nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Vibao vya shule na taasisi nyingine za serikali kwenye hifadhi ya barabara

    Wakubwa, Hivi vibao vya shule na taasisi nyingine za serikali vilivyoko kwenye hifadhi ya barabara(road reserve) huwa vipo kisheria ama vipi Nimeuliza hivyo maana kuna mdogo wangu kagonga kibao cha shule ambacho kiko ndani ya hifadhi ya barabara na naona kuna mwalimu mkuu anajitia kimbelembele
  2. P

    JamiiForums Tanzania Makamba na nongwa za bodi ya TANESCO, ni marudio ya awamu nyingine japo yalifanyika kimya kimya

    Uwezo wa watanzania ni kulalamika kwa vitendo, kwa kutumia ushahidi wa video zilizopita. Yaani ilimradi walalamike, waweke hisia zao wazi ndio huwa furaha yao kuu. Tangu JPM alale usingizi wake wa milele, kuna wanaoishi kwa hasira na majonzi yasiyosemeka. Kila ambacho Mama atakifanya kitaonekana...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndoa nyingine ya lopolopo yavunjika

    Kwa waliokuwa majirani zake enzi hizo hawatashangaa sana maana hata yule mke wa mwingine kipindi hicho jamaa akiwa choka mbaya sana alikuwa anamvurumishia makonde na matusi mazitomazito juu yake. Hata baada ya simba kumpa maisha na connections na standard ya maisha ku improve bado dada alikaza...
  4. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Chuma nyingine hii hapa kwa bei ya Kuhamia Burundi. Nissan March kwa 2mil only

    Gari imekaza. Gari inatembea mwendo mdundo Haina shida wala kelele Njoo na Mil 2 nikuachie sms 0625750755 gari za bei kitonga zipo. imebaki hii tu INAFUATA FORD XLT manual gear kwa milioni 7
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Tujenge Kariakoo nyingine maeneo muhimu

    Kwa sasa Soko la K/koo lililo jengwa zaidi ya Miaka 40 iliyo pita limeelemewa na kuzidiwa kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watu. Kila Mgeni anaye kuja Jijini anawaza kwenda kufanya biashara maeneo ya K. koo ndio maaana leo hii wamachinga wametapakaa hadi wameziba barabara na mifereji ya...
Back
Top Bottom