nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comte

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA imejengwa na mabilioni ya Mbowe nyie wengine mmechangia nini?

    Kwa maelezo ya Mbowe ametumia mabilioni ya fedha kuijenga CHADEMA. Kwa bahati nzuri hakuna anayekanusha haya kutoka kwa wana CHADEMA wenzake. Swali langu wengine mchango wao ni upi au ni kama KUPE tu kwenye ng'ombe aliyenona?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Na nyie NECTA toeni majibu ya kidato cha nne, ndugu zetu wamechoka kusubiri!

    Yatoeni bwana, watasubiri katika hali hii ya hofu hadi lini?!!!!!
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna watu na viatu ila kuna wengine ni ndala na vingine

    Kupata mtu anayeweza kuvaa viatu vyako hakuna, sasa marafiki wengi wamejaa kuangalia unacho tu sio mengine. Omba sana ufirisike ndio utajua aina ya viatu. Dunia tunaishi maisha ya kuangalia unacho tu mpaka mnauzi jamani, tupumzishane wakati mnatupiga vita mlitegemea kusaidiwa na nani.
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe nyie ndo Mnatumaliza Nguvu za Kiume kwa Makusudi. Nimeumia sana

    Dada anasema amezaa na mumewe mtoto mmoja. Akapata kakijana mchepuko aka-fall in love nako. Baadaye akapata wazo kuwa asababishe kuvunjika kwa ndoa ili abaki na kakijana mchepuko. Wakapanga wamwekee dawa ya kuua nguvu za kiume mumewe. Akafanya hivyo. Mume miaka 3 mashine haisimami. Si kwa ku...
  5. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Wapambanieni watoto wenu wasije kuwa na wivu kwa wenzao waliopambaniwa na wazazi wao

    Ashakum si matusi! Wivu hauwasaidii nyie watu ukweli lazima usemwe kabisa na na ni ukweli ni safi ila unauma ila ndiyo hivyo lazima niuseme tu no way kabisa wakuu. Juzi kila mwanafamilia kwetu ameingiziwa milioni miambili kwenye akauti yake miongoni mwao ni mimi nimelamba hiyo pesa kutokana na...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nyie watu wa Mikoani Mkija Dar mnatuchosha sisi Tupo Busy sana

    Mtu anakuja na list ya maeneo yote ambayo ameyasikia sikia. Ameandika anataka akifika ukamtembeze list yake unakuta 1. Beach Kidimbwi 2. The Great 3. Daraja la Ubungo 4. Daraja la Kigamboni 5. Daraja la Manzese 6. Daraja la Coco/Tanzanite 7. Beaches zote za Kigamboni Etc. Halafu shida akienda...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi anzeni nyie mikutano ya hadhara

    CHAMA cha Mapinduzi CCM kinapaswa ndio kiwe chama cha kwanza cha siasa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Jiji la Dar es Salaam na baadaye Mwanza, Mbeya na Arusha kama sehemu ya kuzindua mikutano ya hadhara iliyotangazwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan. Je, ni maeneo gani ungependa CCM...
  8. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Ila nyie Dunia ina mambo, kuna watu kazi yao kukaa Mahakamani kusubiri wenye kesi wapate chochote!

    Yaani makubwa haya kama hujui kuna mengi ya ajabu sana kwenye hii dunia. Kuna wakati unashangaa Lakini ndio ukweli wenyewe. Binadamu ana namna mbalimbali za kujippatia Riziki. Utakuta vishoka. Hii ya vishoka mahakamani inatia woga. Wakati wewe unahangaika kutafuta Riziki kkwa njia zako wapo...
  9. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania Kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kutengeneza future za watoto wao nyie wazazi wenu waliamini mjini msingi kiuno?

    Tuendelee na mada zetu za kukera you know how much you know hahahahaha nyie si wazazi wenu si waliamini mjini msingi kiuno? Miaka Ile DDC Mlimani Park walikuwa hawakosekani? Niwaambie kile kipindi wazazi wa wenzenu walikuwa wananunua Maplot huko kedekede hahahahaha. Kwangu mimi sina haja hata...
  10. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Ngorongoro mjitathimi kama mnamsaidia mama au na nyie mnamzuga kwa kusema tu anaupiga mwingi

    Salam wana JF. Nina matumaini yangu wote mpo salama. Napenda kuwaeleza juu utendaji dhaifu wa mamlaka ya Ngorongoro. Jana jioni magari mawili (fuso 1 na basi 1) yalikwama na kufunga barabara, iliyopelekea wageni waliokuwa wanataka hifadhi ya Serengeti kuelekea, Ngorongoro crater, Karatu na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukwama kwa maridhiano wa kulaumiwa siyo nyie

    Kudai haki, demokrasia, mabadiliko nk kwa njia za amani siyo kosa kokote kule duniani. Zaidi sana Chadema mmekuwa mkidai kuheshimiwa kwa katiba ya nchi iliyopo. Kwenye madai hayo mkakubali hadi kuingia kwenye maridhiano Ili kuiweka nia yenu hadharani. Kila mwenye macho au kujali amemwona aliye...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzaha mzaha mara Morocco Bingwa Kombe la Dunia, nyie wachukulieni poa tu!

