nyuma

Tom Nyuma (died January 26, 2014) was a Sierra Leonean military commander and the chairman of the Kailahun District council. He was elected as chairman of Kailahun District council on July 6, 2008 with 87% of the vote running on the opposition Sierra Leone People's Party (SLPP) ticket.
Nyuma was born in Kailahun, and was very popular in the Southern and Eastern regions of the country. In March 2012, Nyuma left the SLPP and joined the All People's Congress (APC) of President Ernest Bai Koroma.He was at the rank of Lieutenant Colonel in the Republic of Sierra Leone Armed Forces before he retired. On 29 April 1992, Nyuma was one of the young officers in the Sierra Leonean army who ousted the APC government led by Joseph Saidu Momoh. They established the National Provisional Ruling Council (NPRC) to run the government. During the NPRC administration, Nyuma was the commander of the Eastern Province. He was a member of the Kissi ethnic group and an alum of Ohio State University in Columbus, Ohio U.S.A.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

    Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu K/koo na maeneo mengine nchin yuko nyuma ya nan? Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee Karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani? Kwasasa...
  2. JamiiForums Tanzania Turudi Nyuma Kidogo

    Jamaa alionywa lakini
  3. JamiiForums Tanzania Hili la Wabunge kujua kusoma na kuandika tu halitoshi, TZ tubadilike Dunia inatuacha nyuma

    Ukifuatilia siasa za Tanzania kuna mambo mengi sana yanachukuliwa poa lakini kiuhalisia yanaweza kuwa kikwazo cha Tanzania kutofanikiwa kwenye mambo mengi. Kuna jambo ambalo najua mimi sitakuwa wa kwanza kulizungumza, hili suala la Wabunge wetu kuwa sheria au niite kigezo cha kwanza lazima ajue...
  4. JamiiForums Tanzania Ukraine wakamata babkubwa nyingine, kifaa chenye uwezo mkubwa kilichoachwa nyuma na waoga

    Ukraine walitumia mkakati wa ajabu sana, kuwaacha Warusi waingize vifaa vya maana kisha kuwatoa nduki.... Hili hapa ni dubwasha lenye uwezo mkubwa kimitambo.... Ukraine Just Captured Another Rare Russian Electronic Warfare Vehicle© via Twitter The potential intelligence windfall from the...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Je, nyuma ya uchi kuna siri gani?

    Nitauzungumzia UCHI kwa kuwa watu wanaoruhusiwa hapa ni kuanza miaka 18 basi hakuna tatizo. JE, NYUMA YA UCHI KUNA SIRI GANI!? Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kutoa Elimu hii, lakini kabla ya kwenda kwenye Mada husika, kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni...
  6. JamiiForums Tanzania Nyuma ya hao NATO Kuna nguvu kubwa inatenda Sirini

    Kipindi Cha corona wote tulishuhudia ulimwengu wote ukilazimishwa kutii maagizo ya kukaa ndani (lockdown) na nguvu inayotenda Sirini ya mpinga Kristo. Mdogo mdogo tumeshuhudia jinsi Russia, taifa lenye nguvu kubwa ya KIJESHI baada ya USA linavyohangaika Kwenye vita yake dhidi ya Ukraine...
  7. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kila maendeleo ya mtu basi kuna mtu nyuma yake kasaidia

    Mwandishi Efrahim Mabena mawasilino:0745323576 mahali: Makambako_Njombe Kundi la watalii walikuwa wakitembelea bwawa la ziwa na walikuwa kwenye jengo linaloelea katikati ya ziwa la mamba. Mmiliki wa bwawa hilo alipiga kelele: "Yeyote anayeruka ndani ya maji na kuogelea hadi kutoka, atapata...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiuliza nia ya Rais Samia kusamehe wafanyabiashara kodi za nyuma?

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini Rais Samia aliamua kuwasamehe wafanyabiashara kodi za miaka ya nyuma, ambazo ni kodi halali kabisa wanazodaiwa na mamlaka ya kodi? Kumbuka mwezi June Rais Samia aliwaagiza TRA wasiwasumbue wafanyabiashara kwa kuwadai kodi za miaka ya nyuma isipokuwa za mwaka jana...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Wizi wa cover za nyuma za side mirror unakuwa kwa kasi unazaminiwa na wauza spea (used) wa magari

    Habari wadau. Kuna wizi wa ajabu sana kwenye magari. Wanaiba cover ya nyuma ya side mirror tu sababu ni rahisi kuzichomoa. Hawachukui side mirror nzima. Na wanaiba sababu wanajua mwenye gari lazima ukanunue tena hicho ki cover. Wezi wanaenda kuwauzia wauza spea hivyo vi cover vya wizi na...
  10. JamiiForums Tanzania Tunaishi kuleee mbali nyuma, Wenzetu wanaishi kuleee mbali mbele.

