nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Wakristo, tena nyie Roman mbona padri akipanda madhabahuni anakuwa hajavaa viatu?

    Naomba jibu, waumini wa Roman Catholic. Padri wenu havai viatu nyie mnaingia na viatu kanisani. Mnajifanyaga mko na akili sana.
  2. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasomi mnatukera, kuoa muoe nyie pesa tuchange sisi!

    Kuna mambo yanakera na kuchukiza, hebu fikiri yaani mtu unaungwa kwenye group la Whatsapp bila taarifa, ukifuatilia purpose la group unaambiwa group la bwana nani eti kwa lengo la kuchangisha michango kwa ajili ya harusi x. Yaani inakera na kuchukiza, nyie wasomi wa kibongo hii nchi sasa si ya...
  3. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nyie wasomi hebu jaribuni kuwaza nje ya box,tumechoka vizinga vyenu

    Yaani just imagine mie darasa la saba B nasumbuliwa na hii mijitu inayojiita wasomi kila kila leo wakinipiga mizinga ya pesa mara Shangazi amemeza kiti,mara mke wangu anataka Dela aisee chefuu inakera sana! Sasa nasema hivi nyie wasomi acheni kunisumbua dadeki nyie si mnahisi kusoma ni...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi ninayekula chakula kwa Speed au nyie Wenzangu mnawezaje kutumia nusu saa kwenye kula tu?

    Mimi banaa, nmekulia kwenye huu ustaharabu wa Kila mtu na Sahani yake. Lakini napo ilikua inanibidi kumwambia mwanandugu tuchanganye Msosi tule fasta fasta , sio kwamba lengo lilikua nikumpiga KO kama ambavyo wengi wasomaji mwaweza kudhania, la Hasha, lengo ilikuaga ni Ili tuwahi kumaliza...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliiponda Simba kuingia robo fainali Shirikisho, ila nyie mmeshangilia nusura mtoke roho

    Mlilkuwa mnasema kwamba kuingia robo fainali ya Klabu Bingwa ama Shirikisho si mafanikio kwa timu ya Mpira Afrika bali kuchukua kombe ndiyo mafanikio. Mlikuwa mnasema hakuna kitu Simba imepata kwa kuingia Robo fainali ya Klabu Bingwa na Shirikisho! Nyie sasa mmeingia robo fainali kwa mara ya...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

    Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC. Saa moja jioni mbivu na mbichi kujulikana. Tupo hapa kuisubiri saa 1 jioni ili tumalizane. Mimi na wenzangu tupo hapa...
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto kabwe na genge lako kama mnatuonea wivu na nyie ombeni asali mulambe. Mbona mnamsakama Mbowe?

  8. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

    Nisiseme mengi, nimekaa pale na Jack Daniels yangu nawasubiri mguse 30s muanze kutulilia tuwaoe. Nna madem fln wanne 30s and above hv wote wako mikoa tofauti, siwezi waita michepuko sababu huwa napozea nikiwa maeneo hayo na kuwalipa japo kwa status zao huwezi jua kama wanauza. Wataalam tunaweza...
  9. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Waajiri kazi za viwandani jitahidini kuwaongezea kiwango hawa vibarua, sio haki kuwalipa 3000-4000

    👤 Sawa wanasema ukiona baa uielewi hamia baa nyingine, ila hili sio sahihi kabisa mtu anafanya kazi toka saa moja mpaka sa 12 afu unampa elfu 4000 - sio pouwa. 👤 KIJANA UNAYEPAMBANA NA VIWANDANI KAMA UKO NA IDEA YA BIASHARA YA NGUO NITAKUPA MSINGI WA BIASHARA ACHANA NA VIWANDA. 👤 UWE NA...
  10. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Wanawake, wanaume warefu wembamba mnawapendea nini hasa?

    Naona wanasifiwa sana hadi kuombewa kwenda Peponi😬😬 Wanawake nyie.🙌🙌🙌🙌
  11. Mimi Ni Mtu Wa Mungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie 'wala wake za watu'

    Mnawezaje aisee mimi huo ujasiri sina. Nisivyopenda kugongewa na mimi sipendi kumfanyia mwenzangu huo unyama. Kwanza hamna hata huruma? Sometime wanaume tunaangushana
  12. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie warembo, kwa nini huwa mnajiweka kwa bei ghali wakati uhalisia unajijua?

    Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu wa maisha yake anaujua mwenyewe. Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie ambao mmeacha kuzagamua wake za watu mmewezaje? Tupeni mbinu ili na sisi tuachane

    Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu? I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior NB: Wake za watu ndio wameharibu hii taasisi ya ndoa kwa kiwango kikubwa maana kila ukimjaribu mke wa mtu imo na wengi hawatuambii kuwa wameolewa.
  14. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaotaka wanaume wa maana, je na nyie ni wanawake wa maana?

    Kumekua na kasumba ya wakina dada wa leo kuwa na vigezo vingi sana pale wanapoangalia mwanaume wa kuingia nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya kigezo pendwa cha wakina dada ni hitaji la kuwa na mwanaume wa maana, hatujawahi kuambiwa mwanaume wa maana ni mwenye sifa gani ila possibly hapa...
  15. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TUCTA pamoja na nyie kuwa chawa wa CCM, kuwanyamazisha wafanyakazi ni dharau

    Kitendo cha TUCTA kudhani kuwa wanamjibu Heche kuhusu wafanyakazi kuporwa haki yao ya mafao kwa kumuambia eti wamekubaliana na serikali na mjadala umefungwa hiyo ni kuwadharau wafanyakazi. Heche hahusiki na pensheni za wastaafu ila aliongea akiwa na haki ya kutoa maoni dhidi ya wafanyakazi...
  16. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Karibuni Jijini Mwanza (Rock City)

    Hahahaaaaa wabongo bhana cjui ni nani anaewauzia tumbaku yaan kabla hamjavaa sox mnaanza kuvaa viatu alfu ndo mvae sox kwel viatu vichwa box rafu Leo mmechezea sharubu za rock city sa nawafanya wafu. Hivi kwann watanzania ni watu wa ajabu Sana ujinga ukabila ujuaji na ushamba ambao wametoka...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Sukuma Gang acheni kuilaumu Chadema kuwa haikosoi Serikali, anzisheni chama chenu cha upinzani mukosoe na nyie

    Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku...
  18. system hacker

    JamiiForums Tanzania Nyie NECTA ni kweli mnasahihisha mitihani yetu vizuri? Tuambieni maana ya neno 'COMPENTENCY'

    Nimekosa kwenye kamusi yangu....!
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa nyie walimu mnaodhani mna wito. Tusije laumiana baadaye

    Mmeajiriwa kufundisha. Nendeni mkafundishe. Hilo ndilo jambo linalowapa mshahara. Acheni kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu. Huo ni wendawazimu. Nyie fundisheni tu masomo. Tabia si kazi yenu ku deal nazo. Kama mtoto ameamua kutokuja shule mwachieni hilo jukumu mzazi wake kuhangaika...
  20. Stroke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nyie wake zetu hamsemi Asante

    Daah. Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile. Sura kaavu.
Back
Top Bottom