Iran walialia baada ya vinu vya nyuklia kupigwa kirusi, waapa kulipiza kisasi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,408
Hii hatari sana kuwa na kinu cha nyuklia ambacho kinashambuliwa kizembe hivi, yaani ni kama huwa wanatumiwa ujumbe wa salamu, kwamba muda wowote wanaweza kusambaratishwa kwa kutumia vitu vyao wenyewe.

===

Iran is claiming a fire and possible explosion at its Natanz nuclear plant on July 2 could have been caused by a cyberattack, and is threatening retaliation in response.

Iran’s Atomic Energy Organization has confirmed an incident had taken place at the nuclear site where in 2010, a highly-sophisticated nation state cyberattack was orchestrated by the U.S. and Israel, now known as Stuxnet.

At first, the agency didn’t provide information about how the new incident had happened—or reveal how much damage was done underground where most assembly work on the nuclear centrifuges takes place—but it shared a picture of the burnt-out building.

Now, Iran says it is aware of the cause of the incident but will not reveal this information due to “security considerations,” according to a Reuters report.

But Iran’s civil defence chief Gholamreza Jalali told state TV yesterday (July 3) that “responding to cyber-attacks is part of the country’s defence might.”

“If it is proven that our country has been targeted by a cyberattack, we will respond,” he added.

Reuters spoke to three unnamed Iranian officials, who said they believed the fire was caused by a cyberattack but did not provide evidence to prove this. Two of the officials said Israel could be behind the attack, but again they couldn’t prove this claim.

Meanwhile, the Times of Israel is reporting the nuclear site fire was caused by an Israeli cyberattack, after a recent incident allegedly saw Iran hack Israel’s water infrastructure. This new report is again unconfirmed.

Stuxnet 2?
The latest news and hints from Iran that the incident at the nuclear site could have been a cyberattack have of course led to comparisons to Stuxnet—the huge cyberattack widely thought to have been perpetrated by the U.S. and Israel in an attempt to derail Iran’s nuclear program. The attack was successful, destroying 1,000 centrifuges and setting back Iran’s nuclear program for years.
Stuxnet 2? Iran Hints Nuclear Site Explosion Could Be A Cyberattack
 
Du h mbona wanalialia kama Marekani anavyolialia na Huawei kama vile demu aliyeachwa na sponsor.

Mzee uko dunia ipi? Huawei itakufa muda si mrefu ukiwa na technology halafu customers hamna haina maana. Anachofanya mmarekani ni kushawishi wale marafiki zake wasitumie huduma za Huawei. Hahahaa hakuna nyota mchina ataacha kuona.

Angalia pato la Huawei linashuka kwa kasi ya ajabu
 
Mzee uko dunia ipi? Huawei itakufa muda si mrefu ukiwa na technology halafu customers hamna haina maana. Anachofanya mmarekani ni kushawishi wale marafiki zake wasitumie huduma za Huawei. Hahahaa hakuna nyota mchina ataacha kuona.

Angalia pato la Huawei linashuka kwa kasi ya ajabu

Eti haina customers

CHINA wanaweza wakaziuza HUAWEI kupitia soko lao landani tu namaisha yakaendelea kama kawaida

Taifa lenye watu 1.6Bs unawahoji kuhusiana na customers


mwisho:-Hakuna wakumtisha IRAN haya mambo sio mazuri japokua yakawaida sanaaaaa.....


Alokwambia Pato la HUAWEI linashuka nani unaweza kutetea hoja zako kwakuleta DATA ?!
 
.
countagew-680x364.jpg
 

Attachments

  • countagew-680x364.jpg
    countagew-680x364.jpg
    30.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom