Sifa za hii ndege ni za kiajabu ajabu, kitengo cha wana hewa (airforce) kitaagiza 100 kama hizi, zina uwezo wa kusafiri kwa mwendo kasi tena bila rubani na zitashambulia kwa silaha kali ikiwemo manyuklia.
=================
The US Air Force will unveil its new B-21 Raider on Friday, a high-tech...
Samaki katema ndoano.
Twende kazi
Mkuu wa shirika la nyuklia nchini Ukraine, Petro Kotin amesema kwamba kuna ishara kwamba wanajeshi wa Russia wanajitayarisha kuondoka kutoka kiwanda cha nyuklia cha Zaporizhzhia ambacho wamekuwa wakishikilia tangu mwezi March baada ya kuvamia nchini hiyo...
Pyongyang ilishutumu Washington na Seoul kwa "harakati zao za kijeshi za kizembe" wakati wa duru ya hivi punde ya michezo ya vita. Korea Kaskazini yadai Marekani imeweka 'hati ya nyuklia' katika 'hatua ya mwisho'
Korea Kaskazini imezishutumu Marekani na Korea Kusini baada ya washirika hao...
Urusi imeitaarifu US kuwa wanatarajia kuanza mazoezi ya Nyuklia ya mwaka. Hili linakuja kipindi hiki ambacho NATO nao wanafanya Nuclear Drills huko ULAYA.
Hajaitaarifu nchi yeyote zaidi ya USA . It seems kuwa hawa tu ndo wa wanaheshimiana na kuogopana, wengine wote Mbuzi. Hii vita ni Washington...
Ndio fasheni sasa, ukijihami kwa nyuklia unakua na uhuru wa kufanya chochote, Urusi manyuklia yake yamemuwezesha kunyanyasa vitaifa vidogo vilivyomzunguka.
Korea Kusini wamechoka vitisho vya Kim wa Korea Kaskazini, kila siku anabwatuka manyuklia...wameanza mazungumzo ya kujihami....
North...
Mataifa ya NATO yaanza mafunzo na maandalizi ya jinsi watacheza iwapo vita vya nyuklia vitaibuka.....
The 30-nation alliance has stressed that the "routine, recurring training activity", which runs until October 30, was planned before Moscow invaded Ukraine and is not linked to the current...
Katika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri.
Silaha hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwanzo kutumika kwenye visiwa vyake vya Hiroshima na Nagasaki.
Watu wake wengi kwa mamia walikufa papo hapo na athari za vita hivyo bado...
Ushindi katika vita ya nyuklia hautamuliwa na ubora wa Jeshi wala silaha nchi husika ilizonazo, bali ni nani atamuwahi mwenzake katika kutumia nyuklia kushinda/ kumaliza vita.
Kwa msingi huo, msitegemee Marekani asuburi Russia atumie nyuklia ndio nae ajibu mapigo, bali atamuwahi...
Maombi yanahitajika sana wakuu mambo sio mazuri kwa usalama wa Dunia, inaonekana dhahiri kua putin atatumia nyuklia baada ya kuzidiwa nguvu.
---
Joe Biden has warned the world could face “Armageddon” if Vladimir Putin uses a tactical nuclear weapon to try to win the war in Ukraine.
The US...
Mshauri wa Masuala ya Usalama wa Marekani, Jake Sullivan ametoa kauli hiyo baada ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin kunukuliwa akigusia uwezekano wa Nchi yake kutumia silaha hizo katika vita dhidi ya Ukraine.
Sullivan hajafafanua ni kwa namna gani watajibu mapigo moja kwa moja lakini amesema...
Katika hotuba yake isiyo ya kawaida kwa taifa mapema wiki hii, Bw Putin alisema nchi yake ina "silaha mbalimbali za uharibifu" na "itatumia njia zote zinazopatikana kwetu", na kuongeza: "Sidanganyi."
Kwamba siku akitumia nyuklia ndio atakutana na anachokitafuta. Wazimu mwenye haraka ya kubonyeza vitufe vya nyuklia, hataruhusiwa dunia hii.
======
The U.S. has privately been warning the Kremlin for months of consequences if they use a nuclear weapon in their conflict with Ukraine, according...
Mengine kasema
Wako tayari kuendelea na vita kama watapewa silaha
Kasema misaada wanaitumia vizuri
Kasema Putin anatishia tu na hawezi kufanya
Kasema missiles nyingi za Urusi zinatunguliwa nyingine hushuka ambapo hamna athari yoyote
Kasema viongozi aina ya Putin ni watu waliolewa madaraka na...
Iran inaelekea kuishiwa kabisa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi katika vyuo wanaogopa kusoma nuclear science.
Hii imechangiwa na operesheni za Israel ambapo wataalamu wa mambo hayo wamekuwa wakiuawa.
Waziri wa Nishati January Makamba amesema wanakusudia kuweka mchanganyiko wa uhakika wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa.
Makamba amevitaja vyanzo mbalimbali vitakavyozalisha umeme huo kuwa ni Maji, Gesi, Jadidifu, Upepo na Just.
Waziri Makamba amesema hata chanzo cha Nyuklia kinaweza kutumika kama...
Wakaguzi wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki wamefika katika kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia kusini mashariki mwa Ukraine, shirika la habari la Reuters linaripoti.
Mwandishi wa habari kutoka shirika la habari aliwaona maafisa Umoja wa Mataifa wakiwasili kwenye mtambo huo wakiwa...
Kama tumekuwa tukiripoti, kampuni ya nishati ya nyuklia ya Ukraine Enerhoatom imesema kwamba wanajeshi wa Urusi wanaodhibiti kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhya huenda wanapanga kukitenganisha na njia zinazoingiza nishati katika mfumo wa nishati wa Ukraine katika siku za usoni.
Enerhoatom...
North Korea imemwambia rais wa South Korea afunge domo lake kufuatia rais huyo kuiomba North Korea iache silaha zake za nyuklia kisha South Korea itaipatia misaada kedekede ya uchumi. Majibu hayo kuntu yametolewa na dada yake Kim Jong-Un aitwaye Kim Yo Jong ambapo pia akaongezea kuwa South Korea...
Baada ya kushindwa kuiparamia Ukraine, ageuza hasira zake kwa vinu vya nyuklia akijua kwa kuvilipua atasababisha madhara makuba kwa mamilioni ya watu, anapiga mabomu maeneo yote ya karibu na hivyo vinu ili abembelezwe aache....
Ukraine said several shells landed near a facility where...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.