nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. issac77

    JamiiForums Tanzania Wanafamilia wa JF, Jana tarehe 13 mimi na shemeji yenu tumefanikiwa kuijaza Dunia kwa mara nyingine

    Asante mama la mama kwa ZAWADI hii ya kidume #no reform no election
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania Walioondoka Chadema ndiyo waliomkosesha Mbowe uongozi kwa awamu nyingine

    Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu? Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ndege ya pili ya kivita ya USS Truman yaangukia baharini

    Imefahamika kuwa ndege ya pili ya kivita ya Marekani katika wiki moja ilikuwa imedondoka ndani ya bahari nyekundu muda mfupi tu kabla ya raisi Trump kutangaza kusitisha vita. Msemaji wa jeshi la Marekani amesema ndege hiyo ilipata mkasa huo wakati ikijaribu kutua kwenye deki la meli ya USS...
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais artificial ozone layer zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzana na kwenda kupandwa sayari nyingine

    Artificial ozone layer itakuwa inatengenezwa hapa Tanzania na kwenda kupandwa nje ya nchi
  5. Ben-adam

    JamiiForums Tanzania Kuna koo/familia kila kitu kinaenda vibaya, nyingine kila wanachogusa kinatick... Kwa nini?

    UKOO WAKO UNA LAANA AU UNA KIBALI?" Je, umewahi kujiuliza: Mbona baadhi ya familia wote wanapitia umasikini kizazi kwa kizazi? Watu wana elimu nzuri lakini hakuna maendeleo? Wengine hawajasoma, lakini kila biashara yao ina faida? Kuna familia watu wanakufa kabla hawajafanikisha chochote...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Series za Marekani / Hollywoon naanza kuziona hazina vibe, Naombeni series za nchi nyingine type ya Narcos

    Series zao wanaingiza sana mambo ya WOKE, kutaka kulazimisha mwanamke aonekane anaweza kazi maalum za wanaume, kuingiza sana mambo ya upinde, kuchochea ubaguzi, n.k. Naombeni series za nchi nyingine type za kina Narcos
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Mwafrika kiasili hana akili nyingi kama races nyingine ?

    Sisemi kila mwafrika bali kwa wastani, wapo waafrika wana akili nyingi lakini ni wachache wa kuhesabu Hata kwa akili za darasani nachokiona wengi wanaishia kukariri tu, mpaka leo hatuna maabara za kutengenezea madawa ya magonjwa yanayotusumbua waafrika ila watu wana phd za mambo ya madawa...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Simba iteue Captain Multilingual, Zimbwe hawezi kuwasiliana kwa lugha nyingine zaidi ya Kiswahili

    Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu. Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza :KANISA linakibali kuiambia Dunia, Mateso na Video haifai Tena, watafute Njia nyingine, Kanisa linapofanya hivo haliingilii Siasa.

    Ashangaa, Kanisa likisema "Mnaupiga mwingiiiii' Serikali inakenua meno yooote Kanisa hilohilo likisema "Mnaupiga mchache" Serikali inanuna. Asema, Tusiruhusuifumo Onevu na kandamizi kuendeleza Harakati zao https://youtu.be/_H_J4RBBW0c?si=aTr4zL51ZB0IXjQJ
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sikukuu za Dini nyingine kama Hinduism zinapaswa kuanza kuthaminiwa na kutambulika Kitaifa kama Public Religious Holidays.

    Mandhari ya kidini Nchini Tanzania inatawaliwa na Ukristo (takriban 55-63% ya idadi ya watu) na Uislamu (31-34%), huku vikundi vidogo vikifuata Dini za jadi za Kiafrika (1-11%), na dini nyingine kama Uhindu, Ubuddha, Usikh, na Baha’i (chini ya 1% kila moja). Zanzibar ni tofauti, ambapo 99% ya...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Lissu, Lema na Maria Sarungi wana agenda nyingine?

    Wanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia kabisa kwao. Lissu, Lema, na Maria Sarungi nao pia wana watoto wachache sana kila mmoja, na...
  12. Bueno

    JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

    Naomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu. Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG. Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite. Nasubiria majibu yenu hapa chini.
  13. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mbali na kazi unayoifanya ni kazi gani nyingine unaipendelea zaidi lakini unajizuia kwa sababu zako binafsi?

    Ugonile. Binafsi kipindi niko mdogo ndoto yangu kubwa ilikua kuwa Hakimu/Judge lakini baada ya kugraduate iyo kozi na kuipractice kidogo mahakamani niliona majukumu ni mengi sana ambayo yataniitaji niwe mtu wa kusoma kila siku kitu ambacho nakichukia sana ivyo nikaamua kuipiga chini nikageukia...
  14. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania ATCL mmejichanganya ! Hizi safari nitazipangua moja hadi nyingine! Mlioko tayari mjoini

    Naona safari za bei rahisi nyingi sana Nianze zipi wakuu
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kati ya bati za ALAF na ANDO zipi ni bora kuliko nyingine?

    Wataaalam wa uezekaji mnaweza kutusaidia Kwa hili. Na vigezo vya ubora ni vipi? Jee Gauge 28(Geji 28) ya Ando ndiyo geji hiyo hiyo Kwa ALAF. Yani kipimo cha geji ni kimoja kwa mabati yote? Kama kipimo cha geji kwa mabati yote ni kimoja, Sasa nini kinacholeta utofauti kwenye mabati toka kwenye...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Naweza kuweka laini nyingine ya airtel kwenye mifi nikaitoa ile iliokuja pamoja na device?

    Samahani wadao, naomba kuuliza Nilinunua mifi ya Airtel, sasa kuna kazi nataka kuitumia haiitaji data sana, ile lain iliopo ndani nikaitoa nikaunga bundle la kawaidia GB 1 ila ikakataa kuzitumia, ikabidi ninunue Data kwa lain nyingine ya Airtel nikaiweka mwenye Mifi, ikasoma nikaanza kutumia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuna bidhaa nyingine ni aibu kuuzwa kando ya barabara na ni kupoteza mapato kwa serikali na kufanya mji kuwa hovyo.

    Serikali imejenga masoko rasmi ya kuuza mboga na vitafunwa vingine.Kupitia mzunguko huo nayo serikali inapata mapato kwa kukusanya ushuru.Lakini kwanini hawa wauza mbogamboga wamehama sokoni na kuja kando ya barabara huku serikali ikitazama masoko rasmi yakiwa yanakufa taratibu.?Serikali...
  18. M

    JamiiForums Tanzania UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO.

    UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO. Matukio ya kushangaza kwenye mahusiano sio ya kusubiri bali karibu kila siku tunaamka na matukio yenye kushangaza kama sio kujinyonga basi ya mmoja kumuua mwingine au ubakaji wa watoto. Nimekuwa...
  19. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia: "Tutazungumza na media za Tanga, nyingine zina mambo yao"

    Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii. Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF. Sioni tena kama...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tunapowahamishia watu wilaya nyingine turahisishe huduma

    Mkoani Ruvuma kuna kijiji kinaitwa mlilayoyo ambacho kipo wilaya ya Namtumbo kihuduma za kiserikali. Lakini cha ajabu kutoka hapo kijijini kuelekea Mamtumbo hqkuna gari ya kwenda halmashauri ya wilaya kupata huduma kwahiyo watu hawa wanazunguka manispaa ya Songea ndipo waende kupata huduma za...
Back
Top Bottom