nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wenye wenza wenu mikoani; Nyie mko Dar mnaishije?

    Habarini wana jamvi Kuna mdogo wangu mda si mrefu may anahamia mkoan Leo niko na dogo anauliza kakaa hivi unawezaje kuishi mume dar mke mkoan and vv Dah hizi kazi majaribu sana nkamwambia mtegemee mungu atakutun,zia mkeo Shida bora angekuwa anaenda moro ama dodoma aje weekend weeee...
  2. JamiiForums Tanzania January Makamba, Nape Nnauye, Mzee Kinana msishupaze shingo zenu; kubalini yaishe

    Uovu ni roho ambayo huuongoza mwili wa mwanadamu na hii roho humtesa Sana mwanadamu mpaka aombewe au akutane na shetani kwenye mazingira ambayo itabidi akatubu na kuombewa na hatimaye roho mbaya huondoka Mara moja na kubaki mtu mwema Malezi mabaya waliyopewa hawa vijana wawili Nape na Makamba...
  3. JamiiForums Tanzania Nyie wanawake si mmeuchuna mwezi huu kisa ramadhani sasa mtajua wapi mtaitolea pesa ya Abaya

    Tukiwatafua hata kwa salamu tu si mnasingizia Ramadhani, bado siku chache tu πŸ˜€
  4. JamiiForums Tanzania DPP, IGP, DG TISS, DG- PCCB nyie ndiyo mnapaswa kuchukua hatua dhidi ya ufisadi

    Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara. Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
  5. JamiiForums Tanzania Nyie vijana wa sasa wanaume na mabinti mpo tayari kwa ndoa au mnatania?

    Binafsi machalii wa sasa siwaelewi kabisa kama wapo tayari kwa ndoa au wanaigiza? Sio wanaume sio wanawake yaani wote wanafanana ni kama kichaa na mwendawazimu wamekutana pamoja kuanzisha familia. Hizi ndoa za machalii wa sasa ni kama wanavutana karibu ili kuwa na uhuru wa kufanya ngono...
  6. JamiiForums Tanzania Niwakumbushe wanaume wakati mkiwa bize na nyie kuwapambania wanawake itakapo fika zamu yenu kupambaniwa hawato wasaidia kamwe

    Kuna wanaume nawashangaa sana unakuta baba zima limesimamisha kitambi na ndeke zake lina wasemea wanawake utadhani na lenyewe limama, mara ooh! Kuwe na 50 kwa 50 mara ooh! haki sawa, halafu ukilitizama ni jibaba zima kabisa lenye mwili na sijui kuhusu akili Niwaambie tu ukweli hapa baada ya...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭

    Hii ya leo imeniuma Sana hadi nimelia..... Kuna watu wanaroho mbaya Sana. Wafaanya biashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭😭 Bas mwenzenu Mimi nafanya biashara online, Sina bidhaa Ila nikipta mteja baada ya kupost ndo nikamchukulie. Sasa pale kariakoo nimewazoea...
  8. JamiiForums Tanzania Mshaurini na nyie mie nimekosa busara

    Iko hivi, kuna mdau amenifata akanieleza juu ya mahusuano yake na mwanamke wake. Aligombana na huyo dada ikafikia akaachwa, tena akaambiwa ana mtu mpya anaempenda sana. Jamaa akakausha ila baada ya siku mbili yule dada akamtafuta jamaa wakarudiana lakini jamaa akawa hajali tena kuhusu yule dada...
  9. JamiiForums Tanzania Nyie mnaokesha kumpotosha Rais ipo siku mtaondoka Duniani

    Ni kweli mmechota fedha nyingi kupitia udhaifu wake. Ni kweli mmetorosha mali kupitia udhaifu wake. Ni kweli mmeiba kupitia udhaifu wake Ni kweli mmenunua mahekalu nje ya nchi kupitia udhaifu wake Ni kweli mnamtengenezea safari hata zile hazina tija kwa nchi kupitia udhaifu wake. Watanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi mnaosimamia elimu tumienzi Lowasa tukijiuliza yeye aliwezaje kwenye elimu nyie mnashindwaje kwenye elimu

    Kifo cha lowasa kimeibua mijadala ya mazuri yake na mabaya yake katika safari yake ya maisha katika siasa zake, uzuri wa siye wabantu marehemu asemwi kwa mabaya ni mwiko marehemu anasemwa kwa mazuri tu hata kama mabaya yapo basi mnatasemea gizani Kuna jambo zuri kuhusu marehemu linasemwa la...
  11. JamiiForums Tanzania Simba acheni ujinga wenu wa kujificha kwenye kichaka cha refa Kayoko, nyie ndio timu iliyofaidika na marefa kuliko yeyote kwenye ligi