    Lazima tukubaliane tunafikiri na kuishi kizamani sana wakati wenzetu wanaishi na kufikiri miaka mingi mbele. Haya yanayoendelea lazima tufahamu hakuna shida nyingine zaidi ya watu wenye uelewa mdogo kwenye mifumo na huku mitaani. Maendeleo ni process na mipango mikali kuikamilisha hiyo process...
  11. JamiiForums Tanzania Twende mbele turudi nyuma, wanawake waliteseka sana

    TWENDE MBELE TURUDI NYUMA, WANAWAKE WALITESEKA SANA Anaandika, Robert Heriel Licha ya kuwa Mimi ni mfuasi mzuri wa mfumo dume lakini nachukizwa na tabia ya utesaji, unyanyasaji na uzalilishaji wa Wanawake. Mfumo Dume ni Amani, haki, upendo na heshima Kwa dunia yetu. Acha Wanawake wafanye...
  12. JamiiForums Tanzania Nini kimejificha nyuma kuahirisha matengenezo ya mfumo wa Luku?

    Jioni ya leo Agosti 17,2022 Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa tangazo la kuahirisha zoezi la matengenezo kinga kwenye mfumo wa LUKU kama ilivyotangazwa mapema hivi leo asubuhi. Tangazo la awali lilisema Tanesco kuzima mfumo wa kununua Luku kwa siku 4 kuanzia Agosti 22 hadi 25 kuanzia...
  13. JamiiForums Tanzania Kisa cha Yanga na pori la nyuma ya nyumba

    Kule kwetu siku za nyuma, nyumba ilijengwa nyuma ikiwa na pori dogo. pori hili lilikuwa mahsusi kwa kujisaidia wanawake, wagonjwa, wazee na watoto. pia mbali ya nyumba, umbali kama kilometa nne kulikuwa na pori kubwa sana, hili lilitumika na vijana pamoja na kina baba wenye nguvu kujisaidia...
  14. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya Oscar Oscar kwenye hili?

    Oscar Oscar amekuwa ni mtu wa kupost vichekesho kwenye page yake lakini kwa hapa amedhamiria. Hakuna vichekesho, kuna ujumbe anaufikisha sehemu. Na hii sio kawaida yake, je nani amemtuma Oscar Oscar? Je, ni kweli kuna figisu Yanga anafanyiwa? Kama kweli leteni ushahidi
  15. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wamachinga wanavyorudishwa nyuma na taasisi ndogo ndogo za mikopo ya fedha (Microfinance)

    Tanzania ni Moja Kati ya nchi zenye taasisi ndogo ndogo za mikopo ya fedha nyingi zinazokadiriwa kufika zaidi ya makampuni 500. Malengo makubwa ya kampuni hizi za mikopo ni kuisaidia jamii ( wajasiriamali) kuweza kupata huduma za mikopo midogo midogo ambayo hawawezi kupata katika Benki. Hizi...
  16. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilicho nyuma ya Kauli Mbiu mpya ya Simba SC isemayo We are Unstoppable

    Ni kwamba baada ya kuwa na tabia ya Kuhonga Marefa na Wachezaji wa Timu Pinzani na kuwa Bingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo na Yanga SC nao Kuiga Mbinu hiyo waliyopewa na Haji Manara ( aliyekuwa Simba SC) na Wao kuwa Mabingwa Msimu ulioisha ni kwamba Simba SC wameamua kuurudia huo...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Ulimwengu wa Kidigitali, Nyuma ya pazi la Wizi wa Kimtandao na uuzaji wa DATA

    Wizi wa kimtandao umekuwa ni jambo la kawaida sana katika jamii yetu hii inatokana na ukuaji wa teknolojia na uelewa mdogo wa watu wengi katika mayumizi ya vifaa vya kidijitali vya mawasiliano, hii ni mbinu mpya ya kuwaibiwa watu kwa njia ya mtandao huku mwizi huyo akiwa amejificha nyuma ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nani kasimama nyuma ya Manara?

    Habari zenu wakuu? Bila shaka mu wazima wa afya... Leo hembu tukae tujadili hili , je ni nani yupo nyuma ya Haji Manara? Mara zote amekuwa akirudia jambo lile lile la kuzarau mamlaka husika. Tuliona wakati ule anatoka Simba sc alitoa siri na maneno kadhaa yenye kuuzi kwa CEO na Rais wa...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi hawa Mipango Miji wana kazi gani?

    Hawa jamaa bana ni miyeyusho yani sijui hata wanafanya vipi kazi. Ukiangalia kwa sasa kasi ya watu kujenga maeneo ya pembezoni mwa mji imekua kubwa lakini hawa jamaa siwaoni kabisa wakitimiza majukumu yao ya kupima viwanja kwa kasi ili watu wanapojenga, haya maeneo mapya angalau yawe na...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Kuna nini nyuma ya mashambulizi haya kwa Makamba?

    Kumekuwa na mfululizo wa threads za kumpondea Makamba kila uchao! Akijikwaa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake; Akikohoa basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake; Akisalimia basi inafunguliwa thread hasi dhidi yake; Akisalimia hali hiyohiyo; Akitoa zawadi, kama wanavyofanya wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…