyumba ya kulala wageni yapo kila sehemu hasa kama kuna shughuli za uchumi mfano mgodi wa madini, kilimo hasa cha mazao ya biashara kama pamba na korosho. Hata shughuli za utalii zinaleta fursa kwa nyumba za wageni hasa kwa wale low budget tourist. Siku hizi Waafrika wanapenda...
  3. JamiiForums Tanzania Mara: Kijana akutwa amejinyonga katika nyumba ya kulala wageni

    Mkazi wa Kijiji cha Kowak, Wilayani Rorya mkoani Mara, Juma Olemo, amekutwa amejinyonga hadi kufa katika Nyumba ya kulala wageni ya Silent Inn iliyopo mjini Tarime na kuacha ujumbe wa barua yanye kurasa mbili, akiwataka rafiki zake kuachana na Waganga wa kienyeji wapotoshaji. Akisoma ujumbe...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  5. JamiiForums Tanzania DC Chongolo atekeleza agizo la Rais Magufuli la kusimamia kurudishwa kwa nyumba ya bibi mwenye miaka zaidi ya 80

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo ametekeleza agizo la Rais Dk. John Pombe Magufuli la kusimamia kurudishwa kwa nyumba ya Bi Amina Muhenga mwenye miaka zaidi ya 80 aliyozurumiwa kwa kipindi cha miaka zaidi ya 30 iliyopita. Rais Dk. Magufuli alitoa agizo hilo zaidi ya miezi miwili...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi hizi nyumba zimetelekezwa?

    ItNimebahatika kutembelea mkoani kwangu nilikozaliwa baada ya kukulu kakala kibao za kimaisha. Nikaamua kucheki cheki mitaa ya uswazi maana nimekuta mabadiliko maeneo mengi huku kwetu, nilizaliwa tarehe 25 mtaa wa wa Bugando "B" sitaki ujue sana kuhusu hili, sasa nikaona ninyooshe mpaka mitaa...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta Ramani ya nyumba ya ghorofa 3

    Nina eneo katika makazi yangu nimelitenga kujenga nyumba ya ghorofa 3. Chini (basement) frame za biashara, floor ya kwanza ni kwa ajili ya bar & restaurant yenye counter ya bar, jiko, na vyoo. Floor ya pili ni ukumbi wa mkutano/semina/ibada/ Harusi n.k. yaani ni multipurpose kwa shughuli aina...
  8. JamiiForums Tanzania Prof.Assad-Ukiwa na gari au nyumba una dhima ya kwenda hijja

  9. JamiiForums Tanzania Kweli kupaka nyumba rangi kunaficha mambo mengi

    Kuna siku nilihudhuria event moja hivii, tukawa tunahudumiwa na warembo kama watano hivi na walikuwa wamejipamba vizuri kweli; kutokana na kazi ya macho nikuona nikajikuta nawatazama tu, na moyo ukasahau kusukuma damu na ukaanza kutamani. Baada ya event kuisha nilirudi zangu nyumbani, ila nafsi...
  10. JamiiForums Tanzania Amenifungia nguo na kuweka kwenye begi eti nimpishe kwake japo kodi nalipa mimi

    Mkuu Naomba unisaidie kuomba ushauri huko Ni week sasa nimempisha lakin anaomba msamaha nirudi Ishu yenyewe iko hivi, mwaka huu nilimpata Dada mmoja nesi tukapendana nilikuta amepanga nyumba, nami kwakuwa nilikuwa kwenye shughuli za kikazi maeneo yale nilikuwa nimefikia nyumba ya wagen kabla...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Shirika la Nyumba Nchini(NHC) kujenga nyumba 1000 za kuuza,kupangisha Dodoma

    SHIRIKA la Nyumba nchini (NHC) linakusudia kujenga nyumba 1,000 mkoani Dodoma za kuuza na kupangisha kwa lengo la kutumia fursa ya Serikali kuhamia mkoani hapo. Akizungumza jana, Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Maulid Banyani mbele ya Kamati ya Hesabu za Serikali alisema hivi sasa wapo kwenye...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Itungwe sheria ya kufuatilia na kudhibiti mapato na matumizi katika Nyumba za Ibada

    Wotu tunafahamu kuwa serikali haina dini ila ni serikali hii hii inayosimamia uanzishwaji wa makanisa na misikiti na hata kuyasajili. Binafsi naona wakati umefika serikali isiishie katika kuyasajali tu makanisa haya bali tuwe na sheria itakayoruhusu serikali kupitia chombo/maafisa maalumu...
  13. JamiiForums Tanzania Nadhani Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lipo katika hali mbaya ya kifedha

    Hili shirika la kujenga nyumba kwa wananchi, National Housing Corporation NHC, sasa imethibitika liko katika hali mbaya sana kifedha. Hii ni licha ya kuambiwa uchumi wetu wa viwanda unakua kwa zaidi ya 7%. Miradi iliyo mbele ya macho na inaonekana kila siku pale Morocco na Kawe, imesimama...
  14. JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  15. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Makongo

    📍Eneo Lilipo: Makongo Juu - Mageuzio 📍Aina ya eneo: Eneo la makazi Kubwa lililo na mjengo wako 📍Ukubwa wa eneo: 2100 Sqm 📍Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu 📍Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo 💸💸💸 BEI : Milioni 300 (Mazungumzo yapo) 💸💸💸 LIPA 50% INGINE...
  16. JamiiForums Tanzania Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

    Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao...
  17. JamiiForums Tanzania Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii http://www.darproperty.co.tz/monthlyIssue/viewLatestMagazine

    Jipatie taarifa na maarifa mbalimbali kuhusu sekta ya miliki kuu kupita jarida hili. Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii The Magazine(March 2019)
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Asalam Ailekum wandugu, Nahitaji mtaalam wa kunifanyia makadirio ya ujenzi wa nyumba hususan kupaua kwa kutumia bati. Nyumba ipo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Natanguliza Asante. --------------------
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…