nyuklia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jackal

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Israel yashambulia kinu cha Nyuklia cha Iran

    https://www.google.com/amp/s/www.forbes.com/sites/carlieporterfield/2021/04/11/israel-is-behind-blackout-at-iran-nuclear-facility-israeli-media-reports/amp/ Picha hazihusiani na matukio: Photos of Israeli AH-64 Apache attack Helicopters delivered precision guided missiles during combat...
  2. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran aliuawa kwa bunduki ya otomatiki

    Habari! Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran aliyeuawa karibu na mji mkuu Tehran mwezi Novemba mwaka 2020, aliuawa kwa bunduki ya otomatiki iliyoingizwa nchini humo na shirika la ujasusi la Israel Mossad ikiwa katika vipande maalumu, kwa mujibu wa ripoti. Ripoti ya The Jewish Chronicle kutoka...
  3. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya mtu mweusi kuwa na silaha za nyuklia?

    Inasemekana wakati wa ubaguzi wa rangi Africa ya kusini serikali ya makaburu ilikuwa na silaha za nyuklia. Ilikuwa inajiandaa iwapo mataifa huru yangeungana na kuivamia. Wakati Pakistan wanajiandaa kuunda silaha za nyukila kiongozi wao alisema kuwa "wabudha wananyuklia, wakristo wana nyuklia...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yaziwekea vikwazo vya kiuchumi Kampuni 4 za China na Urusi kwa kusapoti teknolonia ya Nyuklia Nchini Iran

    The United States on Friday announced economic sanctions on Chinese and Russian companies that Washington said had supported the development of Iran’s missile programme. The four firms, accused of “transferring sensitive technology and items to Iran’s missile programme”, will be subject to...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran walialia baada ya vinu vya nyuklia kupigwa kirusi, waapa kulipiza kisasi

    Hii hatari sana kuwa na kinu cha nyuklia ambacho kinashambuliwa kizembe hivi, yaani ni kama huwa wanatumiwa ujumbe wa salamu, kwamba muda wowote wanaweza kusambaratishwa kwa kutumia vitu vyao wenyewe. === Iran is claiming a fire and possible explosion at its Natanz nuclear plant on July 2...
  6. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinachoendelea ndani ya Korea Kaskazini?

    Habari! Kumekuwa na sintofahamu hivi sasa nisemapo maneno haya hasa katika ukanda wa rasi ya Korea ambapo Korea Kaskazini imeendeleza wimbi la vitisho kwa jirani zake na hivi karibuni imetishia kuzitumia silaha zake za nyuklia endapo kutaibuka mashambulizi dhidi yake. Wakati hayo yakiendelea...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rwanda yapitisha mpango kujenga Kinu cha Nyuklia!

    Haya maendeleo ya Ubungo fly over na SGR wapinzani kama Chadema wanalalamika eti wao wanataka maendeleo ya watu siyo vitu. Rwanda imepitisha mpango wa ujenzi wa kinu cha nguvu za Nyuklia ili kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia na utabibu duniani, itasaidiwa na Urusi katika mpango wake...
  8. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Jeshi jipya la Marekani la Anga za Juu (U.S. Space Force) lafanya jaribio lake la kwanza la kombora la nyuklia

    Kikosi cha Jeshi cha Anga za Juu cha Marekani ambacho ni tawi jipya la Jeshi la Marekani kimefanya jaribio la kombora la balistiki la Minuteman III. Kikosi hiki cha masuala ya kijeshi katika anga za juu kiko chini ya Jeshi la Anga la Marekani na kilianzishwa mnamo Desemba 20 mwaka jana, 2019...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

    Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...
  10. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Pakistani yafanya jaribio la kombora la nyuklia (Nuclear-Capable Ballistic Missile) siku chache baada ya India nayo kufanya jaribio kama hilo

    Pakistani yafanya jaribio la kombora la 'Balistiki' lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia Pakistani imefanya jaribio lenye mafanikio la kombora la balistiki lijulikanalo kama Shaheen-I lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia na kusafiri kwa umbali wa kilometa 650, hivyo kuiweka miji mingi ya...
  11. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania India yafanya jaribio la usiku la kombora la Agni II lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia

    Afisa wa Ulinzi alisema kuwa, hii ni mara ya kwanza kwa kombora hilo kufanyiwa majaribio nyakati za usiku India siku ya Jumamosi ilifanikiwa kufanya jaribio la usiku la kombora la 'Agni-II', kombora la masafa ya kati la ardhini kwenda ardhini lenye uwezo wa kinyuklia kutokea katika kisiwa cha...
Back
Top Bottom