    Wiki iliyopita Morocco waliotengeneza historia ya kuwa Taifa la kwanza Afrika kuingia nusu fainali ya Kombe la Dunia. Hatua hiyo imeifanya Simba wa Atlas kutengeneza historia ya soka lakini sasa inaisubiri Ufaransa katika nusu fainali. Morocco wamebakisha mechi mbili tu kunyakua kombe la dunia...
  13. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanawake ambao tuko nao huku mtaani ndo wanawatesa Hadi mnatangaza kujiua au nyie mna-date na HD high definition?

    Maisha ya mtandaoni is series of Dramatically Unakuta eti anateswa sijui na mapenzi au kitu kinachofanania na Hiko . Lakini huku mtaani tunaishi ni Nani Ambaye haoni jinsi soko la wanawake lilivyoshuka . Mimi hapa ndani ya mwaka huu Kuna Mademu watano wenye umri wa miaka 20 Hadi 23 wanataka...
  14. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania Upo kwenye daladala anaingia mrembo, unatarajia atakaa vizuri kwenye siti yenu nyie wawili tu, lakini akakupa mgongo

    Nilitafakari sana kichwa cha habari hii. Nipo kwenye basi kama nivyosema hapo, nimekaa zangu siti za double nikiwa dirishani, akaingia mrembo pisi kali ya hatari. Cha ajabu ikanikalia na miracle paaa! Upandeupande. Mishavu ikiwa juu ya mguu wangu paja, nikajisogeza ili asinikalie na baadhi...
  15. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Sikilizeni makolo, kama kuifunga Yanga ni rahisi basi ifungeni nyie

    Kumekua na blah blah nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa makolo., kila timu inayofungwa na Yanga kisingizio chao ni kwamba wapinzani wanaongwa Ukweli ni kwamba katika ile rekodi ya unbeaten kwenye mashindano ya ndani hata makolo pia mmechangia maana mngeweza kuifunga Yanga katika mechi 6...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

    Hii ni kupigana midongo ya nguvu "Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?" 👇
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie wanawake mnadhani sisi wanaume pesa tunaokota? Huyu mwanamke kwa siku 1 ananipigia zaidi ya mara 30 sipokei simu yake

    Hi! Niliwahi kuleta Uzi nikasema wanawake maskini hasa wa mjini hawana mapenzi ya dhati kwa wanaume wapenzi wao. Wengi ni kama wapo na wanaume ili watatue shida zao za kiuchumi. Watakuigizia kukuita baby mara dear ili ujisikie unapendwa lakini kwa kweli ukifulia au yeye akipata mwanaume...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnajifanya kusikitika Kifo cha Katibu wa Masanja, ila hamkemei 'Uhuni' wake 'Wanafiki' wakubwa nyie

    Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua kama tunavyoaminishwa. Yaani tunaacha Kukemea Uhuni wa Dogo na wa Watu Wengi ( na Wengine tuko humu...
  19. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie wadada, tupatieni namba zenu za simu

    Wengi katika mahusiano, huanza kwa kupeana namba za simu, na baadaye kuanza kuwasiliana, na hatimaye kuelewana katika mahusiano wanayotaka kuyaanzisha. Wakati mwingine kupewa namba ya simu imekuwa changamoto; unaweza ukaomba, na ukaishia kuzungushwa tu, na baadaye kutokuendelea kumsumbua...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Na nyie mnaamini wazazi ni chanzo kikuu cha panya road?

    Ni moja ya sababu lakini sababu kubwa ya kuwepo kwa panya road ni hali ngumu ya maisha, mfumuko wa bei, kukosa ajira na kunyimwa mazingira ya kujiajiri hasa 'umachinga'. Wanaokamatwa sasa hivi siyo watoto ni vijana wakubwa na wengine ni wababa kabisa, bado tu kuna sababu ya kuwatupia lawama...
Back
Top Bottom