Urusi imeonya kuwa jaribio lolote la kutaka kuitumia mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi dhidi ya jinai za vitani litakuwa ndio kufutwa kwenye uso wa dunia kwa hizo nchi zitazohusika.
Imesema Marekani imeua mamilioni ya watu kibao kwenye nchi nyingi na haijawajibishwa kwa lolote, hivyo Marekani...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin ameahidi kuisaidia Belarus kwa kuwapelekea mifumo ya Iskander-M inayoweza kufyatua makombora ya nyuklia
Putin ameweka msimamo huo baada ya kukutana na Rais wa Belarus ambaye amekuwepo madarakani kwa miaka 27, Alexander Lukashenko Jijini Saint Petersburg.
Aidha...
Kumbe nchi hii ndogo kwa eneo ina mabomu mengi hivi ya nyuklia?
Pamoja na kuzungukwa na maadui wengi, hawajawahi kutumia silaha hizo kuwaangamiza. Hii ni nchi inayojali utu. Ni nchi yenye ujasusi wa hali ya juu.
Hii nchi imesaidia kulinda usalama mashariki ya kati kwa kuhakikisha iraq, iran...
Wafaransa washenzi sana, walipoitawala Mali waliamua kufanya majaribio yao ya nyuklia kwenye ardhi ya Algeria miaka ya 1960s ili athari zitakazotokana na nyuklia ziwaathiri waafrika tu.
Yaani majaribio wafanye kwa faida ya Ufaransa, lakini madhila ya miaka na miaka hadi kesho yaendelee...
Msemaji mkuu wa chombo cha habari cha Urusi RT bi Margarita Simonyan, amesema wakati mataifa ya Nato yakitafuta kuishinda Urusi katika vita lakini wajue kuwa Urusi haitakuwa na njia nyengine isipokuwa kuangamiza sehemu iliyobaki ya Ukraine kwa sialaha za nyuklia.
Wakati huo huo Marekani na...
Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia, Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapeleka silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu katika eneo la Ulaya.
Finland ambayo inashirikiana...
NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA (angalia Ukraine)
NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA
NCHI ZENYE SILAHA ZA NYUKLIA
Yaani nahisi ajali ya nyuklia ni tishio zaidi ya vita vya nyuklia
Urusi ina silaha ngapi za nyuklia?
Takwimu zote za silaha za nyuklia ni makadirio lakini, kwa mujibu wa Shirikisho la Wanasayansi wa Marekani, Urusi ina vichwa vya nyuklia 5,977 - vifaa vinavyosababisha mlipuko wa nyuklia - ingawa hii inajumuisha takriban 1,500 ambazo zimechoka na zinatazamiwa...
Mataifa 9 yenye uwezo mkubwa wa silaha hatari za nyuklia duniani
Kufuatia uvamizi wa Ukraine uliotekelezwa na Urusi, kitengo cha BBC Reality Check mwaka 2018 kiliangazia kule ambapo silaha za kinyuklia zipo na nani anayezimiliki.
Huku mkusanyiko mkubwa wa silaha hizo za kinyuklia ukidaiwa...
Hakika nimeamini silaha za maangamizi (nyuklia)ni silaha zinazoogopwa dunia nzima matokeo yake endapo mataifa makubwa yakitumia nadhani ndio mwisho wa sayari hii ya dunia ,kwa kitisho alichokitoa urusi kwa silaha za nyuklia na mataifa ya magharibi ku-surrender ni...
Profesa Andrew Futter, mhadhiri na mtafiti mwandamizi ktk maswala ya silaha za nyuklia Chuo kikuu cha Leicester, Uingereza, amehojiwa na chombo cha habari MyLondon kuhusu linakuwaje kuwaje shambulio la silaha za kinyuklia ktk mji, na namna gani laweza kudhibitiwa. Profesa Futter akawapigia mfano...
North Korea imesema ilicheki ufanisi wa mifumo ya kamera na mifumo mingine ktk jaribio lake muhimu zaidi la kutengeneza setilaiti ya udukuzi wa kivita. Hayo yanajiri baada ya nchi hiyo kulaumiwa jana kwa kurusha kombora la balistiki.
Setiliti hizi hutumika ktk oparesheni za kijeshi na...
Nchi ya Belarus kupitia kura iliyopigwa Jumatatu, imeamua kuachana na sera yake ya kutokuwa na silaha za nyuklia na hivyo ipo tayari kurejesha silaha zake za nyuklia iliyozikabidha kwa Putin pasi na masharti yoyote.
Pia imeamua kuyaweka majeshi ya Russia kwa kudumu katika ardhi yake. Hatua...
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru jeshi la Urusi kuweka vikosi vyake vya nyuklia katika "tahadhari maalum" - kiwango cha juu cha tahadhari kwa Vikosi vya Kimkakati vya Kombora vya Urusi.
Akizungumza na maafisa wakuu wa kijeshi, akiwemo Waziri wa Ulinzi Sergei Shoigu, alisema mataifa ya...
Mashini za kukagua miyonzi ya nyuklia zinaonyesha humo kuna kontena moja lenye sumu ya nyuklia, kulingana na sheria za kimataifa, Kenya inalazimika kuagiza meli irudi ilikotoka kule India, ila sasa Watz watang'aka kwamba wanahujumiwa, itabidi waalikwe waje waone wenyewe kwanza, maana hata sijui...
Uliwengu umekuwa na muda mrefu wa utulivu isipokuwa mizozo ya vita katika mataifa machache vilivyohusisha nchi katika mabara tofauti miaka ya hapo nyuma.
Tangu kukamilika kwa vita vya pili vya dunia mwaka wa 1945 hapajawahi kuwa na vita vikubwa vilivyohusisha nchi nyingi kote duniani kuweza...
Daniel Ellsberg
Waraka wa siri uliotoroshwa kutoka Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) umefichua kwamba, jeshi la Marekani lilitoa pendekezo la kufanya mashambulizi ya anga ya silaha za nyuklia dhidi ya China hapo mwaka 1958 ili kuihami Taiwan mbele ya majeshi ya utawala wa kikomunisti wa...
Habari wadau.!
Wakati Tz na Kenya wao mambo yao yanalega lega na kupinda pinda huku mama akipambana kuyanyoosha wao waganda wapo mbioni ku launch kinu cha nyuklia kwa "mpango wa amani" ambapo nuklia hiyo itazalisha takribani 41,700Megawatts mpaka kufikia 2040.
Uganda wameingia mkataba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.