nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

    Nisiseme mengi, nimekaa pale na Jack Daniels yangu nawasubiri mguse 30s muanze kutulilia tuwaoe. Nna madem fln wanne 30s and above hv wote wako mikoa tofauti, siwezi waita michepuko sababu huwa napozea nikiwa maeneo hayo na kuwalipa japo kwa status zao huwezi jua kama wanauza. Wataalam tunaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Waajiri kazi za viwandani jitahidini kuwaongezea kiwango hawa vibarua, sio haki kuwalipa 3000-4000

    👤 Sawa wanasema ukiona baa uielewi hamia baa nyingine, ila hili sio sahihi kabisa mtu anafanya kazi toka saa moja mpaka sa 12 afu unampa elfu 4000 - sio pouwa. 👤 KIJANA UNAYEPAMBANA NA VIWANDANI KAMA UKO NA IDEA YA BIASHARA YA NGUO NITAKUPA MSINGI WA BIASHARA ACHANA NA VIWANDA. 👤 UWE NA...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake, wanaume warefu wembamba mnawapendea nini hasa?

    Naona wanasifiwa sana hadi kuombewa kwenda Peponi😬😬 Wanawake nyie.🙌🙌🙌🙌
  4. JamiiForums Tanzania Nyie 'wala wake za watu'

    Mnawezaje aisee mimi huo ujasiri sina. Nisivyopenda kugongewa na mimi sipendi kumfanyia mwenzangu huo unyama. Kwanza hamna hata huruma? Sometime wanaume tunaangushana
  5. JamiiForums Tanzania Nyie warembo, kwa nini huwa mnajiweka kwa bei ghali wakati uhalisia unajijua?

    Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu wa maisha yake anaujua mwenyewe. Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nyie ambao mmeacha kuzagamua wake za watu mmewezaje? Tupeni mbinu ili na sisi tuachane

    Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu? I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior NB: Wake za watu ndio wameharibu hii taasisi ya ndoa kwa kiwango kikubwa maana kila ukimjaribu mke wa mtu imo na wengi hawatuambii kuwa wameolewa.
  7. JamiiForums Tanzania Mnaotaka wanaume wa maana, je na nyie ni wanawake wa maana?

    Kumekua na kasumba ya wakina dada wa leo kuwa na vigezo vingi sana pale wanapoangalia mwanaume wa kuingia nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya kigezo pendwa cha wakina dada ni hitaji la kuwa na mwanaume wa maana, hatujawahi kuambiwa mwanaume wa maana ni mwenye sifa gani ila possibly hapa...
  8. JamiiForums Tanzania TUCTA pamoja na nyie kuwa chawa wa CCM, kuwanyamazisha wafanyakazi ni dharau

    Kitendo cha TUCTA kudhani kuwa wanamjibu Heche kuhusu wafanyakazi kuporwa haki yao ya mafao kwa kumuambia eti wamekubaliana na serikali na mjadala umefungwa hiyo ni kuwadharau wafanyakazi. Heche hahusiki na pensheni za wastaafu ila aliongea akiwa na haki ya kutoa maoni dhidi ya wafanyakazi...
  9. JamiiForums Tanzania Karibuni Jijini Mwanza (Rock City)

    Hahahaaaaa wabongo bhana cjui ni nani anaewauzia tumbaku yaan kabla hamjavaa sox mnaanza kuvaa viatu alfu ndo mvae sox kwel viatu vichwa box rafu Leo mmechezea sharubu za rock city sa nawafanya wafu. Hivi kwann watanzania ni watu wa ajabu Sana ujinga ukabila ujuaji na ushamba ambao wametoka...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Sukuma Gang acheni kuilaumu Chadema kuwa haikosoi Serikali, anzisheni chama chenu cha upinzani mukosoe na nyie

    Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku...
  11. JamiiForums Tanzania Nyie NECTA ni kweli mnasahihisha mitihani yetu vizuri? Tuambieni maana ya neno 'COMPENTENCY'

    Nimekosa kwenye kamusi yangu....!
  12. JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa nyie walimu mnaodhani mna wito. Tusije laumiana baadaye

    Mmeajiriwa kufundisha. Nendeni mkafundishe. Hilo ndilo jambo linalowapa mshahara. Acheni kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu. Huo ni wendawazimu. Nyie fundisheni tu masomo. Tabia si kazi yenu ku deal nazo. Kama mtoto ameamua kutokuja shule mwachieni hilo jukumu mzazi wake kuhangaika...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nyie wake zetu hamsemi Asante

    Daah. Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile. Sura kaavu.
  14. JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA imejengwa na mabilioni ya Mbowe nyie wengine mmechangia nini?

    Kwa maelezo ya Mbowe ametumia mabilioni ya fedha kuijenga CHADEMA. Kwa bahati nzuri hakuna anayekanusha haya kutoka kwa wana CHADEMA wenzake. Swali langu wengine mchango wao ni upi au ni kama KUPE tu kwenye ng'ombe aliyenona?
  15. W

    JamiiForums Tanzania Na nyie NECTA toeni majibu ya kidato cha nne, ndugu zetu wamechoka kusubiri!

    Yatoeni bwana, watasubiri katika hali hii ya hofu hadi lini?!!!!!
  16. JamiiForums Tanzania Kuna watu na viatu ila kuna wengine ni ndala na vingine

    Kupata mtu anayeweza kuvaa viatu vyako hakuna, sasa marafiki wengi wamejaa kuangalia unacho tu sio mengine. Omba sana ufirisike ndio utajua aina ya viatu. Dunia tunaishi maisha ya kuangalia unacho tu mpaka mnauzi jamani, tupumzishane wakati mnatupiga vita mlitegemea kusaidiwa na nani.
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe nyie ndo Mnatumaliza Nguvu za Kiume kwa Makusudi. Nimeumia sana

    Dada anasema amezaa na mumewe mtoto mmoja. Akapata kakijana mchepuko aka-fall in love nako. Baadaye akapata wazo kuwa asababishe kuvunjika kwa ndoa ili abaki na kakijana mchepuko. Wakapanga wamwekee dawa ya kuua nguvu za kiume mumewe. Akafanya hivyo. Mume miaka 3 mashine haisimami. Si kwa ku...
  18. JamiiForums Tanzania Wapambanieni watoto wenu wasije kuwa na wivu kwa wenzao waliopambaniwa na wazazi wao

    Ashakum si matusi! Wivu hauwasaidii nyie watu ukweli lazima usemwe kabisa na na ni ukweli ni safi ila unauma ila ndiyo hivyo lazima niuseme tu no way kabisa wakuu. Juzi kila mwanafamilia kwetu ameingiziwa milioni miambili kwenye akauti yake miongoni mwao ni mimi nimelamba hiyo pesa kutokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Nyie watu wa Mikoani Mkija Dar mnatuchosha sisi Tupo Busy sana

    Mtu anakuja na list ya maeneo yote ambayo ameyasikia sikia. Ameandika anataka akifika ukamtembeze list yake unakuta 1. Beach Kidimbwi 2. The Great 3. Daraja la Ubungo 4. Daraja la Kigamboni 5. Daraja la Manzese 6. Daraja la Coco/Tanzanite 7. Beaches zote za Kigamboni Etc. Halafu shida akienda...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi anzeni nyie mikutano ya hadhara

    CHAMA cha Mapinduzi CCM kinapaswa ndio kiwe chama cha kwanza cha siasa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Jiji la Dar es Salaam na baadaye Mwanza, Mbeya na Arusha kama sehemu ya kuzindua mikutano ya hadhara iliyotangazwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan. Je, ni maeneo gani ungependa CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…