    Ni aibu na ajabu Kuona mashabiki na viongozi wa Simba eti wanamlaumu Kayoko kawabeba Azam!!? Ni kichekesho Cha mwaka hiki sijawahi ona wapumbavu kama hawa watu! Simba ndiyo timu iliyochukua point nyingi za kubebwa kwenye ligi kuu kutoka kwa MAREFA kina Tatu Malogo, rejea mechi ya Prison, KMC...
  12. JamiiForums Tanzania Halmashauri au manispaa hiyo miradi ya serikali ni yenu nyie watumishi

    katika watu wakuangiliwa wenye njaa na wenye uchu ni hawa watumishi wa sehemu hizi mbili halimashauri au manispaa. chochote kitakacho anzishwa kuwe na mradi mfano masoko,stendi,maeneo ya viwanja na n.k cha kwanza wanajimilikisha wao watumishi ndani ya mradi. usije shangaa masoko mengi makubwa ni...
  13. JamiiForums Tanzania Yaani unanikataa kisa nina pigo za kichungaji!

    Rejea kichwa Cha habari hapo juu Kuna Dem nimemfukuzia kama mwezi Moja hivi ila alichonijibu et Mimi Nina pigo za kichungaji Kiukweli Mimi sio mchungaji wala Nini ila sijajua kajifikiria nini kunitamkia hivyo halafu mimi mbona mtu fulani simple tu Kiukweli kanikata mzuka kabisa hapa nawaza ni...
  14. JamiiForums Tanzania Mnapata wapi ujasiri na akili ya kulinganisha maendeleo yaliyoletwa kupitia CCM kulinganisha na nchi za Ulaya?

    Akili ni nywele kila mtu anazake ila wingi wa nywele haimaanishi kuwa unaakili nyingi au kubwa dhidi ya wenzako,mimi Muhafidhina nimeona nyuzi zenye hoja nyingi zisizo mashiko kwa baadhi ya member wa humu kuishutumu serikali yao ya CCM kuwa haijafanya lolote na hata napojaribu kuangalia mitandao...
  15. JamiiForums Tanzania Haya nyie mnaoiombea Tanzania ifungwe na Morocco uzi wenu huu

    Kuna vijana wa hovyo, pia kuna wananchi wa hovyo. Sasa sijui hawa wananchi wa hovyo wamechukizwa na nini, lakini najua tu kuna vitu vimetendwa aidha na serikali yao au na baadhi ya viongozi wao ndivyo vimewajengea chuki dhidi ya taifa lao tukufu. Haya haters toeni utabiri wenu hapa 😭😭😭😭
  16. JamiiForums Tanzania Mlisema January Makamba anahujumu TANESCO ameondoka basi muacheni yeye ni binadamu kama nyie

    Wakati January na Maharage wakipambana kuleta suluhisho la kudumu TANESCO maneno yalikua mengi, tunajua waliokosa tenda na waliokuwa wanufaika wa TANESCO walilipa machawa kuendesha vita na January kupitia mitandao ya kijamii ilikua kila siku hukosi makala tano za kumsema makamba. Rais Samia...
  17. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa vyombo vya usafiri tujitahidi kuzingatia matengenezo ya vyombo tunavyovimiliki

    Ndugu zangu jana nilipata Ajari na pikipiki yangu nikiwa na abiria wangu {pole sana boss lady hope unendelea vizuri} ajari hiyo niliipata pale Sinza africa sana...kuna gari ilipoteza break ikagonga bajaji, bajaji ikapoteza uelekeo nikajikuta nagongana nayo uso kwa uso.😭😭😭 Ndugu zangu wamiliki...
  18. JamiiForums Tanzania Hamjambo nyie vijana wa CAF Champion League

    Simba sc na pacha wake Young African SC Ninyi ni timu bora na kongwe kwa Tanzania. Zinauwekezaji mkubwa na mashabiki wengi kwa Tanzania kuliko timu yoyote ile. Wote mumeingia makundi kwa pamoja na wote matokeo yenu yanafanana. Ninyi ni MAPACHA HASWA. Mmecheza michezo 3 Mkatoa sare 2 na...
  19. JamiiForums Tanzania Simba si mlisema nyie wazalendo ndio maana hua mnaweka "Visit Tanzania". Kipo wapi sasa hivi?

    Jioneee halaf shusha Reply yako. JEZI YA BOSS LA B20 MO EXTRA KILA KONA. Si walisema hawa kua Wenyewe hua hawawek Mdhamini Mwingine Mashindano ya kimataifa ni VISIT TANZANIA tu Ili kumuunga Mkono SAMIA saiv imekuaje? #Yanga imewafunza nahisi
  20. JamiiForums Tanzania Pole nyie ambao wake zenu wanafanya kazi!

    Huu ni mwaka wa 8 niko kwenye utumishi wa umma. Nimefanya kazi vituo 2. Nilichogundua ni kwamba wanawake wenye mishahara wana tamaa kubwa ya fedha kuliko mama wa nyumbani. Yaani misimbazi 2 tu unamwangusha na atamsahau mume wake kwa masaa 2. Wake zenu wanatuomba nauli kila jioni licha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…