Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana
ukija TZ wapo wachache ila wamejitahidi kwenye maendeleo, hupendelea biashara za malori.
Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya, Burundi kuna nafuu,
vita vya wao kwa wao haviishi
Huduma za kijamii zipo chini sana
umasikini...
Faida ya Kikwete ni zipi kwenye uangalizi wake wa chaguzi za nchi nyingine? Huyu mzee ni wa ajabu sana akienda huko Kenya na mataifa mengine anajifanya ni wa kisasa na ni mtu wa demokrasia. Akirudi Nyumbani ni kujifungia Dodoma na wana CCM na hakuna demokrasia yeyote kwa manufaa ya tumbo lake na...
Kwa Wanaume.
Unajuaje kama iyo style ya kunyoa inakunoga? Unaambiwaga na watu au unajiona mwenyewe kwenye kioo au ulimuachia kinyozi akuchagulie?
Ushawahi jaribu nyoa para? Pank? Ushawahi jaribu acha ndevu?
Nimesikia wasomi wawili wa ngazi ya PhD wakitofautiana katika kutaja desimali (decimal notation). Mmoja ana PhD ya kusomea na mwingine ya heshima. Alianza yule mwenye PhD ya kusomea na kusema kwa majigambo na kujiamini kuwa mteuliwa amepata asilimia themanini na tisa nukta arobaini na mbili...
Jumapili mnyama anakwenda kushika nafasi ya kwanza katika kundi, mechi hiyo haitakuwa na mashabiki kwa sababu ambazo tayari zimeshatajwa na viongozi wetu.
Nawasihi sana mashabiki wa Simba wote twendeni Mwembe Yanga na wale ambao hamtakuwa na nafasi tubakie nyumbani kumwangalia Elia Mpanzu...
Habari za kila mmoja humu, leo nawaletea mchingo mwingine huu hapa wa kwenda kutembelea paradiso ya maji moto ya chemka iliyopo wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro.
Hapa huoendwa kutembelewa na watu wengi zaidi hasa wanachuo hivyo tunakuletea fursa hii mezani ili uweze kutembelea paradiso ya maji...
Ni filamu inayosimulia kisa cha msafiri anayejaribu kumshawishi kimafia afisa mmoja wa usalama kitengo cha Transportation Security Administration(TSA) ili akubali kupitisha kifurushi flani hatari kwenye ndege siku ya mkesha wa Krismasi.
Fikiria unatazama filamu, iwe peke yako na familia au...
Kwa jicho la kawaida , bila matumizi ya akili nyingi, ni wazi kabisa itakuwa heri endapo Lisu ataibuka mshindi dhidi ya Mbowe katika kuwania kiti cha uenyekiti CHADEMA TAIFA. Ni kwa nini?
Mosi, ni rahisi sana TAL kama mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA, kuipangua hoja ya Rushwa kwa kuwaeleza...
Kiukweli Mukwala kuchezea Simba ni hatari sana kwa usalama wa timu yetu, sio striker mkali kivile, Mukwala hamfikii hata robo huyo Baleke anayetemwa Yanga, Mukwala hamfikii hata Freddy Michael Funga Funga, leo amedhihirisha wazi kabisa kuwa hata robo hamfikii Herieth Makambo wala Yakuba Sogni...
Baada ya kuona watu wanazisifia sana hizi series mbili ikabidi nizitafute.
Itoshe kusema breaking bad ni bonge la series.
Game of thrones nayo iko vizuri japokuwa sio kama breaking bad.
Msimu huu wa sikukuu naombeni list ya series kali za hivi karibuni,
Natanguliza shukrani
Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton, wakiamini kuwa Hilary alikuwa na uelewa wa kina kuhusu Afrika, na kama Trump angeshinda basi Afrika...
Habari za wakati huu
By nature mimi ni mkimya sana,napenda sana kukaa mwenyewe na huwa nafeel comfortable sana, sipendi kuongea sana ila nikimatch na mtu ni mtu wa kucheka na kuongea sana..Napenda utani.
Kimuonekano niko very humbe,i mean sura yangu ni very innocent kiasi kwamba ni rahisi sana...
Hili suala la TRA kuruhusiwa kuajili wenyewe ndio mwanzo wa kurudisha enzi zile za kujazana kabila Moja ofisini hakuna ushindani wa kupata ajira,
Aliemshauri Rais kuruhusu hili ametoa ushauri kwa maslahi yake binafsi kama BOT inapeleka utumishi kwanini wao wasipeleke.
Tundu Lissu, wewe kwa sasa ndio tishio kubwa sana kwa watu wa chama fulani na mgombea wao mtatajiwa wa uchaguzi mkuu wa mwakani.
Hivyo, nakushauri uwe makini sana katika mienendo yake yote kwani wanaweza kukufanyia jambo lolote baya na wakasingia chama chako ndio kimehusika kwa hoja ya vuguvugu...
Ni kwa mara nyingine Trump anaukataa mshahara wa Urais, dola 400,000 kwa mwaka (shilingi bilioni 1 na milioni 40) ili usaidie wenye uhitaji na shughuli za kimaendeleo.
Kama ilivyokuwa katika muhula wake wa kwanza (2916 - 2020) mshahara wake utaendelea kusaidia wahitaji kwenye idara ya afya...
Wakuu.
Hata baada ya kusema kuwa this time around hatohusisha wanae kwenye uongozi wake, Trump inaonekana ameendelea kuteua watu wake wa karibu.
Hivi karibuni Donald Trump amemteua Massad Boulos, baba mkwe wa binti yake Tiffany, kuwa mshauri wa masuala ya Waarabu na Mashariki ya Kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.