Tunawashukuru sana wanaoinuka kulaani ushetani unaofanyika nchini mwetu.
Ni vema wakainuka wengi zaidi kukemea na kuilazimisha Serikali kuacha vitendo hivi vya kishetani vya kuteka, kutesa, kubambikia watu kesi na kuwaua wananchi wanaomkosoa Rais.
Sauti hizi zikiwa nyingi, zitasaidia sana kuwafanya wananchi wajue jinsi ìilovyo hatari kwa usalama wao, na hivyo kuchukua hatua madhubuti dhidi ya Serikali iyowageuka.